Captain Phillip
JF-Expert Member
- Nov 5, 2010
- 894
- 538
sasa kama hiyo e mail inaonyesha jinsi vijana wanavyoweza kuungana kutokana na uovu wa ccm, anawezaje kusema alikuwa kwenye kikundi cha kukisaliti chama?.
nani sasa anayetapa tapa kati yetu...mmesema BEN alikuwa Msaliti wa chama akiungana na kina mchange, nikawaeleza namna alivyokuwa anafanya shuhuli zake dhidi yetu, nimekuwekeeni na email ili mumuone alivyokuwa MNAFIKI na mpishi wa maneno mfano wa mashangingi walioshindikana...
vyovyote ilivyo, na vyovyote itakavyokuwa na kutafsiriwa, SAA NANE ni miongoni mwa vijana dhaifu katika siasa za taifa letu ambao kama hatutawaangalia vema wanaweza kurudisha nyuma harakati zetu.
SAA NANE anaongopa mpaka anajisahau kuwa anaongopa...
hi hebu muulizeni kama alikuwa muasi wa chama,
1. ALIELEZA SABABU ZA YEYE KUKIASI CHAMA?.
2.NI KITU GANI KIMEMBADILISHA KUTOKA KWENYE UASI NA KUBADILIKA GHAFLA NA KUUACHA UASI.
3. NI NJIA GANI ILITUMIKA KWA YEYE KUJIBADILISHA KUUACHA USALITI NA KUWA MWEMA.
4. JE NI KWELI KUSEMA TU AMEACHA USALITI KUNATOSHA KUMUAMINI KUWA SIO MSALITI TENA KAMA KWELI ALISALITI?.
Niseme tu hapa hadharani tena,
SAA NANE hana cha kupoteza kwenye siasa za nchi hii, saa nane amefurahia matunda ya serikali ya nchi hii katika umri wake huo huo mdogo alio nao.
Saa nane hana uhalali wa kunishutumu mimi kuwa nakivuruga chama nilichokipigania kwa nguvu zangu, akili zangu na muda wangu.
kama alikuwa hajui ni kwamba CHADEMA ni sababu kuu ya mimi kutokumaliza DEGREE YANGU YA KWANZA MPAKA LEO...
NI kwa sababu ya mapenzi yangu ya CHADEMA ndio maana nilichukua MKOPO WA ADA YANGU YA CHUO kwenda kuwalipa MAWAKALA walinde kura za CHADEMA pale KIBAHA ambapo yeye analipwa mshahara leo kwa kazi yake ya KINAFIKI.
ni kwa sababu ya mapenzi yangu na CHADEMA ndio maana nimeshitakiwa miaka miwili mfululizo pale kibaha na si saa nane wala anayemtuma aliyeeza kuja hata kunidhamini.
SAA NANE ni mnafiki tu, mimi ni muathirika wa siasa za CHADEMA ndani ya NCHI hii..leo hii mimi siruhusiwi hata kukanyaga DODOMA UNIVERSITY kwa sababu ya CHADEMA..
sasa anapotokea mjinga mmoja kama yeye aliyelipiwa na serikali DEGREE YA KWANZA MPAKA YA PILI tena NJE YA NCHI akajifanya anaichukia sana serikali na kutetea mageuzi eti dhidi ya wahanga wa mageuzi. mimi namuona amepotea.
mimi nimepoteza nguvu zangu nyingi sana kwenye CHAMA wala SAA NANE hawezi sema anauzalendo na MAPENZI YA DHATI kuliko mimi.
yeye ni MNAFIKI NA ANAENDELEZA UNAFIKI WAKE TU.
Unatumia emotions sana mpaka unaonekana hauna point..hii ishu ya wewe kutomaliza shule kwa sababu ya CDM inadhihirisha umaamuma ulionao na ulimbukeni wa siasa ndo maana hata sasa huwezi kuchanganua hoja na kuzijibu.Kuna mambo ya msingi ambayo Saa8 kayaibua na wewe ukishutumiwa moja kwa moja hujayajibu na sasa unakimbilia kutafuta huruma kwa kutuelezea ulivyo-misallocate resources kwa kutumia pesa ya allowance uliyopewa kulipia wasimamizi wa kura.
Hili linathibitisha kuwa hufai kabisa kushika nyadhifa yoyote ile kutokana na ukweli kuwa hauko reasonable.Maana yake ukipewa mamlaka unaweza kutumia pesa iliyotengwa kwa elimu kwa ajili ya kwenda kupiga propaganda za kuosha jina lako.Machange haya maji ni marefu nenda kajipange upya na uje na majibu.