Tony Gwanco
JF-Expert Member
- Jan 22, 2013
- 5,913
- 1,217
Yaani kuna watu humu wanatamani wangekuwa Mungu wabadilishe maamuzi ya Mungu,kwamba wamesikitika sana kuona Ben alipona kwenye ile ajali.Mtabaki mnaumia Mungu hapangiwi juu ya utendaji wake wa kazi...!!!!!
CC. Faiza Foxy,Mingoi,Tony Gwanko
makada wa ccm wakifa mnasema wacha wapingue .