Bendera ya taifa inafanya nini kwenye jengo la ibada?

Bendera ya taifa inafanya nini kwenye jengo la ibada?

Status
Not open for further replies.
hizi dini za kikoloni hizi zitawaua hizi wapogoro na wamakonde nyie we subiri.
 
Madhabaoni kwa mzee wa upako kuna bendera ya israel,marekani na tanzania!hiyo yote kujipendekeza kwa watawala
 
Kuna watu wa ajabu sana,mbona kwenye madaladala,bajaji,pikipiki,kwenye magari na hadi kwenye mikokoteni kuna bendera za taifa zinapeperushwa.Hata ndani ya nyumba unaruhusiwa kuweka.
 
Kuna watu wa ajabu sana,mbona kwenye madaladala,bajaji,pikipiki,kwenye magari na hadi kwenye mikokoteni kuna bendera za taifa zinapeperushwa.Hata ndani ya nyumba unaruhusiwa kuweka.

Mkuu hadi shingoni mwa mwigulu ipo imefungwa hawahoji ila hapo church ndo macho yao yanaona sana
 
Kwani kuna kosa lolote bendera ya Tanzania kupepea ndani ya ardhi ya Tanzania?
 
Madhabaoni kwa mzee wa upako kuna bendera ya israel,marekani na tanzania!hiyo yote kujipendekeza kwa watawala
Mzee wa Upako ni Kada mzuri wa CCM hivyo ni sehemu ya ''Mfumo Kristo'' sioni ajabu kwa yeye kuweka Bendera kanisani kwake.
 
Mkuu hadi shingoni mwa mwigulu ipo imefungwa hawahoji ila hapo church ndo macho yao yanaona sana
Mwigulu ni Muhuni tu wakawaida hana issue yoyote kwetu sisi watanzania lakini Nyumba za Ibada ni mahali muhimu na pa heshima.
 
Hebu katpe maoni ya katiba banaa, ijumaa iwe weekend. Manake ikifika alhamis mie akili yangu inaanza kujam.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom