Ben Saanane awatoa Mafichoni Zitto na wenzake

Ben Saanane awatoa Mafichoni Zitto na wenzake

Status
Not open for further replies.
saa8 mwambie dr slaa aache kutuma SMS za vitisho. hii kazi akuachie wewe yeye ni rais.

ujanja wa zitto wote chini shauri ya saa8 kavamia kikosi chake na kukivurumisha.

tumpe saa8 kazi ya kumshughulikia nape. wamesoma wote india

Nape hawezi kumgusa ben hata sikumoja anajua shughuri yake
ben hanaga maneno mengi yeye ni ku attach document mthibitishe wenyewe

kwa sababu nape anajifanya maneno mengi huyu ataweka Video kabisa
 
Zitto' hamto muweza na fitina zenu, kaeni mkijua, mbinu walizo tumia kuwa ua wanasiasa waliopita ndizo hizi mnazitumia kwa ZITTO. Hapo mmechemka ile mbaya na tutaona mwisho wenu

Mimi huruma yangu ni kwa panya
kakwama kwa ben tu, jipangeni vizuri ben bado anawafutailia na ile saa yake mwaka mbaya kwenu huu
 
Apelekwe Ujerumani sasa hakawahujumu wale wazungu wanaomualikaga zitto kutoa speech za maendeleo na maoni yake.

Wale nao ni hatari kwa status quo ya CDM maana ujue watoa misaada huja masharti yao, it is only a matter of time kabla hawajawalima barua CDM (kama bado) ya kutaka uongozi ubadilike hili misaada iendele, si unajua wana anzaga na kumualika alika mtu mara tu wanampa full backup, wale hawafati ushabiki ni hatari atupwe kule kijana mapema.

atafutiwe tunguri za kupambana na tunguri za wasaliti
 
Mimi kwetu hata nyasi hazitapona. Kwikwi kwi,haaa. Eti pindua mbowe,kweli ujana maji ya moto. Ikiwezekana huyu saa9 na wenzake weka pembeni.
 
Huyo Ben wenu hana tofauti na ujio wa shibuda ndani ya CDM
Mimi huruma yangu ni kwa panya
kakwama kwa ben tu, jipangeni vizuri ben bado anawafutailia na ile saa yake mwaka mbaya kwenu huu
 
Huyo saa 8 ipo cku mtajuta
saa8 mwambie dr slaa aache kutuma SMS za vitisho. hii kazi akuachie wewe yeye ni rais.

ujanja wa zitto wote chini shauri ya saa8 kavamia kikosi chake na kukivurumisha.

tumpe saa8 kazi ya kumshughulikia nape. wamesoma wote india
 
Kama kuna wapuuzi wanadhani vita hii ni ya kummaliza Zitto kisiasa basi wanajidanganya sana maana hawajitambui kuwa wapo kwenye vita ya kuimaliza CDM kisiasa kwa kushabikia upuuzi huu.

Ni rahisi sana kuihubiri demokrasi majukwaani dhidi ya mwenzako lakini kuitekeleza mwenyewe niswala lingine pia

Kinachotokea ni changamoto za kidemokrasia ndani ya chama hasa baada ya kuvuna wanachama lukuki ambapo kwenye chaguzi makundi hayaepukiki.
Cha msingi ni uimara wa chama kuhandle haya makundi yaliojitokeza ili chama kisonge kama kitu kimoja.
Lakini kinachoonekana ni kwamba kwenye uchaguzi wa BAVICHA kuna watu waliona wameonewa kwa maamuzi ya kibabe. Sasa badala ya viongozi wa chama kutafuta suluhu wao wakaanza kuwatenga hawa wanaohisi kuonewa na matokeo ndio haya. Watu wanaongea yaliyopo mioyoni mwao bila kujali tena ummoja kama chama

