Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,453
- 283,788
Mkuu unataka kufungua nyuzi ngapi kuhusu kifo cha Membe ?Kwa mjibu wa daktari wa Membe changamoto ya kupumua ndiyo iliyomuua. Namaanisha Membe kafa!
Ikumbukwe, changamoto ya ugonjwa kama huohuo ndiwo uliosababisha kifo cha Hayati Magufuli.
Je, mwenyezi Mungu anatupa funzo gani hapa?
Ama malipo ni hapa hapa Duniani?!
Mungu fundi.
DuuuNingelikuwa karibu na maiti yake ningeitemea mate!
Hatangulii mtu hapa acha kujifariji. Mpaka tufukie wote wanaojifanya hii nchi ni mali ya baba zaoKula vzur,epuka ugomvi na zingatia sheria za barabaran usije kutangulia ww kabla ya hao unaowasubir..bila kusahau kucheck afya on the regular
Daktari wake anasema kwa kitaalam inaitwa pulmonary embolismMbona vyanzo vya habari ni wachoyo sana na kushindwa kuinyambua habari ikashiba?
"kifuaa kifua!
Hauwezi kudistinguish hiko kifua?
Tb, pneumonia, Covid au nini?
Mwaona raha sana kutuacha na maswali sisi siyo?
Amestaafu so Hana impact same na Lowassa au Salim Leo wakifariki Kuna impact yoyote? Ila wa JPM ulikua unique sababu kafia madarakani lakini pia alikua very powerful kama Putin hivi.Ila Membe si kafa, ama?!
Alafu alipata kura ngapi kwenye uchaguzi mkuu?I'll ukweli membe alimchachafya mno magu Hadi kufukuzwa chamani jmaa alikuwa Ni mwanaume Kweli
Embu tunomba zile sauti za membe nakina nape wakimteta jpm
Kafa kishujaa? Kufa kishujaa ndio nini wakati mnalialia humu hahaha! Lishakufa hilo dude huko kairuki, mjipange mkalifukie huku mkisubiri zamu ya anayefatiaMembe kafa kishujaa na kifo cha kawaida kama atakakufa binadam yeyote yule.
Tatizo ni pale unapoua kutesa, kuteka binadam wenzako wakati na wewe njia moja hiyo hiyo. Ndo maana tulifurahi
Nyumbu tu ndiyo ataamini hiliAmeamuaje ugomvi wakati hakuna nafuu kwa Musiba ni kulipa deni pale pale?
Nipanikishwe na nini/nani? Acha kujifarijiMbona umepaniki?
Wapi nilishangilia? Nlimchukia JPM ila siku wanatangaza msiba niliumia sana. Ubinadamu ni zaidi ya siasa, ila haibadili ukweli kwamba impact ya msiba wa JPM haiwezi kuwa compensated na vifo vya raia wa kawaida!!Na wewe ulishangilia kifo cha JPM eti?
Mcheki figo76 kwa huu uzi wake wa silaha ambazo unaweza tumiaKwa mjibu wa daktari wa Membe changamoto ya kupumua ndiyo iliyomuua. Namaanisha Membe kafa!
Ikumbukwe, changamoto ya ugonjwa kama huohuo ndiwo uliosababisha kifo cha Hayati Magufuli.
Je, mwenyezi Mungu anatupa funzo gani hapa?
Ama malipo ni hapa hapa Duniani?!
Mungu fundi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nimonia
Nijifariji na nini?Nipanikishwe na nini/nani? Acha kujifariji
Kwiii kwiii kwiii akifufuka pale pochwari atapigwa rungu moja akufweee tena, hzo bilioni atazisikia makaburini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Watu mavi yanagonga chupi yanarudiBomu linalofuata linatua msoga [emoji1787]
Unamuuliza naniNijifariji na nini?