Bendera ya taifa inafanya nini kwenye jengo la ibada?

Bendera ya taifa inafanya nini kwenye jengo la ibada?

Status
Not open for further replies.
Mkuu lengo ni kuweka uzani sawasawa, kwani unaweza ukakuta nyinyi wagalatia mnapewa na ruzuku kwa kitendo cha kupeperusha bendera ya taifa tu!

Mbona saana tu, huoni makanisa yetu yanavyopendeza!? tunavyojenga na mashule,mavyuo na mahospitali, na ninyi peperusheni msikitini mpewe ruzuku kama sisi wagalatia na makafiri
 
wewe unashangaa bendera kuwekwa Kanisani...sisi kanisani kwetu kila jumapili moja ya vitu tunavofanya ni kumwombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,ndugu Jakata Mrisho Kikwete,...hilo vp nalo nalo ni mfumo Kristo...sisi kwetu ni ishara ya upendo
kATIKA HALI ISIYO YA KAWAIDA BENDERA HII INAONEKANA KATIKA MOJA YA KANISA JE HII IKOJE WANAJAMVI!!!

View attachment 74825
 
na wewe mfilisti si uende kwenye tume ya katiba ukadai ruzuku??
Mkuu ''Mfilisti'' ni tusi huku kwetu maana wale walikuwa hawatahiriwi.
Kwetu kutahiriwa ni suna kubwa.
Bora uniite maamuma itakuwa poa tu.
 
mkuu ''mfilisti'' ni tusi huku kwetu maana wale walikuwa hawatahiriwi.
Kwetu kutahiriwa ni suna kubwa.
Bora uniite maamuma itakuwa poa tu.
mimi mbona sikukuchagulia jina la kuniita? Ulikurupuka ukaniita mgalatia, sikusema lolote kwa kuwa najua fika kuwa mimi sio mgalatia, na wewe tulia tuli nikikuita mfilisti (au mwenzangu ni mfilisti kweli? Kama sio kweli hofu yako ni nini?)
 
Huwa kunakuwa na Ibada maalum siku ya sikuu za kitaifa.Na ndio maana siku ya Jumapili wameweka bendera ya Taifa na huimba pia wimbo wa Taifa mwisho wa ibada kwa ajili ya kuliombea Taifa na si vinginevyo,sababu ilikuwa kumbukumbu ya UHURU wa Tanganyika.Hata misikitini wana haki ya kuombea Taifa wakiamua.Hakuna cha mfumo Islamu wala mfumo Kristu ni uamuzi tu wa kuonyesha umuhimu wa siku hiyo kwa Taifa la Tanganyika.
 
mimi mbona sikukuchagulia jina la kuniita? Ulikurupuka ukaniita mgalatia, sikusema lolote kwa kuwa najua fika kuwa mimi sio mgalatia, na wewe tulia tuli nikikuita mfilisti (au mwenzangu ni mfilisti kweli? Kama sio kweli hofu yako ni nini?)
Kweli mkuki kwa Nguruwe.... Any way mimi mfilisti.
 
hakuna shida hata nyumbani kwako kaweke inaonyesha jinsi gani unapeperusha bendera ya nchi yako
 
Unakuta bendera ya Israel na Marekani kanisani wakati ya Tz hakuna.Bado tunasafari ndefu sana
 
kwani nani katukataza tusiweke? Halafu tunakosea kitu kimoja.hutakiwi uwe unafanya mambo kwa kuwa mwenzako anafanya bali fanya kwa kuwa kufanya hivyo ni sahihi na kuna faida kwako

hakuna tatizo hapo mtoa mada don't think rigidly. Unatupotezea time na kujaza threads.
 
Mfumo kristo waanza kujidhihirisha sasa.

Naona wewe huelewi, wakristo huweka bendera Hata ndani ya nyumba ya ibada sio hiyo uliyoiona nje tu, na pia kwa kukufahamisha Kama nyumbani kwako kuna makochi badala ya vigoda au Jamvi/kapet ;ujue mfumo kristo unatawala Hata nyumbani kwako,!,
 
Tena afadhali umenikumbusha. Ninayo, ngoja nikaitafute nilipoihifadhi halafu nikaiweke ghetto kwangu.
Hiyo ni alama ya kuonyesha kwamba eneo hilo lina mtanzania na najivunia kuwa mtanzania!
 
kATIKA HALI ISIYO YA KAWAIDA BENDERA HII INAONEKANA KATIKA MOJA YA KANISA JE HII IKOJE WANAJAMVI!!!

View attachment 74825

Wakuu

kunawakati viongozi wajuu wa serikali hualikwa kufanya shughuri mbalimbali za maendeleo kama ufunguzi wa mashule, hospitali na huduma zingine za kijamii.

Bahati mbaya sielewi ni wapi hapo, lini na wakatigani bendelera hiyo ilikuwa ikipepea. isijeikawa palikuwa na tukio flani lililomhusisha kubwa mmoja serikali. Kunasababu nyingi za uwezekano wa bendera hiyo kuwepo hapo, ni mawazo yangu hata hivyo.
 
mimi mbona sikukuchagulia jina la kuniita? Ulikurupuka ukaniita mgalatia, sikusema lolote kwa kuwa najua fika kuwa mimi sio mgalatia, na wewe tulia tuli nikikuita mfilisti (au mwenzangu ni mfilisti kweli? Kama sio kweli hofu yako ni nini?)

Umenifundisha jina la kumuita Ally Kombo na mpemba mbishi mara watakaponiita mgalatia au kafiri. Kwa kweli wamefanana na jina lao hilo ulilomuita, loh!
 
Last edited by a moderator:
hakuna tatizo hapo mtoa mada don't think rigidly. Unatupotezea time na kujaza threads.
Tatizo lipo haiwezekani bendera kupepea kanisani.Tunaamini serikali na dini ni vitu tofauti sasa iweje kanisa hilo lipeperushe bendera ya Taifa jambo hili linatoa tafsiri tofauti hasa wale wanaolalamikia serikali kuwa inaendeshwa na mfumo unaopigiwa kelele.Hoja zao zinathibishwa na mambo kama hayo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom