kumbe hata CCM wanavyosema kuwa wamechafuka, hivyo wanakazi ya kujisafisha, wanakuwa wanasema kweli, maana sasa naona, CDM nao wanafanya yaleyale , yaliyokuwa yanafanywa na CCM, chama kilichosadikishwa kwa wananchi kuwa kimekwisha. lkn sasa kile chama kilichoonekana kinaweza kuwa mbadala, sasa kinaleta tabia zilezile za aliyekwisha. maana zinaanzishwa tuhuma nzito, barabarrani. kuonyesha kuwa chama hakina vikao, makada ruksa kuparurana. jamani hii si ilikuwa SERA ya CCM, na CDM ikiwa na SERA bora ambazo CCM inaziiba na kuwa tekelezea wananchi. na ndo maana sasa CDM nayo imeamua kuiba UJINGA. na kuutekeleza kwa wafuasi wao, ambao wanapongezana na kupeana , ushujaa nje ya vikao. nini hiiiii au ni ganzi .