Best PC games

Best PC games

Nimejaribu kutafuta hizo patch nikiweka zinagoma inasema cannot read edited data because data is from defferent version. Yani niliweza kubadili jezi, logo na majina ya team basi.
Mimi nacheza pes 16 nimetumia patch 6.0 na patch 7.2. Pes wapo vizuri kwenye motion, skills na personal ability za wachezaji. Graphics na images za wachezaj zko poa pia. Sjaona kitu fifa ikaizidi pes
 
Kwangu mimi ni kama hivi
1. Call Of Duty 3 na 4 pamoja na COD special force.
2. Assasin Creed 2 na 3
3. Need for speed most wanted.
4. Ghost recon
Haya magame utayafaidi ukiwa na processor ya maana. Tupia yako pia.
Thanks to skidrow kwa kuniwezesha kucheza kila game.
Yani gemu yangu bora ya wakati wote mimi ni assassin creed 2. Yani hii gemu napenda kuanzia story yake. Character na miji ipo mingi yani jamaa kasafiri miji takribani mitano tofauti.
Pia tomb raider 2013.
Pia uncheterd nina mpango wa kuzitafuta nimeona trailer zake ni nzuri
Na mortal kombat x.

Kilicho nishinda kwenye gemu za action za kivita character haonekani yani we unaona bunduki tu.
 
Hizo patch ninazo lakini ndo zimenigomea.
Kama nilivyo sema ndani ya kila download link kuna video ya jinsi ya kudownload na kuweka hizo patches. Hyo patch 6 ipo katika viparts kadhaa. Ukiisha download hizo parts zi highlight nkuziextract kama file moja mfano
tmpPhoto.jpeg

Halafu fuata maelekezo kama video zinavyoelekeza simpo tu
Hizo patch ninazo lakini ndo zimenigomea.
 
ninachokipenda kwenye PES 2017 ni hv..
1. rafu za juu wanaporukia mpira..
2. mchezaji kuweza kuvua shati anaposhinda goli
3. utoaji wa mpira wa kipa ni tofauti na games zilizopita..
4. highlights kuonyeshwa hata HALF TIME
5. sura na taswira za wachezaji.. mfano messi na midevu yake ile..
6. offside line inavyoonekana
7. kuongezwa kwa watangazaji wa mpira
8. graphics za hatari.. hamna mkolezo wa rangi..
 
wakuu niweekeni game link za tennis na hizo za vita aisee nimeshindwa kuzipata kabisa natangulizaa shukran
 
Yani gemu yangu bora ya wakati wote mimi ni assassin creed 2. Yani hii gemu napenda kuanzia story yake. Character na miji ipo mingi yani jamaa kasafiri miji takribani mitano tofauti.
Pia tomb raider 2013.
Pia uncheterd nina mpango wa kuzitafuta nimeona trailer zake ni nzuri
Na mortal kombat x.

Kilicho nishinda kwenye gemu za action za kivita character haonekani yani we unaona bunduki tu.
Zipo ambqzo sio target,unamwona mtu live
 
Zipo ambqzo sio target,unamwona mtu live
Nimeiona moja tu ya hivo nimeikubali inaitwa ghost recon wild lands. Lakini system requirements ni kubwa nimeshindwa kulidownload.

Embu nipe lingine ambalo ni zuri.
 
Back
Top Bottom