Vhagar
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,773
- 40,444
mkuu nimekuta mafile mengi sijui hata nichukue lipi. moja lina mb400 nimedownload limegoma kuextract.block matangazo mkuu la sivyo utateseka sana.
mkuu nimekuta mafile mengi sijui hata nichukue lipi. moja lina mb400 nimedownload limegoma kuextract.block matangazo mkuu la sivyo utateseka sana.
kuna video ya tutorial umeicheki?mkuu nimekuta mafile mengi sijui hata nichukue lipi. moja lina mb400 nimedownload limegoma kuextract.
Fifa silipendi pia mimi maishapes silipend maisha, goli unafunga robo uwanja
Umecheza pes 17?pes silipend maisha, goli unafunga robo uwanja
Pesa 17 wamefanya mabadiliko sana... Hata ukicheza unapata walau radha ya game cyo kama mwanzoni.Umecheza pes 17?
Pesa 17 wamefanya mabadiliko sana... Hata ukicheza unapata walau radha ya game cyo kama mwanzoni.
Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
Mkuu kumbuka Uncharted ni lazima uwe na ps3 au 4 maana hizo ni ps exclusiveYani gemu yangu bora ya wakati wote mimi ni assassin creed 2. Yani hii gemu napenda kuanzia story yake. Character na miji ipo mingi yani jamaa kasafiri miji takribani mitano tofauti.
Pia tomb raider 2013.
Pia uncheterd nina mpango wa kuzitafuta nimeona trailer zake ni nzuri
Na mortal kombat x.
Kilicho nishinda kwenye gemu za action za kivita character haonekani yani we unaona bunduki tu.
Dah mkuu nimeingia sehem nimekuta uncherted 1. Kuna software yake unadownload kisha umo ndani kuna web installer. Yani inadownload na kuinistall automatic.Mkuu kumbuka Uncharted ni lazima uwe na ps3 au 4 maana hizo ni ps exclusive
da cjui kama inawezekanaDah mkuu nimeingia sehem nimekuta uncherted 1. Kuna software yake unadownload kisha umo ndani kuna web installer. Yani inadownload na kuinistall automatic.
Website ipi inapatikana kaka.. naitafuta sanaGTA V yatosha.kama ni vita ipo,magari yapo,mahonda yapo gym ipo,Makanisa yapo, jela ipo,pesa zipo,benki zipo,clubs zipo tabu ya nini?
Gta 5 inatumia net?Ongezea internet!
extratorrent.ccWebsite ipi inapatikana kaka.. naitafuta sana
Katika game kuna "in-game internet" unaweza ukagoogle in-game information.Gta 5 inatumia net?
Website ipi inapatikana kaka.. naitafuta sana
Nimiona ila ni almost 60gbipo kickass torrents
