Best PC games

Best PC games

ndo hivyo mkuu sababu ya quality yake ni kubwa.
d305b4-4.jpg
Brother wanasema inahitaji 2.4ghz..
Pc yangu ni core i5 2.2ghz itakubali?
 
nimepata torrent kwenye piratebay mkuu ovagames wana link kibao lakini zimejaa ads na survey forms hata ujaze mara ngapi bado ita reDirect tuu..
Mkuu kama huna adbrocker utapata tabu me mwenyewe mwanzo ilikuwa inanisumbua lakini nivoinistall extention ya advbrocker sikupata tabu tena.
 
Anaetaka gaming desktop....aje inbox.....ni core i7....ina run any game ya mwaka huu
 
Utanifanya niitafute hiyo Pes Mkuu, niliacha kucheza hiyo kitu tangu Pea 15 kama sikosei, mimi ni FIFA tu ila kwa sasa FIFA sijacheza tangu mwaka jana.

Kumbe PES 17 wamekuwa wazur hivyo?
Tatizo la fifa wanatubana kwenye specification za mashine
 
Mkuu, andaa pesa ununue XBOX 360 hata Used, iko vyema mno kuliko PS2. Nimecheza zote hizo, XBOX uzuri wake Pad unaweza ukazitumia kama wireless na ndani kuna Internal Storage.
xbox ni shingap
 
Back
Top Bottom