Ben Saanane awatoa Mafichoni Zitto na wenzake

Status
Not open for further replies.

Bill

JF-Expert Member
Oct 5, 2007
8,290
8,511
Nashawishika kuamini kuwa kilichosemwa na Ben Saa8 kina ukweli kutokana na watuhumiwa wote kukimbilia kuzima hoja. Ukianza na Zito, Mchange, Mwampamba, Juliana na wengine. Hii haraka imetoka wapi? Je ingekuwa hakuna ukweli basi angetokea mmoja tu kujibu ama wangempuuza, lakini sasa kila mmoja anakuja na mashambulizi yake na cha ajabu maelezo yao yanathibitisha maelezo ya Ben Saa8 badala ya kukanusha.

Hawa watu wanapojibu wana wa-attack moja kwa moja viongozi wakuu wa CHADEMA. Hii linadhihirisha ajenda yao na chuki waliyonayo kwa uongozi na hasa Dr Slaa.

Wanaenda moja kwa moja kumtetea Zito, ambaye ndiye mhimili wa huu uasi.

Wanatoa maelezo ambayo hayajibu hoja badala yake wanaleta sintofahamu nyingine na mkanganyiko.

Viongozi hawa wa BAVICHA pamoja na ZITO wamekosa sifa, wanatakiwa kufukuzwa uongozi, na ikibidi uanachama.

Hawapo kwa ajili ya kujenga chama badala yake kubomoa.

Zaidi sana nimpongeze Ben Saa8 kwa kulianzisha hili kwani MaYUDA kwenye Chama hawatakiwi.
 
Ben Saanane Mwenyewe ni maliti na hilo amelikiri kwa hiyo anachotaka ni kujiosha tu hapa ili tumuone kwamba ni msafi yani huyo naye ni msaliti tu aoswe.

Yeye alikuwa shushu field kukusanya data we unamuona msaliti kumbuka ameweza kukusanya ushaidi wa mipango yao na mbinu zao za usaliti ili apate taarifa ilibidi awe mhusika hakuwa na njia nyingine ya kuwaumbua kwa hoja na ushahidi wa wazi bila kujoin nao
 
Ben Saanane Mwenyewe ni maliti na hilo amelikiri kwa hiyo anachotaka ni kujiosha tu hapa ili tumuone kwamba ni msafi yani huyo naye ni msaliti tu aoswe.

Hapana, Ben Saa8 hakuwa msaliti bali amefanya kazi nzuri sana. Kazi aliyotumwa ameimaliza. Hoja kwamba haonekani kwenye ujenzi wa Chama kwenye majukwaa ni dhaifu kwani kazi hii aliyoifanya ni moja ya kazi za ujenzi wa Chama.

Hongera Ben Saa8 na Mamuya mmefanya kazi nzuri.

Maana Watu wangejitolea kujenga chama huku wengine wako bize kubomoa.

Fire them all, Zitto,et al!
 
haingii akilini hata kidogo wote wamekubali ni marafiki wa Saanane alafu wanasema wao ndo wako karibu na Zitto alafu mshirika mwenzao hapana, wala hajawahi kuonana na Zitto!!! hapo wakatafute wakumdanganya, kama wao wote walikuwa kundi moja na washirika wa Zitto basi Saanane na Zzk aka dogo ni watu wanaofahamiana.
 
Ben saanane ni kijana shujaa sana nampongeza sana na Nina amini ametutoa pabaya kwani sasa majibu tumeyapata ya maswali tuliyokuwa tunajiuliza mfano.

1-kwanini zito haonekani kwenye harakati?
2-kwa nini zito amekuwa akipingana na wenzake pale wanaposhinikiza serikali?
3- kwanini Zitto amekuwa akipingana na kukejeli safari za JK wakati yeye kila kukicha ni pipa?
4-kwanini zito hapokei ushauri wa wazee wa cdm?
5-kwanini ajione yeye ndio anayefaa Kuwa raisi ndani ya cdm na sio mwingine?

Hapo ndio nadhibitisha Kuwa alikuwa anavuruga cdm badala ya kuijenga. Asante sana Ben Saanane kwa ujasiri wako.
 
Na kwa nini ashinikize umri wa wagombea Uraisi upunguzweeeeeeeeee..................... ????????????????????
 
Nampongeza Ben Saa8 kwa kazi nzuri aliyofanya!! Super Intelligence!!! Mmekwisha ZZK prezzo na kundi lako!!! Uongozi wa CDM do the needful to the kikundi cha watu wanne na zito kiongozi wao wa tano!!! Wekeni pembeni kwa kutumia nguvu ya umma!!! No conflict!!! Zitto subiri 2015!!
 
Ben saanane ni kijana shujaa sana nampongeza sana na Nina amini ametutoa pabaya kwani sasa majibu tumeyapata ya maswali tuliyokuwa tunajiuliza mfano.

1-kwanini zito haonekani kwenye harakati?
2-kwa nini zito amekuwa akipingana na wenzake pale wanaposhinikiza serikali?
3- kwanini Zitto amekuwa akipingana na kukejeli safari za JK wakati yeye kila kukicha ni pipa?
4-kwanini zito hapokei ushauri wa wazee wa cdm?
5-kwanini ajione yeye ndio anayefaa Kuwa raisi ndani ya cdm na sio mwingine?

Hapo ndio nadhibitisha Kuwa alikuwa anavuruga cdm badala ya kuijenga. Asante sana Ben Saanane kwa ujasiri wako.

6. Kwa nini Zito atangaze nia ya kugombea Urais 2010 wakati akijua Chadema inamgombea ambaye alikuwa ni Dr. Slaa?
7. Kwa nini Zito atangaze kugombea urais mapema namna hii (2012) wakati wenzake wapo kwenye harakati za kujenga Chama?
8. Kwa nini Zito awe karibu kiasi kile na Usalama wa Taifa wanaoshughulikia siasa?
9. Kwa nini ......
 
ndiyo maana Zitto anajigamba eti sigombei ubunge 2015 kwa tiketi ya CHADEMA, labda atagombea uraisi CHAUMA.
 
Cdm wasimamishe mgombea mngine kigoma bora jimbo liende ccm kuliko kuweko na huyu mdudu mtu.....cdm wasisubiri hukumu ya umma 2015 now it's a right time fire em all.
 
Ben Saanane Mwenyewe ni maliti na hilo amelikiri kwa hiyo anachotaka ni kujiosha tu hapa ili tumuone kwamba ni msafi yani huyo naye ni msaliti tu aoswe.

Kwenye Red and Bold.
We masalia mtoto hebu tuliza Kipago basi
 
ndiyo maana zito anajigamba eti sigombei ubunge 2015 kwa tiketi ya CDM, labda atagombea uraisi CHAUMA.
2010 wakati analopoka kauli yake kuwa 2015 hagombei ubunge atagombea urais niliamini huyu jamaa hakitakii mema Chadema. Nilijua atakivuruga kisha ataenda kugombea chama kingine. Kumbe chama chenyewe ni Chauma. Kwanza nilijiuliza, dogo yupo chini ya 40, atawezaje kugombea? halafu CHADEMA wanaye Dr. Slaa kwa sasa iweje aweke nia? Nikajua DOGO sio, anajua anachokifanya, kwani urais wenyewe hautaki bali ni kutaka kuvuruga tu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom