Ben Saanane anavyoteseka na kivuli cha unafiki...

Ben Saanane anavyoteseka na kivuli cha unafiki...

Juliana,Mwampamba na Kitila mkumbo wote watato ufafanuzi hapa nawaomba sana watoe.Ben saanane hela ya x mass hii utakula ukiwa umeumbuka

Tunamwitaji mkumbo athibitishe au kukanusha yaliyosemwa na Mamuya juu ya ushiriki wake kuhujumu chama na Lema Arusha kwa faida ya ZZK. Juliana is so lighter that even a normal wind can blow her away.
 
Nasikia Lumumba wamekosa amani toka jana baada ya kuona kila mipango wanayoifanya ili Chadema isambaratike
inagonga mwamba. Na habari ambazo zimenifikia mida hii ni kuwa wako kwenye kikao cha dharula kuona ni jinsi gani
watamnasua Zitto kwenye Sagga hili.
 
How does Dr. Slaa sleep at night?

Huku CCM wanamwandama. Usalama wa Taifa. Polisi. His personal life out in the open, divorce papers, family issues you name it.

Anabaguliwa umri wake, dini yake, kanda anayotekea..

Ndani ya CHADEMA same shit. Vijana response zao zinaonyesha wazi kabisa wana chuki juu ya Dr. Slaa. Ukisema wasaliti hawa wana makosa unaambiwa unalamba visigino vya kina Slaa.

Nje kwa wasio na vyama, same shit.

What wrong has Dr. Slaa done? Kuna mtu ana ushahidi kwamba Ben katumwa na Slaa?
 
wadau mimi sina mtu wakunitumia email haya mambo siyaelewi vizuri naona forwarded massage aliyeforward ni nani hapa! kati yao na imekuwa forwarded kutoka wapi kwenda wapi msaada tafadhali!:nimekataa:nimekataa

----- Forwarded Message -----
From: Ben Saanane <bensaanane@yahoo.com>
To: mchangehabibu@yahoo.com; mchangehabibu@gmail.com
Sent: Friday, June 10, 2011 1:52 AM
Subject: V4V values & Objctvs
 
Habari, nimeona mchango wangu huu niuanzishie uzi ili tujadiliane kwa mapana..

Mpaka tuufikie tunaouita ukombozi wa pili, basi tuna kazi na safari ndefu sana!

Kama vijana tunaweza tukainuka na kuanza kuporomosha mashtaka na kutaja majina ya watu bila hata facts, basi kazi ipo ndugu zangu.

Ufahamu wangu ni kuwa ili tufanikiwe kuwaondoa CCM madarakani lazima tufanye kazi hiyo kama timu moja, mawazo yangu ni kuwa hatutaweza kufikia hatua yoyote ikiwa tutakuwa na vijana wa namna hii.

Vijana wa aina ya Ben Saanane wanaoweza kukaa, kutengeneza mgogoro, kubuni njia za kuuendesha mgogoro, kutafuta suluhu na hatimaye kwenda kuuza huo mgogoro kwa viongozi wengine huku akiamini kuwa anakinusuru chama hakika anakosea sana.

Vijana wa aina ya Saanane ambao kazi yao nikutumia muda na akili zao nyingi kuwarubuni na kuwagombanisha vijana wa chama na viongozi wa chama ni hatari pengine kuliko ukoma.

Kwa kuwa mara kadhaa amekuwa akinitaja kwenye mijadala yake yote. Bila hata kuangalia namna ninavyohusika, na kwa kuwa na leo hii ameamua kunitaja na kunihusisha moja kwa moja, na kwa kuwa viongozi, vijana na wanachama wengi wa chadema wamekuwa wakinihusisha mimi kuwa karibu sana na zitto kabwe. leo nitasema kitu kwenye hili.

1. Naomba niweke wazi hapa leo, kuwa sikuwahi kumfahamu mtu anayeitwa Ben Saa nane kabla mwezi wa nne 2011.
sijawahi kumsikia jina wala kumuona sura yake.(hawezi kubisha kwenye hili)

2. Ben ndiye alikuwa wa kwanza kunipigia simu, kati kati ya kipindi cha kampeni za uchaguzi wa BAVICHA - 2011 mimi nikiwa nagombea uenyekiti na yeye akiwa ni mgombea wa kimkakati(alitumwa na baadhi ya viongozi kuja kuuvuruga uchaguzi-uthibitisho upo) ambapo aliponipigia simu na kunieleza kuwa tuna haja ya kukaa kama wagombea na kuangalia namna tunaweza shiriki salama kwenye huo uchaguzi kwa madai kuwa amepata tetesi makao makuu wanamgombea wao na wanajiandaa kukata majina ya watu, jina lake na langu yakikiwemo. Nilimsikiliza na kumpuuza.

