Ooh jamani kaandika kwa uchungu...., nimetamani hadi kulia
Dada hembu wafundishe hao kaka zako ifeero sijui na huyo mwingine msalani adabu maana naona wameamua kujitoa ufaahamu wape elimu dunia na akhera inaweza wavusha hapo walipo wana hali mbaya sana amini hivyo.
Kifo hakijui siasa mama. Hili ni pigo kubwa kwa Ben Saanane kama binaadam na tunampa pole yeye kwa kuumia na kwa kufiwa na makamanada wenzake na uchungu alionao leo hii utamfanya afikiri wale aliotaka kuwaua kwa sumu wenza wao wa karibu wangekuwa katika hali ipi? laiti mipango yake ya kuuwa kwa sumu ingefanikiwa (kama haijafanikiwa)!
Umeandika nini hapa na wewe? Ovyo kabisa!
So sad.... I couldn't hold my tears ameandika kwa uchungu mkuu