Ben Saanane awatoa Mafichoni Zitto na wenzake

Ben Saanane awatoa Mafichoni Zitto na wenzake

Status
Not open for further replies.
Zitto' hamto muweza na fitina zenu, kaeni mkijua, mbinu walizo tumia kuwa ua wanasiasa waliopita ndizo hizi mnazitumia kwa ZITTO. Hapo mmechemka ile mbaya na tutaona mwisho wenu

Kama akili ni nyewe...mhh..... Nadhani unakipara.... Unaoneshwa moto unakataa unasema barafu...?!
 
Sisi tuna lowassa na nyie mna Zitto, wote hawa hakuna wa kuwagusa, hii ndio siasa. Itabidi kuwavumilia hata kama wanamakosa kwasababu wanajua mengi ya ndani. Ben na hao wenzake hawata athiri chama wakipigwa chini, ni kama madiwani tu.
 
Mie nashauri awe "right hand man" wa 1st lady aka mama Junior aka Josephine
 
Huyo Ben wenu hana tofauti na ujio wa shibuda ndani ya CDM

Saa8 amekuchoma eeehh? naona kila post unalalamika kama mtoto wa kike!Nenda lumumba kuchukue bahasha yako ya kaki.
 
Mi simfahamu huyo Ben zaidi ya kusoma baadhi ya maandiko yake humu. Kwa ujumla inaonekana ni mtu ambaye ana uwezo wake kifikra na kiuchumi vilevile hivyo suala kumpa au kumpandisha cheo sidhani kama litakuwa na maana sana kwake.Kama mshahara wa Bw. Heche ni Tsh. 700,000 tu kwa mwezi (Kwa mjibu waBi Shonza), kwa nafasi yake unapata picha huko CDM watu wanajitolea tu . Ben kwa kazi tu aliyofanya ukweli ni kwamba amefanya baadhi yetu tuliokuwa tumeelekea kuchanganyikiwa tumepumua, hivyo ningeshauri awe tu mfia mabadiliko hizi habari za kupeana vyeo sidhani kama zina mantiki. Jeo mkianza huo utaratibu mtawapandisha wangapi?
 
Kitendo cha kukubali kuwa katika kundi la magaidi at first time ni kosa kubwa. Kwa hiyo hastaili cheo chochote katika chama, tunafundishwa kusamehe lkn inabidi akae chini kama miaka 5 tumchunguze kwanza
 
Mi simfahamu huyo Ben zaidi ya kusoma baadhi ya maandiko yake humu. Kwa ujumla inaonekana ni mtu ambaye ana uwezo wake kifikra na kiuchumi vilevile hivyo suala kumpa au kumpandisha cheo sidhani kama litakuwa na maana sana kwake.Kama mshahara wa Bw. Heche ni Tsh. 700,000 tu kwa mwezi (Kwa mjibu waBi Shonza), kwa nafasi yake unapata picha huko CDM watu wanajitolea tu . Ben kwa kazi tu aliyofanya ukweli ni kwamba amefanya baadhi yetu tuliokuwa tumeelekea kuchanganyikiwa tumepumua, hivyo ningeshauri awe tu mfia mabadiliko hizi habari za kupeana vyeo sidhani kama zina mantiki. Jeo mkianza huo utaratibu mtawapandisha wangapi?

duh...laki saba cheo chote hicho.
 
sasa mi sielewi unamuuliza nani tumpe kazi gani? kwani hiyo ya kwanza alipewa na nani?na ni lini uliijadili janvini na kukubaliana apewe?
 
Wanabodi heshima kwenu,
Nilichompenda BEN Hakuja hapa jamvini kutupa mafumbo sie tufumbue bali alijipanga akamua kusema aliyoona na kushudia kwenye UTAFITI Wake kwa WANACHAMA ambao mchana CHADEMA Usiku CCM na CHAUMA kwa maneno mengine maneno CHADEMA vitendo vyao CCM ndio maana M4C hawakuwa na muda nayo na wengine Slaa akatambua unafiki wao akawapumzisha.
Hivyo wakawa wanaanza kudhofisha harakati za UKOMBOZI WA 2 au MABADILIKO.
Kamanda wa kikosi cha USALAMA akachukua hatua akatufunulia kwa uhakika bila kumungunya Maneno UASI WAO akawataja majina na ID zao feki tunaomba picha zao wanajamvi maana wengine tulipowasikia majina yao na michango yao tumewahisi ni yule dada wa BAVICHA, NAIBU, WAGOMBEA WALE hebu BEN au anayewafahamu WAMASALIA au P7 atupie PICHA kuondoa utata ili tukisema zitto au Shonza, Mchange na wengine tuwafahamu vyema jina na sura tusivute kumbukumbu za kujaribu kuwakumbuka walivyo zikatuletea picha mbalimbali wakati JF ipo kukuelewesha
BEN Umetupa majina malizia sura au wenye picha zao
 
Bila kuwasahau wachawi wake wawili au watatu vile ????
Nampongeza Ben Saa8 kwa kazi nzuri aliyofanya!! Super Intelligence!!! Mmekwisha ZZK prezzo na kundi lako!!! Uongozi wa CDM do the needful to the kikundi cha watu wanne na zito kiongozi wao wa tano!!! Wekeni pembeni kwa kutumia nguvu ya umma!!! No conflict!!! Zitto subiri 2015!!
 
Umejuaje? Wachumia tumbo na bado hadi 2014 watasema yote
Saa8 amekuchoma eeehh? naona kila post unalalamika kama mtoto wa kike!Nenda lumumba kuchukue bahasha yako ya kaki.
 
Tangu Ben Saa 8 alipoanika uasi wa Kambi ya "MASALIA" a.k.a PM7, Chini ya Zitto Kabwe na wafuasi wake mambo si shwari. Saa 8 ambaye alijiunga na JF tarehe 18/1/2007 kwa jina lake halisi na kutoa jumla ya post 5,085, alianika UASI wa masalia tarehe 19/12/2012 na kuzua tafrani kwenye kambi ya MASALIA. Taarifa hiyo iliwaibua vinara wa PM7 kina Habibu Mchange, Mtela Mwampamba na Juliana Shonza kutoka mafichoni kujibu tuhuma nzito bila mafanikio. Waliibuka na kutupilia mbali ID zao na kujisajili upya na JF!.. Mtela alijiunga tarehe 19 Dec 2012 na kupost majibu tarehe 20 dec 2012. Shonza alijiunga JF tar 19/dec/2012 na kupost tarehe 20 dec. MCHANGE alijiunga 21/july/2009 akiwa na rekodi ya kupost meseji 20. Waliibuka kujibu tuhuma wakaishia kuanika uchafu wao na Zitto mfadhili wao!..

Baada ya jitihada zao za kujikwamua na tuhuma hizi kushindikana wamerudi nyuma ya pazia pamoja na masalia wengine kwa majina mapya yenye usajili wa Oktoba hadi december ili kumsafisha bosi wao Zitto kabwe aka dogo, prezzo!. Siku nzima ya leo wanapost "utetezi fake!" na kupambana na kila mtu anayewakosoa.
Sasa masalia wmekuja kivingine kwa majina yafuatayo:

1. Alwatan kizigo - who joined JF on 21st dec 2012;
2. Fresh thinking -20/12/2012;
3. Chepe kubwa - 19/12/2012;
4. Mbasansebhu- 17/12/2012;
5. Chicco - 13/10/2012
6. Taswira n.k.

Weupe2
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom