AdvocateFi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 11,492
- 5,050
Ben amekuwa hero ghafla?
hilo swali nenda kamuulize PREZZO.
Ben amekuwa hero ghafla?
1.Zitto zuberi kabwe,
naibu katibu mkuu,,,,,,,, M4C hajawahi kushiriki hata moja!
2. Dr slaa kama hayupo na zitto yupo, mnyika anakaimu karibu mkuu.
Nilikuwa najiuliza kwanini? Kumbe kikosi cha ukachero chadema kilishajua
nyendo zake. Kwa kweli Dr slaa na Mbowe mnastahili sifa.
Hapana, Ben Saa8 hakuwa msaliti bali amefanya kazi nzuri sana. Kazi aliyotumwa ameimaliza. Hoja kwamba haonekani kwenye ujenzi wa Chama kwenye majukwaa ni dhaifu kwani kazi hii aliyoifanya ni moja ya kazi za ujenzi wa Chama.
Hongera Ben Saa8 na Mamuya mmefanya kazi nzuri.
Maana Watu wangejitolea kujenga chama huku wengine wako bize kubomoa.
Fire them all, Zitto,et al!
Ben saanane ni kijana shujaa sana nampongeza sana na Nina amini ametutoa pabaya kwani sasa majibu tumeyapata ya maswali tuliyokuwa tunajiuliza mfano.
1-kwanini zito haonekani kwenye harakati?
2-kwa nini zito amekuwa akipingana na wenzake pale wanaposhinikiza serikali?
3- kwanini Zitto amekuwa akipingana na kukejeli safari za JK wakati yeye kila kukicha ni pipa?
4-kwanini zito hapokei ushauri wa wazee wa cdm?
5-kwanini ajione yeye ndio anayefaa Kuwa raisi ndani ya cdm na sio mwingine?
Hapo ndio nadhibitisha Kuwa alikuwa anavuruga cdm badala ya kuijenga. Asante sana Ben Saanane kwa ujasiri wako.
Zitto hafai kuwa rais nia yake ni mbaya
6. Kwa nini Zito atangaze nia ya kugombea Urais 2010 wakati akijua Chadema inamgombea ambaye alikuwa ni Dr. Slaa?
7. Kwa nini Zito atangaze kugombea urais mapema namna hii (2012) wakati wenzake wapo kwenye harakati za kujenga Chama?
8. Kwa nini Zito awe karibu kiasi kile na Usalama wa Taifa wanaoshughulikia siasa?
9. Kwa nini ......
Na we pia ulaaniwe ambaye unawatetea waasi PM7 na baba yao PREZZO.
Na kwa nini ashinikize umri wa wagombea Uraisi upunguzweeeeeeeeee..................... ????????????????????