Komeo
JF-Expert Member
- May 3, 2011
- 2,498
- 1,172
nunueni na nyinyi mfanye mikeka huko kwenye nyumba zenu za ibada
Wanasubiri kupewa bure kama walivyozoea vya bure, ukiwaambia wanunue panachimbika.
nunueni na nyinyi mfanye mikeka huko kwenye nyumba zenu za ibada
Mkuu chuo sio majengo bali chuo ni taasisi ya kielimu.nyie bwana Benjamini William aliwapa kile chuo baada ya kuona wenzetu bado wapo nyuma kwenye elimu!
ukisema mmejenga chuo utakuwa unapotosha umma
Mkuu si kwamba waislam wanapenda bure au hawana pesa bali mfumo wa utawala wa CCM umetulemaza na kutufanya tuwe watu tegemeziWanasubiri kupewa bure kama walivyozoea vya bure, ukiwaambia wanunue panachimbika.
Wanasubiri kupewa bure kama walivyozoea vya bure, ukiwaambia wanunue panachimbika.
Ohoooo! Basi Mkuu mshughulikie! Lakini halahala, it seems anakutafutia ban mfilisti huyo!
kATIKA HALI ISIYO YA KAWAIDA BENDERA HII INAONEKANA KATIKA MOJA YA KANISA JE HII IKOJE WANAJAMVI!!!
View attachment 74825
Hakuna haja ya kulalamika, dawa na sisi tutundike pia misikitini.huenda hata picha za marais wastaafu na kikwete zimetundikwa makanisani!jamaa wanakula keki peke yao
Kwani hao wanaosali humo ni wakenya au!??
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Mkuu chuo sio majengo bali chuo ni taasisi ya kielimu.
Ni kweli majengo ya Chuo alitupa Mkapa tena bure, lakini chuo kama taasisi ya elimu
ameanzishwa na kuendeshwa na jumuiya za waislam wenyewe.
Hakuna haja ya kulalamika, dawa na sisi tutundike pia misikitini.
Mkuu si kwamba waislam wanapenda bure au hawana pesa bali mfumo wa utawala wa CCM umetulemaza na kutufanya tuwe watu tegemezi
kATIKA HALI ISIYO YA KAWAIDA BENDERA HII INAONEKANA KATIKA MOJA YA KANISA JE HII IKOJE WANAJAMVI!!!
View attachment 74825
kATIKA HALI ISIYO YA KAWAIDA BENDERA HII INAONEKANA KATIKA MOJA YA KANISA JE HII IKOJE WANAJAMVI!!!
View attachment 74825[/QUO
TE]
Nadhani hapo ni jengo la Mahakama ya Rufaa. Hata kama ni kanisani, kwani Misikitini waliwahi kuweka na wakakataliwa?
Mfumo kristo waanza kujidhihirisha sasa.
Hiyo kweli tupu! hata majibu yao humu Jf si unayaona! wamejaa udini mtupu! wanatamani waislamu wote wafe mara moja!