Juliana Shonza
Kamanda we unamfahamu vipi Zitto?
Pia wewe ni kiongozi kwanini uwe na makundi?
La mwisho kwanini wewe haushiriki operation za chama kama mwenzio Heche?
Mnatuvuruga vijana wapenda mabadiliko katika taifa hili.
Hayo maswali yote unayouliza muulize ben yeye ndio inteligensia anaweza kujua mwisho wa mimi kuwasiliana na zitto ni saangapi pamoja na maswali mengine uliyouliza.
silijui rika la umri wako, laiti kama ningekuwa na uhakika ningekujibu vizuru sana.
unapoandika na kujidai unanijua kuliko ninavyojijua mimi mwenyewe nashindwa kukuelewa uwezo wako.
ila sikushangai maana kwenu nyinyi kupika nuwongo na majungu ni jambo la kawaida, kwenu kumsingizia mtu kitu kibaya ni furaha sana.
nionyeshe sehemu moja niliyosema zitto ni mfadhili wa kikundi cha BEN SAA NANE?. sehemu moja tu nionyeshe, naona unaongea ujinga ujinga kama mtu aliyeshikwa na kwikwi...
@Mchange Tunaomba source ya email hii pamoja na kuwa haiko detailed na kinachoongelewa
Hapa @Ben sio source wa hii Email kwanini inaonesha Forwarded Message -----
hata kama hawakutumwa na chadema lakini maadam ni viongozi wachadema basi wanaidhalilisha chadema.wewe huoni mafisadi wanavyoidhalilisha ccm japo hawajatumwa na ccm?chama hakina nafasi kwenye huuuuuu uuuuupuuuuzi wacha wachambane dhambi ni mbaya hawakuutumwa na chama kufanya haya usihusishe kabisaaaaaaaaaaa yaani cdm
sasa kama hiyo e mail inaonyesha jinsi vijana wanavyoweza kuungana kutokana na uovu wa ccm, anawezaje kusema alikuwa kwenye kikundi cha kukisaliti chama?.Nadhani hii e mail ni sawa kabisa.Inaonesha jinsi vijana wanavoweza kuungana kutokana na uovu wa CCM.Sijaona mahala popote ikionesha movement against CHADEMA.Kama huu ndo ushahidi wa maana uliouona.Basi hakuna kitu...mnatapatapa...Ben is smarter than you guys.Though all of you.Zitto,Ben ,Mchange ,Shonza and the rest are the traitors.
Asante sana kamanda Mchange kwakuleta huu ufafanuzi, maana haya uliyoyaandika ndiyo nilkiyotaka kuyatolea ufafanuzi japo bado nitatoa ufafanuzi wangu kuhusu hizi shutuma ambazo kwangu mimi nachokiona ni sawa na mtu kuchimba shimo halafu akatumbukia yeye mwenyewe.
[SIZE=4 [USER=17497]Mchange[/USER] Tunaomba source ya email hii pamoja na kuwa haiko detailed na kinachoongelewa
Hapa Ben sio source wa hii Email kwanini inaonesha[/SIZE] Forwarded Message -----
Inaonekana ngoma unaijua kuicheza ndio sababu akili yako imeleekea huko; wajinadi hujaonja tamu pilipili ilhali waogopa makali ya pilipili?
Ulijuaje kama pilipili kali? Yakhe karibu usiogope sisi waungwana tutakufundisha maadili mpaka jina utabadili badala ya kujiita Msemaovyo utajiita waridi.
Chama
Gongo la mboto DSM
hii hapa...@Mchange Tunaomba source ya email hii pamoja na kuwa haiko detailed na kinachoongelewa
Hapa @Ben sio source wa hii Email kwanini inaonesha Forwarded Message -----
The tragedy of Tanzania is a pervasive pathology. Its leadership selection processexcludes its best while celebrating mediocrity. The incremental influence of thatpathology has created a failing state that is unable to do much more than uphold theconclave of looters that hold the country hostage. In many ways, every electionprocess turns out to be much worse than the preceding cycle.Upon taking power after stolen polls, the new leadership often proceeds to enthronea ruling ethos that is defined by a searing contempt for the people. That is why,despite the billions of dollars that the Tanzania state has earned over five decades,Tanzania remains at the bottom of the human development league. It is a fate thatTanzania must reject because a better life is possible. Fifty years into Tanzanias attainment of nationhood, it still has the status of whatdomestic and international observers call a failed state, failing state, or failed asset.Tanzanias failure to belong to the comity of successful and functional states thatobtained the status of independent nationhood within the same decade is notattributable to the lack of material and human resources. On the contrary, thecountrys economic, social, and political failure has resulted from the non-adherenceto the practice of true federalism and the consequent mismanagement of the nationsresources by most of its political managers since independence. Such managers haveranged from military dictators to civilian presidents and governors imposed on the electorate through rigged electionsWhat to do now? What is direly needed now is how to getTanzania out of the hole of underdevelopment, corruption, and mismanagement.Now is the time for truly patriotic Tanzanians to join the movement to save Tanzaniafrom its current state of failure by joining forces with the Voice for the Voiceless Tanzanians (V4V) Group.Now is the time to liberate Tanzania from the grips of its predators. V4V believes that Tanzaniass failure is avoidable; that Tanzania can be saved. But to stop the politics ofself-imposed failure, a new crop of leaders with a patriotic outlook and atransformational vision from those of its predatory leaders must move to the centreof the countrys political space to re-engineer it away from chronic failure and charta new course in the direction of success. The V4V is blazing the trail of change andtransformation in Tanzania. V4V values has been designed to bring liberty, security, and prosperity to all Tanzanians, is being made available to all Tanzanians, through building strong citizens to create wealth andmake contributions to modern global civilization |
sasa kama hiyo e mail inaonyesha jinsi vijana wanavyoweza kuungana kutokana na uovu wa ccm, anawezaje kusema alikuwa kwenye kikundi cha kukisaliti chama?.
