Best PC games

Best PC games

Nimiona ila ni almost 60gb
ndo hivyo mkuu sababu ya quality yake ni kubwa.
d305b4-4.jpg
 
Nawezaje kupata zuma revenge kwa pc nmejaribu kudownload nmeshndwa
 
Call of Duty Advance Warfare ni mziki mnene. Ila ina Gb 52. Na lazima uwe na ram yenye Gb kubwa
Advanced warfare si nzur kama modern warfare...sijapenda kabisa mazingira yake plus weapons zile...mambo ya kubooth yale...na huo ujinga wakaleta kweny infinite warfare ndio maana wakapigwa bao na battlefield

Ukicheza battlefield huez jutia
 
Wakali wa magem
Nina PC ya HP i5 nmewekaa gemu la Truck simulator nikilifunguaa linaganda gandaa mpaka linaboa sjajua Tatizo ni Nini Kwenye upande wa PC
 
Games nyingi za simulato huwa zinataka pc yenye nguvu so chakufanya jaribu kuangalia mahitaji ya game nikimaanisha
Ram
cpu
gpu
halafu fananisha pc yako kama vinaendana na mahitaji ya hilo game
 
i5 ipi? nenda my computer halafu right click then properties kujua na hilo truck simulator ni lipi?
 
Games nyingi za simulato huwa zinataka pc yenye nguvu so chakufanya jaribu kuangalia mahitaji ya game nikimaanisha
Ram
cpu
gpu
halafu fananisha pc yako kama vinaendana na mahitaji ya hilo game
PC iko guud na uwezo wake mkubwa tu
 
wadau natafuta dirt 3 kila torrent ninayofungua haina seeders kabisa
 
Wakali wa magem
Nina PC ya HP i5 nmewekaa gemu la Truck simulator nikilifunguaa linaganda gandaa mpaka linaboa sjajua Tatizo ni Nini Kwenye upande wa PC
Truck simulator mbona linataka specs ndogo tu...hapo ni graphics drivers tu unatakiwa ku update basi...
 
wadau natafuta dirt 3 kila torrent ninayofungua haina seeders kabisa
Embu ingia ovagames.com,au oceanofgames.com kama nililiona huko, sema lina gb nyingi si mchezo ila ova games kuna repack file.
 
Truck simulator mbona linataka specs ndogo tu...hapo ni graphics drivers tu unatakiwa ku update basi...
Kuapudet Nini bro koz nmejalibu kuingiza VGA imekataa Kuingia Au HP azina uwezo wa games
 
Hp
Windows 10pr
RAM 4GB
processor AMD E1-2100 APU with Radeon (TM) HD graphics 1.00GHz
 
Back
Top Bottom