Ben Saanane na wenzake wapata ajali mbaya

Ben Saanane na wenzake wapata ajali mbaya

Mungu azilaze mahali pema roho za marehemu na pia awaponye haraka wale waliopatwa na majeruhi.
 
Mungu awape faraja ya kweli ndugu Na marafiki wote wa Marehemu. Hakika ni kipindi kuhusu.
Hakika Mungu wetu anamakusudi ya kila atendalo. Tushukuru kwa kila jambo Na tumrudishie utukufu.
 
R.I.P makamanda waliotutangulia
Pole Ben mungu akupe nguvu na kukuponya
 
hivi chama kilitoa rambirambi kwa waliopoteza maisha? hapo ndo utampenda JK ni binadamu sana kwa hili lazima angeenda msibani
 
Inahudhunisha kwa kweli.
Tujifunze kwa Ayubu kwani hata baada ya mali na watoto wake kupukutika bado alimtukuza Mungu.
Katika kila gumu mwanadamu analolipitia kuna sababu.

Pia mhubiri 3:1 -
Tunaambiwa "kwa kila jambo kuna majira yake, Na wakati kwa kila kusudi chini ya mbingu"
 
Poleni sana wote mliokumbwa na mkasa huu!
 
Mungu awape faraja yake wote mlioguswa na misiba hii. Na marehemu wapumzike kwa amani. Amina.
 
Back
Top Bottom