Manyanza
Platinum Member
- Nov 4, 2010
- 20,286
- 48,596
This must be Masalia!
mtoto wa shule huyo ni graduate hajui trend ya siasa hapa Tanzania
This must be Masalia!
Jenifa,nimeipenda kazi ya saa8 kujipenyeza kiinteligensia kwenye
kundi la zitto na kuwaumbua wasaliti.
nashauri kijana tumpandishe cheo. je baada ya kuimaliza hii kazi vizuri, tumpe kazi gani nyingine?
kiama chao kimetangzwa leo kwenye mkutano A-town.
mkuu palalisote kumetangazwa nini ndugu yetu,tafadhali tujuze tusiokuwa na taarifa
Zitto ni tatizo binafsi simtaki CDM!
Tangu Ben Saa 8 alipoanika uasi wa Kambi ya "MASALIA" a.k.a PM7, Chini ya Zitto Kabwe na wafuasi wake mambo si shwari. Saa 8 ambaye alijiunga na JF tarehe 18/1/2007 kwa jina lake halisi na kutoa jumla ya post 5,085, alianika UASI wa masalia tarehe 19/12/2012 na kuzua tafrani kwenye kambi ya MASALIA. Taarifa hiyo iliwaibua vinara wa PM7 kina Habibu Mchange, Mtela Mwampamba na Juliana Shonza kutoka mafichoni kujibu tuhuma nzito bila mafanikio. Waliibuka na kutupilia mbali ID zao na kujisajili upya na JF!.. Mtela alijiunga tarehe 19 Dec 2012 na kupost majibu tarehe 20 dec 2012. Shonza alijiunga JF tar 19/dec/2012 na kupost tarehe 20 dec. MCHANGE alijiunga 21/july/2009 akiwa na rekodi ya kupost meseji 20. Waliibuka kujibu tuhuma wakaishia kuanika uchafu wao na Zitto mfadhili wao!..
Baada ya jitihada zao za kujikwamua na tuhuma hizi kushindikana wamerudi nyuma ya pazia pamoja na masalia wengine kwa majina mapya yenye usajili wa Oktoba hadi december ili kumsafisha bosi wao Zitto kabwe aka dogo, prezzo!. Siku nzima ya leo wanapost "utetezi fake!" na kupambana na kila mtu anayewakosoa.
Sasa masalia wmekuja kivingine kwa majina yafuatayo:
1. Alwatan kizigo - who joined JF on 21st dec 2012;
2. Fresh thinking -20/12/2012;
3. Chepe kubwa - 19/12/2012;
4. Mbasansebhu- 17/12/2012;
5. Chicco - 13/10/2012
6. Taswira n.k.