Dr na Mbowe msisubiri hali ikawa mbaya kisha mkaja na maamuzi yenu ya kijazba.............kufukuza
Kaeni chini na hawa vijana bana, ongeeni nao kwa uhuru mpana kabisa nahakika mtapata suluhu na chama kitasonga mbele kama kitu kimoja
Lakini kukaa kimya as if hakuna fukuto ni sawa na kusubiri moto upambe moto ndipo mjaribu kuuzima

Napinga mno kwamba Chadema wakae chini kuwajadili Vijana hawa akiwemo Shonza.Let them go .Kama Shonza alishinda leo anawezaje kuwa hivi .Nina shauri Zitto pekee ndiye akae na viongozi wenzake wawekane sawa but the rest just place them in the garbage kwanza wana Chama tayari hawatasumbuka waache waende .Hakuna kuwa na watu wasio kuwa na adabu .Majuzi nilisema kwamba kutafumuka ukweli I meant it kabla sijaamka Ben kaweka mambo .Hapa ndiyo mwisho wa fitina waache vijana hawa waondoke wamekuwa wakipoteza muda wetu sana si kwenye forums no hata nje kwenye maisha yetu wakati tunawazia ujenzi wa Tanzania .
 
KWELI Saa8 ni Saize ya Nape na Nchemba [First Class Degree]

saa8 mwambie dr slaa aache kutuma SMS za vitisho. hii kazi akuachie wewe yeye ni rais.

ujanja wa zitto wote chini shauri ya saa8 kavamia kikosi chake na kukivurumisha.

tumpe saa8 kazi ya kumshughulikia nape. wamesoma wote india
 
Mapambano bado yanaendelea,tunampongeza kwa kazi nzuri.Tunajitoa mpaka tushinde,watatunukiwa siku ya uhuru wa mafisadi.
 
Huyo Ben wenu hana tofauti na ujio wa shibuda ndani ya CDM

Hamna shida chamsingi ameweza kuwaonyesha kuwaonyesha kwa mipango mliyokuwa mnafanya Mungu haipendi

Hivi hadi sasa mnajisikiaje? Mtarudi kwa Sangoma tena ama inakuwaje au zzk atawamwaga kama kawaida yake
poleni vijana wangu huku mtaani ni kugumu hakuhitaji matarajio mengi sana kuweni na subira
 
hakuna mwema hapo,si huyo sanane wala wenzake,maana nae alishiriki ktk vikao vya kutengeneza makundi ndani ya chama,kwa hiyo kama ni kutoa watu mafichoni nae kajitoa mafichoni,maana huwezi shiriki vikao vya kupindua nchi na baadae uje uwaripue wenzako na wewe ubaki salama. kikawaida hiyo haiwezekana na kama viongozi wa chadema ni waelewa yawezekana sanane akawa ndio mbaya zaidi ya hao wengine,maana ndio aliyekuwa akiengineer mipango yote ya utengenezaji wa kundi na kutoa majina ya kijasusi na hii ni kwa mujibu wa mada zilizowekwa humu na hata yeye amekili kuwa ni mmojawa waanzisha kundi la M7,V4V ,unaanzishaje kundi ndani ya chama na bado anaonekana ni shujaa? HAPO NDIPO MNAPO NIACHA HOI
 
saa8 mwambie dr slaa aache kutuma SMS za vitisho. hii kazi akuachie wewe yeye ni rais.

ujanja wa zitto wote chini shauri ya saa8 kavamia kikosi chake na kukivurumisha.

tumpe saa8 kazi ya kumshughulikia nape. wamesoma wote india

mku kwenye simu like unagongea wap nikupe lilike kuubwaaa
 
Mh! Zitto siyo lazima uwe rahisi,kazi uliyofanya mpaka sasa ni kubwa tu,kaa utulie ulinde heshima yako,achana na mambo ya usaliti,TUJENGE CHAMA KAKA cha Chadema ili tulete ukombozi wa kweli.
 
Dr. Slaa toeni masalia yote hata wabaki wananchama wachache lakini wenye maono na si wengi wasio na maono na wachumia tumbo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom