kATIKA HALI ISIYO YA KAWAIDA BENDERA HII INAONEKANA KATIKA MOJA YA KANISA JE HII IKOJE WANAJAMVI!!!
View attachment 74825
kATIKA HALI ISIYO YA KAWAIDA BENDERA HII INAONEKANA KATIKA MOJA YA KANISA JE HII IKOJE WANAJAMVI!!!
View attachment 74825
lakini sikauliza mbonamnatoa upepo hivyo.
Umeona eeh,Mfumo kristo waanza kujidhihirisha sasa.
kumbe ndio unaanza kujidhihirisha sahizi.kumbe wale waliotuambia ulikuwepo tokea uhuru wamesema uongo mkuu! Ok!mfumo kristo waanza kujidhihirisha sasa.
kwani nani katukataza tusiweke? Halafu tunakosea kitu kimoja.hutakiwi uwe unafanya mambo kwa kuwa mwenzako anafanya bali fanya kwa kuwa kufanya hivyo ni sahihi na kuna faida kwakoumeona eeh,
dawa yake na misikitini pia tuweke bendera za taifa.
Kwani kuna mtu kawazuia kuweka bendera ya taifa?Umeona eeh,
Dawa yake na misikitini pia tuweke Bendera za taifa.
anaweza akawa hana au anazo au udini unamsumbua ila pengine hajui na huu ndio wasiwasi wangu,na yeye ntu jamani we huoni ametumia hali isiyo ya kawaida.unafikiri mtoa mada anaakilitimamu?
nivea na huyu je?Mfumo kristo waanza kujidhihirisha sasa.