nuruyamnyonge
JF-Expert Member
- Mar 18, 2014
- 4,448
- 2,304
Umenielewa. Hivyo ndivyo ilivyo. Kifo hakina siasa.
Mambo ya kulishana sumu yanatoka wapi hapa? Katika kipindi kigumu ni vizuri kuweka propaganda pembeni dada! Kama alitaka kumlisha huyo mshirika wako sumu mbona hukumpeleka mahakamani?