Ben Saanane awatoa Mafichoni Zitto na wenzake

Status
Not open for further replies.
kwanini hawafukuzwi???????n huyo ben ameachana lini ushoga na zk na walichogombea ni nini au ben kaahidiwa nini na bingwa wa fitna za siasa za chadema freeman mbowe ambae baada ya kushindwa kummaliza zitto kwa kumtumia saeed kubenea sasa anamtumia ben

Acha utetezi wa kijinga wewe. Kubenea hakuwa anashida ya kummaliza Zito bali alikuwa anaexpose ujinga wake aliokuwa akifanya na Zoka (UWT-Siasa) kwa lengo la kuhujumu CHADEMA. Alitoa hadi mawasiliano yao ya simu wakati watu wapo kwenye mchakato wa kutangaza matokeo ya Urais
 
Ben Saanane ni Mkombozi wa nchi hii ... ZZK angeshughulikiwa mapema CCM wangepata pigo kubwa! Wametumia mahakama na sasa wanampa Ruzuku ili awapotezee maovu ya CCM ... CHADEMA inabidi waje na Strategy mpya ya kuwaweka ACT na CCM yake kundi moja na kuwashambulia kwa pamoja .... Kudos Ben Saanane!!! Nina Imani kubwa kwako ...
 
Ni wazi ni kipovu wa macho ya joka la makengeza asiyeweza kubaini uimara na umakini wa hili chama CHADEMA.

Hadi raha, hii ndo CHADEMA bwana, achana na takataka hizi zinazopeperuka tu
 
Nashawishika kuamini kuwa kilichosemwa na Ben Saa8 kina ukweli kutokana na watuhumiwa wote kukimbilia kuzima hoja. Ukianza na Zito, Mchange, Mwampamba, Juliana na wengine. Hii haraka imetoka wapi? Je ingekuwa hakuna ukweli basi angetokea mmoja tu kujibu ama wangempuuza, lakini sasa kila mmoja anakuja na mashambulizi yake na cha ajabu maelezo yao yanathibitisha maelezo ya Ben Saa8 badala ya kukanusha.

Hawa watu wanapojibu wana wa-attack moja kwa moja viongozi wakuu wa CHADEMA. Hii linadhihirisha ajenda yao na chuki waliyonayo kwa uongozi na hasa Dr Slaa.

Wanaenda moja kwa moja kumtetea Zito, ambaye ndiye mhimili wa huu uasi.

Wanatoa maelezo ambayo hayajibu hoja badala yake wanaleta sintofahamu nyingine na mkanganyiko.

Viongozi hawa wa BAVICHA pamoja na ZITO wamekosa sifa, wanatakiwa kufukuzwa uongozi, na ikibidi uanachama.

Hawapo kwa ajili ya kujenga chama badala yake kubomoa.

Zaidi sana nimpongeze Ben Saa8 kwa kulianzisha hili kwani MaYUDA kwenye Chama hawatakiwi.

Nadhani ingekuwa busara kuweka alichokifanya ben saa8 ili tujikumbushe usahihi wa ilichopost hapa mkuu. Kama kuna uzi umo humu ndani naomba link tafadhali
 
Nasoma hii post ...du cdm ni mpango mwema kwa nchi hii natumaini masaliti yakisoma hii post asubuhi hii yataenda church kutubu
 
Wewe huyo dogo hujamuelewa karata aliyocheza. Huyo jimbo analotaka awe mbunge ni la Rombo. Ambalo currently mbunge ni 30. Ana baadhi ya vijana kule jimboni ameshawaandaa kumsapoti na huku mtandaoni anatia jamba jamba ili kuwaaminisha wakubwa kuwa anakubalika. Kibarua kipo mtaa wa ufipa ima kumpiga chini 30 au kumsimamisha huyo dogo. Mtihani uliopo ni kuwa kati ya hao wawili atakayegomewa kugombea kupitia chagadema atahama chama. Hapa probability kubwa atakayepigwa chini ni 8. Kutoka vyanzo vya kuaminika huyo 8 ameshatinga ACT-Wazalendo kuweka nafasi kama backup yake ya kuelekea fodoma.
Ni hayo tu.
 
Source=Sheikh Yahya
 
Well analysis kumuamini mwana siasa ni kujipunguzia siku zako za kuishi na ogopa sana watu wanaoongea sana huwa hawakawii kubadilika
 
Nadhani ingekuwa busara kuweka alichokifanya ben saa8 ili tujikumbushe usahihi wa ilichopost hapa mkuu. Kama kuna uzi umo humu ndani naomba link tafadhali

Utamu wa JF ni ule utunzaji wa kumbukumbu na data zake

Hii thread ni muda lakini kila kitu kimekuja kutokea kama kilivyojulikana

Bado kuna moja kubwa litakuja by September... na litamuonyesha yupi yupo nyuma ya yote haya

pamoja na hayo, game iliyumba baada ya baadhi kutangulia mbele ya haki na wengine kupelekwa nje ya nchi
 
hii inatukumbusha jinsi wengi wetu tulivyokuwa tunamchukulia ZZK japo tulimpenda saana ila tangu hapo tukaanza kuwa na tahadhali nae! Ngoja na mimi niufukue Uzi wangu uliokuwa ukimuinganisha zito na usaliti wa waziiii!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom