Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,564
- 109,103
Nikisema huna akili nitakuwa nakukosea?Wewe tulia, muhusika kaondoka. Familia wala haitaendelea na hili. Wao wanaachana nalo hili.Ninajua kuna kurithi wadai na wadaiwa.Ila kwa hili la kesi ya Musiba,Familia inaliacha linaondoka na aliyepeleka kesi.
Msimamizi wa mirathi wa Membe nasikia ndio hatari zaidi, hivyo Musiba asidhani kuvunjika kwa koleo ndio mwisho wa uhunziMusiba tupo naye hapa tuna choma buzi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unafurahia kufa kwa mwenzio?
Msiba den lipo pale
Rip Membe
Dark power!Musiba hahusiki na kifo cha huyu bali ni Mungu ameamua kuonyesha ukuu wake dhidi ya mtu jeuri anaekaidi hadi viongozi wa dini.
Vipi mungu ameingilia kati?Bush lawyer, pesa za marehemu ni mirathi ya familia, vitu vikipigwa mnada pesa inakwenda kwenye account ya mahakama, baada ya mirathi Msimamizi wa mirathi anajaza fomu ya kugawanya pesa za marehemu zilizopo kwenye bank zote kwa wanufaika wa mirathi.
Endeleeni kudanganyana, Membe amejenga msingi mzuri wa kuwatia adabu waropokaji wote.
Yatamfuata kaburini,tulimwambia asamehe. Akakataa.
Kusamehe sio lazima bali ni utashi wa muhusika,akitaka kusamehe atasamehe asipotaka kusamehe pia ni sawa tu.Mungu wetu fundi sana tu!
Kesi ndio imeishia hapo!
Mbaya zaidi membe ni moja kwa moja motoni maana kaga akiwa na chuki kwa musiba hata baada ya kuombwa na maaskofu asamehe.
Motonii ausiooo? πMungu wetu fundi sana tu!
Kesi ndio imeishia hapo!
Mbaya zaidi membe ni moja kwa moja motoni maana kaga akiwa na chuki kwa musiba hata baada ya kuombwa na maaskofu asamehe.
Uzuri moto wenyewe Magufuli ndio kuni, halafu hawa Freemason wewe ndio unawaona ni maaskofu?Mungu wetu fundi sana tu!
Kesi ndio imeishia hapo!
Mbaya zaidi membe ni moja kwa moja motoni maana kaga akiwa na chuki kwa musiba hata baada ya kuombwa na maaskofu asamehe.
Mbona chuma hakikuitika wakati anamuandda magazetini?Kwa ninavyowajuwa Wamakonde kama kuna mkono wa mtu basi kabla ya Arobaini ya Membe lazima chuma kiitike.
Tunza hii comment.
Haya nenda kauze sasa Mali za msiba si ndo furaha yenu nyie vinyagoKwenda mahakamani si kosa maana ndiko kuyatii mamlaka badala ya kujichukulia sheria mkononi.
Kusamehe maana yake nini?
Yaani itakuwa jamii ya aina gani iwapo watu watakuwa wakifanya makosa ya makusudi wakitegemea kuwa watasamehewa ,
Tutajenga jamii ya aina gani?
Acheni hizo bana!
View attachment 2618772
Aliyewahi kuwa waziri wa mambo ya Nje kwenye Serikali ya awamu ya nne, Benard Membe amefariki Dunia. Taarifa za awali zinaeleza Membe alipata changamoto ya Kifua na kupelekwa Hospitali ya Kairuki alfajiri ya leo May 12, 2023 na baadaye kufariki.
Benard Membe alipata kuwa mbunge wa Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia jimbo la Mtama na alihitimisha safari hiyo mwaka 2015 na kujaribu kuwania tiketi ya kuwania nafasi ya Urais kupitia chama cha mapinduzi(CCM), tiketi ambayo alipewa hayati John Magufuli.
Mwaka 2018 aliandikwa na gazeti la Tanzanite akituhumiwa kuweka ajenda ya kutaka Rais Magufuli asipewe nafasi ya kuwania Urais 2020, ambapo alifungua kesi ya madai ya kuchafuliwa na kushinda kesi hiyo, alikazia hukumu iliyomtaka mmiliki wa gazeti la Tanzanite, Cyprian Musiba alipe Tsh. bilioni 9 ndani ya siku 14.
Apumzike kwa amani,kabla haijalipwa na musiba Mungu amemchukua
Amekufa bila kumsahemu Musiba huyu pita kuleeee
USSR
Magufuli alitubu kabla ya kufariki.Uzuri moto wenyewe Magufuli ndio kuni, halafu hawa Freemason wewe ndio unawaona ni maaskofu?
Pole sana.