thetallest
JF-Expert Member
- Oct 21, 2017
- 8,271
- 9,116
"The list I well known by unknown. "Hakuna mtu anashangilia kifo cha mtu ila ktk hili ni SoMo kwetu hasa wale waliopo ona Magufuli amefariki wakaona ndio muda wakumnanga na kumsema yote wamesema kumbe njia ni moja kwangu ni mvua imeanza japo wengi hawato amini. The list I well known by unknown. Hangaikeni na pelekeni mashauri Mengi juu ya Hayati Magufuli ila mwisho sote ni waja wake na sote tutarejea. Hayati hana kosa na kama anakosa basi ccm ndio wajijuwe makosa yake ni kwa kukitetea chama na sera za chama ambazo ndio sababu ya chama. Chama kina sera je mlitaka sera yakula nchi while watu hawana kitu ama ujenzi wa Taifa? Je mlitaka chama cha mapandikizi na kulitesa Taifa na kugawana vyoe au chama chenye kusimamia haki na kuleta heshima kwa kila Mtanzania, je mlitaka chama cha undugu au chama cha watu wote... Tafakarini kabla yakuinua midomo na kumsema vibaya Hayati. Asante
Angalia usije ukakufuru! Huijui kesho yako!Sasa nimekubali Urais lazima ugomvee ukiwa na miaka 45 hadi 55.
Kuna mmoja atakuwa na miaka 65 mwaka 2025 anaomba Kuendelea kuwa Rais.
Ikifikia 2030 atakuwa na miaka 70!!!
Mimi ninaomba niwe makamu wake Yeye Akiwa Rais Ili katiba yetu itumike niingie magogoni kiulainiiiiii
Tuambie queen tafadhali!Tunaogopa mjue.
Hapana ni mazingaombwe tu.Hiki kifo kimegubikwa na utata. Kuna uwezekano ni hujuma! Mazingira yanatia shakaView attachment 2618885
Shangilia weweeeee wacha kupitwa na mambo matamu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95]Kama Taifa tunatakiwa tutoke kwenye siasa hizi za chuki zilizozalishwa baada ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2015. Baada ya Uchaguzi ule na John Pombe Magufuli kuingia madarakani, kulitokea uhasama mkubwa sana kati ya watu waliokuwa wanamuunga mkono na wale waliokuwa wanapingana na staili yake ya utawala.
Leo Baada ya kutangazwa kwa Kifo cha Bernard Camilius Membe, unaona kabisa limeibuka kundi la watu humu JF ni kama wanahanikiza furaha yao kwa kifo cha Membe. Watu hao ambao wanajificha nyuma ya kuonesha furaha kwamba Cyprian Musiba hatalipa tena hela alizotakiwa kumlipa Membe, lakini kwa undani unaona kinachowafurahisha zaidi ni kuona mmojawapo wa wapinzani wa Magufuli naye Kafariki.
Wakumbuke kwamba ni wao waliokuwa wanasema wakati wa msiba wa Magufuli kwamba "hakuna atakayeishi milele" na Leo ni ushahidi mwingine kwamba hakuna atakayeishi milele.
Watu wafanye maridhiano dhidi ya nafsi zao!!
Huyu ni miongoni mwa mashujaa wachache katika nchi hii, aliyeweza kuongea ukweli juu ya uvunjifu wa haki za waTanzania uliofanywa na Serikali ya magufuli, huna ubaya mtu mwenye msimamo, tunakuombea
Naaona leo mmefufua zile akaunti zenu mlizokuwa mmezizika!!Shangilia weweeeee wacha kupitwa na mambo matamu
nani kakudanganya? hata kama wamemaliza deni litalipwaduh kama kweli hata angesamehe angeishi milele?
Wewe uliyekula naye chakula ndo unajua kilichotokea. Ulimlisha nini?Hiki kifo kimegubikwa na utata. Kuna uwezekano ni hujuma! Mazingira yanatia shakaView attachment 2618885
Mungu fundi.Kama Taifa tunatakiwa tutoke kwenye siasa hizi za chuki zilizozalishwa baada ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2015. Baada ya Uchaguzi ule na John Pombe Magufuli kuingia madarakani, kulitokea uhasama mkubwa sana kati ya watu waliokuwa wanamuunga mkono na wale waliokuwa wanapingana na staili yake ya utawala.
Leo Baada ya kutangazwa kwa Kifo cha Bernard Camilius Membe, unaona kabisa limeibuka kundi la watu humu JF ni kama wanahanikiza furaha yao kwa kifo cha Membe. Watu hao ambao wanajificha nyuma ya kuonesha furaha kwamba Cyprian Musiba hatalipa tena hela alizotakiwa kumlipa Membe, lakini kwa undani unaona kinachowafurahisha zaidi ni kuona mmojawapo wa wapinzani wa Magufuli naye Kafariki.
Wakumbuke kwamba ni wao waliokuwa wanasema wakati wa msiba wa Magufuli kwamba "hakuna atakayeishi milele" na Leo ni ushahidi mwingine kwamba hakuna atakayeishi milele.
Watu wafanye maridhiano dhidi ya nafsi zao!!
Absolutely ☝️☝️Au unafikiri majasusi wenzake wamemzidi mahesabu?
deni halijafutwaRIP Membe.
Musiba anashingilia saa hizi.