Mwana Mtoka Pabaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 15,117
- 16,506
Ndio. Kama chuo Kikuu tayari tumeshaanzisha Pale Morogoro.
Hospitali kwa ujumla bado sana(Ziko chache sana) ila tunawafuata nyuma kwa mbali sana. Tutafika tu.
Kile cha Mkapa? Kile kilichokuwa cha TANESCO? Tehe tehe tehe, kweli we mfilisti umechanganyikiwa, nimesema KUJENGA sio KUPEWA.
Hata hivyo, hongereni kwa kupewa chuo kikuu cha wafilisti. Kuna watu humu wanawadharauni wakidhani kimeshakufa, naomba tushirikiane mimi na wewe kuwaonesha kuwa bado kipo na kinabamba ile mbaya. Mimi naanza na picha ya mahafali, wewe endelea na mambo ya academic
View attachment 74838