Ndio tutaweka, si mmeanza wenyewe.Hata ikikaa msikitini sio mbaya, iwekeni tu.
Ndio tutaweka, si mmeanza wenyewe.Hata ikikaa msikitini sio mbaya, iwekeni tu.
safi sana, kwa hiyo mtakuwa mnaweka sio kwa kuwa mnajua maana ya bendera kukaa kwenye nyumba za ibada, ila mtakuwa mnaweka kwa sababu mnataka ushindani.ndio tutaweka, si mmeanza wenyewe.
Tuko tofauti jamani!
Hata ikikaa msikitini sio mbaya, iwekeni tu.
Ndio tutaweka, si mmeanza wenyewe.
Kidini yetu hairuhusiwi Ijumaa kuwa siku rasmi ya mapumziko kwa sababu ya kupisha Ibada, inapaswa saa ya Ibada ikifika unakwenda kuswali kisha unarudi kuendelea na kazi.Hebu katpe maoni ya katiba banaa, ijumaa iwe weekend. Manake ikifika alhamis mie akili yangu inaanza kujam.
Unazeeka sasa mkuu Bujibuji, hebu kama unaujuzi wa kukorokochoa pikcha kwa fotoshopu fanya hisani tu kwa manufaa yako halafu tuone kama itakuwa 'sio mbaya'
View attachment 74828 Haya mi nimechangia nyumba ya ibada, we weka bendera tuone
Tumeanza pia kujenga Vyuo Vikuu na Mahospitali, nayo mtalipiza?
Ndio. Kama chuo Kikuu tayari tumeshaanzisha Pale Morogoro.Tumeanza pia kujenga Vyuo Vikuu na Mahospitali, nayo mtalipiza?
kATIKA HALI ISIYO YA KAWAIDA BENDERA HII INAONEKANA KATIKA MOJA YA KANISA JE HII IKOJE WANAJAMVI!!!
View attachment 74825
Mkuu lengo ni kuweka uzani sawasawa, kwani unaweza ukakuta nyinyi wagalatia mnapewa na ruzuku kwa kitendo cha kupeperusha bendera ya taifa tu!safi sana, kwa hiyo mtakuwa mnaweka sio kwa kuwa mnajua maana ya bendera kukaa kwenye nyumba za ibada, ila mtakuwa mnaweka kwa sababu mnataka ushindani.
Viva forever
Ndio tutakwenda kuweka, wagalatia wamemwaga ugali na sisi tunamwaga mboga.
Mkuu lengo ni kuweka uzani sawasawa, kwani unaweza ukakuta nyinyi wagalatia mnapewa na ruzuku kwa kitendo cha kupeperusha bendera ya taifa tu!
Msimwage mboga tu, toboeni na sahani kabisa, wekeni hadi kwenye kila nyumba ya muumini ndo wajue kuwa mpo
Mzee wa Upako ni Kada mzuri wa CCM hivyo ni sehemu ya ''Mfumo Kristo'' sioni ajabu kwa yeye kuweka Bendera kanisani kwake.
Baba v huyo jamaa/binti anamatatizo,utakuwa unapoteza muda tu hapo.
CCM ni chama tawala hapa Tanzania na ndicho ambacho kiliasisi na kuulea ''Mfumo Kristo'' hapa Tanzania.Hadi sasa hujajua tofauti ya ccm na Tanzania?