Ben Saanane na wenzake wapata ajali mbaya

Ben Saanane na wenzake wapata ajali mbaya

Mkuu FF inanikumbusha kipindi kile baada.ya.jamaa kushindwa kumuwekea sumu prezidaa Zitto na Habib Mchange walipokuwa hotelini Moro kuelekea Iringa jamaa walilegeza stud za tairi la gari wakijaribu kummaliza kwa njia ya ajali.

Devil on line
 
Poleni sana ndugu wote mlioguswa na ajali hii na misiba.. Tunawatakia faraja ya Mungu wote mliopoteza ndugu na wale mliosalimika tunawatakia mpone haraka...
 
Poleni sana ndugu wote mlioguswa na ajali hii na misiba.. Tunawatakia faraja ya Mungu wote mliopoteza ndugu na wale mliosalimika tunawatakia mpone haraka...
 
Poleni nyote mlioguswa na misiba hii. Mkuu Ben Saanane Mungu akurejeshee afya njema ya mwili na akili... Amen
 
Last edited by a moderator:
Poleni wafiwa wote, Mungu awatie nguvu na uvumilivu katika kipindi hiki kigumu na cha masikitiko. R.I.P Faith, na R.I.P Allan. Amen
 
Habari tulizopata muda huu ni kuwa Ben Saanane amepata ajali mbaya eneo la Maili moja Kibaha wakielekea Rombo Kilimanjaro kwa ajili ya kampeni pamoja na Marafiki zake wawili .
Gari inayomilikiwa na Allan Meshili aina ya Prado T377ACG iligongwa na gari nyingine na kupoteza mwelekeo kisha ikavaana uso kwa uso na gari ya aina ya scania ya mafuta.

Kuna watu wapo eneo la tukio watatutumia taarifa zaidi
UPDATES:
Taarifa yakusikitisha nikuwa wale walipata ajali sambamba na Ben wamefariki dunia mda huu.......

CHANZO : Yericko Nyerere, facebook.
 
acha uzushi huenda ukafa wewe ukamwacha Ben
 
acha uzushi huenda ukafa wewe ukamwacha Ben

we mwehu nini? mimi nimeuliza swali na nimeona kwenye ukurasa wa Yericko Nyerere kule facebook, so nimeuliza kupata uhakika, wewe unaniambia niache uzushi.
 
Ben hajafariki. ...

Hii habari ya ajali ilishaletwa humu jamvini. ..
 
Duhh mungu ailaze roho yake mahali pema peponi kma ni kweli lakin.
 
Habari tulizopata muda huu ni kuwa Ben Saanane amepata ajali mbaya eneo la Maili moja Kibaha wakielekea Rombo Kilimanjaro kwa ajili ya kampeni pamoja na Marafiki zake wawili .
Gari inayomilikiwa na Allan Meshili aina ya Prado T377ACG iligongwa na gari nyingine na kupoteza mwelekeo kisha ikavaana uso kwa uso na gari ya aina ya scania ya mafuta.

Kuna watu wapo eneo la tukio watatutumia taarifa zaidi
UPDATES:
Taarifa yakusikitisha nikuwa wale walipata ajali sambamba na Ben wamefariki dunia mda huu.......

CHANZO : Yericko Nyerere, facebook.

Mkuu Likud unaheshimika sana hapa jukwaani,kuwa mwangalifu
 
Ben hajafariki. ...

Hii habari ya ajali ilishaletwa humu jamvini. ..

Asante kwa taarifa ndugu, nimekuta kwenye ukurasa wa Yericko Nyerere anasema wote wamefariki.

[h=5]Yericko Nyerere
[/h]23 hrs · Edited ·

Habari tulizopata muda huu ni kuwa Ben Saanane amepata ajali mbaya eneo la Maili moja Kibaha wakielekea Rombo Kilimanjaro kwa ajili ya kampeni pamoja na Marafiki zake wawili .
Gari inayomilikiwa na Allan Meshili aina ya Prado T377ACG iligongwa na gari nyingine na kupoteza mwelekeo kisha ikavaana uso kwa uso na gari ya aina ya scania ya mafuta.
Kuna watu wapo eneo la tukio watatutumia taarifa zaidi
UPDATES:
Taarifa yakusikitisha nikuwa wale walipata ajali sambamba na Ben wamefariki dunia mda huu

Na hapo chini ni maneno ya Bob Chacha Wangwe

Bob Chacha Wangwe Ben Wa Saanane
Ni muda mchache uliopita nilikua nanyi,tukicheka
,Kutaniana na kupeana moyo katika ndoto zetu
Allan Patrick Meshili ,Umetangulia.Umeniacha rafiki
yako uliyeniahidi utakua nami hadi tone la Mwisho.
Umeniachia msiba mkubwa Moyoni.Sijawahi kuwa
na Rafiki wa Kweli kushinda kipimo chako
Allan.Umetimiza Ahadi yako hadi Pumzi yako ya
Mwisho
Faith Makundi,Nilihama siti ya mbele nikahamia
kiti cha nyuma ili nisome kitabu ulichoniletea kama
zawadi "Banker to the Poor"-Profesa Muhammad
Yunus .Uliniahidi kutumia likizo yako kuhakikisha
kipindi hiki tunapanga na kutekeleza yote
tuliyokubaliana hasa proposal yangu ya kutumia
vikoba phasewise na kuanza mchakato wa
kutengeneza network kwa ajili ya kuanzisha Benki
ya Maendeleo ya Watu wa Rombo.Ulinishawishi
nichukue likizo pia kipindi hiki kama wewe na Allan
kabla hujarudi Afrika Kusini .Tulienda Rombo kwa
ajili ya kampeni lakini pia kupata practical
experience ya hali ya Rombo
Sasa mmetangulia,bado nichukue Likizo kwa ajili
ya nini sasa?
Washirika wangu,watu muhimu katika safari yangu
nimewapoteza kwa mkupuo mbele ya Macho
yangu.
Sitamkufuru Mwenyezi Mungu,Ana mipango yake.
Ni machozi ya uchungu,Sina wa Kumlilia zaidi
yako wewe Mwenyezi Mungu uwalaze pema peponi
Allan na Faith
Familia zinahuzunika na kuwalilia.Ni msiba
mkubwa kwetu sote
Nahisi Moyo wangu unazimia kwa huzuni.Ni
uchungu mkali Moyoni.
Asanteni Makamanda mlioahirisha safari zenu na
kuungana nami hadi Muhimbili.Mlinitambua kwa
Tshirt ya M4C mkaungana nasi hadi muda huu
tunapotoka Muhimbili.Wapo marafiki zangu wa
kwenye mitandao # Gabriel na Mkewe # Joyce
Mungure.Asanteni sana
Namshukuru Mungu kwa kuniponya katika ajali
hii....!Ni wewe pekee Unayejua kwanini
umeniponyakatika ajali hii ya tatu katika maisha
yangu .Sitakuhoji...!
Kwa leo sina mengi ya kusema.
Mungu awabariki wote mlioungana nasi Muhimbili
na marafiki wote mlioko Mbali
Jina la Bwana lihimidiwe !
 
Mkuu Likud unaheshimika sana hapa jukwaani,kuwa mwangalifu

Mkuu nimeikuta taarifa facebook kwenye ukurasa wa Yericko Nyerere, nimeileta hapa ili kupata uhakika. Kosa langu ni lipi hapo mkuu?
 
Back
Top Bottom