Mimi nikajua nina furaha peke yangu

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
Leo utakesha Jeiefuu kuandika uharo, mmekula chuma kizito, ombolezeni life liendelee gadeeem, rithi sasa hizo b 9
 
Inawezekana ni natural death.
changamoto ya kifua ilisababishwa na shambulio la moyo(myocardial infarction),akapata shida kwenye mfumo wa umeme wa moyo(ventricular fibrillation, Asystole,PEA ama ventricular tachycardia),aka collapse(Cardiac arrest).
Madaktari wakajaribu resuscitation,ikashindikana.
Miaka sabini ni mingi.Ni kawaida kwa umri huu kuwa na magonjwa ya moyo,mishipa ya damu ya moyo,shinikizo la damu nk
 
MM mwenyewe nimebanwa na mbavu wiki ya jana si mchezo nimepata homa ya mafua yaani balaa na wala sijaenda hospital zaidi ya kupiga nyungu tu leo ndo afadhali ila itabidi niende hospital maana naona hali si hali
Pole sana...

Watu hawajui tu but COVID-19 is back... tusijisahau!
 
Ngoja tuishie apo maana hakukua na maana yoyote ya kuja Kuni attack kwenye comment yangu
Hivi unajua maana ya attack? Umesema kafariki ghafla,nikakuuliza ilitakiwa afariki lini ili wewe usione kua ni ghafla? Badala ya kujibu swali ukaja na ngonjera sijui za kulaumu baadhi ya member wa jf!

Acha kutafuta huruma kwa kujifanya victim.
 
 
Membe mwenyewe alishindwa kupambana na musiba, siku 5 za mnada zilipita ila akashindwa kukazia hukumu. Hao waliobaki sidhani kama Wataweza kitu, nahisi kuna nguvu isiyoonekana nyuma ya musiba
Mbona unang'ang'ana sana na siku tano. Kwani Membe hakuwa na hela ya kula mpaka akadai hiyo hela ndani ya siku tano, au kuna sheria inalazimisha udai ndani ya siku hizo. Angesubiri hata mwaka angedai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…