My Honest Book
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 1,363
- 2,171
Sijui hii kitu watu watajua lin au nikujitoa akili tu,sasa km Mungu anahusika kwny hiv vifo vya kina Membe?! Vip kuhusu wagonjwa wanaokufa kila siku?! Vip wanaokufa vitani uko?!!Kufa ni kufa tu death is a necessary end. Ugombane usigombane ushangilie usidhangilie unune usinune death will come when it will.
Sikutaka membe aingie ikulu, Mungu amejibu maombiSukuma Gang wanateseka sana lakini hakuna namna wataweza kuingia ikulu pasipo kutubu dhambi zao, dhambi kubwa ikiwa jaribio la kumuua Tundu Lissu kwa maelekezo ya kiongozi wao aliyekufa. Mungu anawaona.
UhendaAu Cyprian Musiba inawezekana kaenda kushtaki kwenye mahakama ya mnyonge(kilingeni)?
What if.. na warithi wakaonja mauti ... kabla ya deni kulipwa?Bush lawyer, pesa za marehemu ni mirathi ya familia, vitu vikipigwa mnada pesa inakwenda kwenye account ya mahakama, baada ya mirathi Msimamizi wa mirathi anajaza fomu ya kugawanya pesa za marehemu zilizopo kwenye bank zote kwa wanufaika wa mirathi.
Endeleeni kudanganyana, Membe amejenga msingi mzuri wa kuwatia adabu waropokaji wote.
Mungu fundi.Apumzike kwa amani....
Walobak ndo wataogopa ssKweli kabisa,
Afadhali angekuwepo mwenyewe labda angesamehe lakini warithi hawawezi kusamehe na kwa kuzingatia kifo chenyewe cha utata wa gafla watakuwa na hasira mno!
Sasa sijui atawanyamazisha wangapi ?
Hata tuwe ngedere waache wanywe mvinyo walioutengeneza wenyewe, [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] unyama unyamaniUsilipize ubaya kwa ubaya ndugu yakupasa uwaombee wale wanaobehave kama wanyama kitu pekee kinachotutofautisha binadamu na wanyama ni uwezo wa kutambua mema na mabaya vinginevyo tutakuwa hatuna tofauti na punda.
Hakuna kusamehe. Waliowaliza watanzania lazima tuwafukie roho zetu zipate amaniKama taifa inabidi ifike hatua tusameheane na tusonge mbele kama wamoja. Na maridhiano ya Mbowe na Mama Samia ni mahali pazuri pa kuanzia japo wengine wanayapinga. Vinginevyo, kama taifa, tunakoelekea siyo kuzuri...
KabisaTuliosoma Cuba code zimeeleweka mkuu
Kama sina kazi nakula nn? Unajua binadamu tumepewa utashi lakin tuna uvivu wa kuutumia. Mimi naishi kama kawaida mipango inaenda. Ina maana kila siku lazma nile ninywe. Je kama sina kaz nakual nn?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dear huna kazii??
Utawala wa Magufuli a.k.a jiwe.Amefanyiwa na nani? Nani anastahili hayo madhila?
Nimeamini mkuki kwa nguruwe, kwa binadamu panauma.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23] Acha bwana wema hawafiKachero kalamba mchanga
DaMganga wa Musiba sio Tapeli[emoji1544][emoji1544]
Pumzika kwa amani Mzee wetu
Wewe shangilia kifo cha magu sisi tunashangilia vha kachero aliejifia kijinga.Hata mm nilishangilia sana kifo cha Magufuli. Na mpk Sasa nina furaha kubwa