nani sasa anayetapa tapa kati yetu...mmesema BEN alikuwa Msaliti wa chama akiungana na kina mchange, nikawaeleza namna alivyokuwa anafanya shuhuli zake dhidi yetu, nimekuwekeeni na email ili mumuone alivyokuwa MNAFIKI na mpishi wa maneno mfano wa mashangingi walioshindikana...
vyovyote ilivyo, na vyovyote itakavyokuwa na kutafsiriwa, SAA NANE ni miongoni mwa vijana dhaifu katika siasa za taifa letu ambao kama hatutawaangalia vema wanaweza kurudisha nyuma harakati zetu.
SAA NANE anaongopa mpaka anajisahau kuwa anaongopa...
hi hebu muulizeni kama alikuwa muasi wa chama,
1. ALIELEZA SABABU ZA YEYE KUKIASI CHAMA?.
2.NI KITU GANI KIMEMBADILISHA KUTOKA KWENYE UASI NA KUBADILIKA GHAFLA NA KUUACHA UASI.
3. NI NJIA GANI ILITUMIKA KWA YEYE KUJIBADILISHA KUUACHA USALITI NA KUWA MWEMA.
4. JE NI KWELI KUSEMA TU AMEACHA USALITI KUNATOSHA KUMUAMINI KUWA SIO MSALITI TENA KAMA KWELI ALISALITI?.
Niseme tu hapa hadharani tena,
SAA NANE hana cha kupoteza kwenye siasa za nchi hii, saa nane amefurahia matunda ya serikali ya nchi hii katika umri wake huo huo mdogo alio nao.
Saa nane hana uhalali wa kunishutumu mimi kuwa nakivuruga chama nilichokipigania kwa nguvu zangu, akili zangu na muda wangu.
kama alikuwa hajui ni kwamba CHADEMA ni sababu kuu ya mimi kutokumaliza DEGREE YANGU YA KWANZA MPAKA LEO...
NI kwa sababu ya mapenzi yangu ya CHADEMA ndio maana nilichukua MKOPO WA ADA YANGU YA CHUO kwenda kuwalipa MAWAKALA walinde kura za CHADEMA pale KIBAHA ambapo yeye analipwa mshahara leo kwa kazi yake ya KINAFIKI.
ni kwa sababu ya mapenzi yangu na CHADEMA ndio maana nimeshitakiwa miaka miwili mfululizo pale kibaha na si saa nane wala anayemtuma aliyeeza kuja hata kunidhamini.
SAA NANE ni mnafiki tu, mimi ni muathirika wa siasa za CHADEMA ndani ya NCHI hii..leo hii mimi siruhusiwi hata kukanyaga DODOMA UNIVERSITY kwa sababu ya CHADEMA..
sasa anapotokea mjinga mmoja kama yeye aliyelipiwa na serikali DEGREE YA KWANZA MPAKA YA PILI tena NJE YA NCHI akajifanya anaichukia sana serikali na kutetea mageuzi eti dhidi ya wahanga wa mageuzi. mimi namuona amepotea.
mimi nimepoteza nguvu zangu nyingi sana kwenye CHAMA wala SAA NANE hawezi sema anauzalendo na MAPENZI YA DHATI kuliko mimi.
yeye ni MNAFIKI NA ANAENDELEZA UNAFIKI WAKE TU.
halafu uamini wanachokitetea? Manji aliwazidi sana akili hawa vijana.
Unaagenda gani mkuu,nenda upande wa pili ukaulize hayo maswali utajibiwa mbona habari ya Ben imepokelewa bila maswali.Nashukuru Juliana Shonza maana majibu yako yananionyesha dhahiri uko Mtu ama kiongozi wa namna gani.
Unaposema nimuulize Ben Saanane ndio ana majibu ya maswali niliyokuuliza wewe, inamaanisha kuwa akili yako iko controlled na Ben Saanane. What a shame!!!!
Wewe ni msomi lazima ujue kujibu hoja na sio kujibu personalities! Usiwe mtu wa kukimbia hoja na kutafuta pa kujishikiza. Huo sio uongozi bali ni udhaifu na hasa kwa kijana kama wewe ambaye sisi tunakutegemea.
Tangu jana naangalia post zako humu sioni hoja unayojibu wewe na wenzako zaidi ya kusisitiza kuwa Ben ni msaliti. Sawa Ben amekiri kuwa alikuwa msaliti na sasa ametubu, what's wrong kwa mtu anayeamua kujirudi? Vipi kuhusu wewe na wenzio mliobakia, mtajirudi ama bado ni watiifu kwa Zitto kama mlivyolishwa yamini ya kutokusaliti??
Nakuhurumia sana Juliana Shonza, Nakusikitikia sana dadangu sababu hukustahili kuanza kupoteza mwelekeo mapema kiasi hiki. Anyway time will tell.