Kimawazo na uwezo wa kufikiria!
unafikiri mtoa mada anaakilitimamu?
Hiyo kweli tupu! hata majibu yao humu Jf si unayaona! wamejaa udini mtupu! wanatamani waislamu wote wafe mara moja!
Umenifundisha jina la kumuita Ally Kombo na mpemba mbishi mara watakaponiita mgalatia au kafiri. Kwa kweli wamefanana na jina lao hilo ulilomuita, loh!
Mwaka mpya, wimbo wa taifa huimbwa kwenye makanisa mengi.
Sijui kolani inasemaje.
Mkuu hapa nashindwa kukuelewa na nimejikuta naangusha kicheko,unachosema unamaanisha au unawakebehi hawa jamaa,hii hoja uliyoitoa inanikumbusha mmoja aliyewahi kusema kuwa matatizo ya zanzibar yanasababishwa na Israel kuikalia Palestina..kila kitu lazima apatikane wa kulaumiwa...
kATIKA HALI ISIYO YA KAWAIDA BENDERA HII INAONEKANA KATIKA MOJA YA KANISA JE HII IKOJE WANAJAMVI!!!
View attachment 74825
We tatizo lako ubongo wako umesimama kwa muda na unategemea mawazo ya wenzako.Mi sijaona mashambulizi hata kidogo zaidi ya watu kuchangia yale wanayoona yanafaa.Tatizo huna hoja unaparamia tu za wenzako.Swadakta! Nashukuru kwa kunisaidia,ndio maana mleta mada tunamshambulia sababu uwezo wake wa kufikiria umeishia hapo kuona bendera ya taifa kwenye nyumba ya ibada ni tatizo!