3. Baada ya hapo sijawahi kuwasiliana nae tena ben saa nane, mpaka usiku wa siku jina langu limekatwa na kamati kuu ya chama, tena aliwasiliana na mimi kupitia grayson nyakarungu, aliyekuwa swahiba wake…cha kusikitisha ni kuwa mwana mkakati ben aliwashauri mwampamba, nyakarungu na kisandu kuungana, akanishirikisha na mimi. Huku nikijua dhamira yake kuwa ni unafiki. Nikamsikiliza kwa kuwa sikuwa tena na cha kupoteza (nimeshaenguliwa tayari).

Masikini ya mungu BEN akawahadaa vijana wa watu (Mwampamba na Nyakarungu) wakaenguliwa huku yeye akiwa ni wa kwanza kukiri kuwa wameamua kuongeza nguvu.

4. Unafiki wa Saanane uliendelea siku ya tatu baada ya kuisha kwa uchaguzi wa BAVICHA maana baada ya kukatwa jina langu, wanafiki wengi walifikiri ningetoa tamko la kukipinga chama ama kuhama chama, sikufanya hivyo, kwangu mimi uchaguzi ule haukuwa ligi, ilikuwa ni mechi tu ya kirafiki. Hapo mwenyekiti wa chadema wilaya ya Kibaha akaomba kukutana namimi, nikakubali, nikakutana nae ubungo plaza, tukiwa hapo tulikuwa na mwampamba na nyakarungu, aliposimuliwa saa nane kuwa tunaenda kukutana ubungo Plaza, akaandika humu jamii forums kwa kutumia ID fake yake kuwa tumekutana na mimi nina mpango wa kuhama chama.

Nlimwambia Mwampamba kuwa saa nane ana kazi maalum, mwampamba hakunielewa, akanipinga sana sana sana, naamini leo atanielewa vizuri sasa.

5. Kwa kipindi chote hicho saa nane alikuwa anaitisha vikao vya kila aina, saa nane anatukana na kutoa kejeli za kila aina kwa viongozi wa kuu hasa katibu mkuu na mwenyekiti (lengo ni kutaka kluthibitisha kuwa kuna vijana wanawapinga viongozi hawa). Ninataja maeneo machache ambayo saa nane alipenda kuitishia vikao vyake, KWA JOHN FEDHA-KINONDONI, BLUE PEARL HOTEL-UBUNGO PLAZA na LUCH TIME HOTEL-UBUNGO EXTERNAL….naomba nikiri hadharani hapa, si mimi, mwampamba wala Juliana anayemsema aliyewahi kwenda kukutana na saa nane akajinunulia kinywaji wala chakula…kwa saa nane huwa tukifika tunakula, tunakunywa mpaka tunapochoka saa nane yeye hulipia-tukambatiza jina tukamwita manji. (lakini siku zote nimekuwa nikiwaambia wenzangu kuwa kaeni chonjo na huyu jamaa ana kazi maalum---leo wamejionea)

6. kati kati mwaka jana 2011 mwenyekiti wetu wa taifa freeman mbowe alikamatwa kwa kilichodaiwa kutokutii amri ya mahakama hapa napo saa nane akafanya vitu vyake, kama kawaida yake, akawakusanya vijana wake wote ambao yupo nao kwa kazi maalum akaanza kuwajaza ujinga…naomba nikiri tena hapa kuwa usipokuwa makini ni rahisi sana kuingia kwenye kumi na nane za huyu jamaa. Ni lalzima uwe makini kama mchange kumshinda na ndio maana ananichukia sana sana.

Mimi nimefundishwa kuwafahamu wanafiki. Hasa ninapokuwa naongea nao uso kwa macho saa nane kwangu alikuwa mnafiki kwa hiyo sikumpa nafasi hata chembe.

7. katika kipindi chote hiko sijawahi kumsikia mwana mkakati saa nane akiwasema vizuri viongozi wa chadema. Mtu pekee aliyekuwa anamsifia alikuwa ni zitto.

SAA NANE NA ZITTO
Nimeshtushwa sana na maandishi aliyoyaandika Saanane leo, hii inatokana na ama kuchanganyikiwa au kujihami kutokana na kushushuliwa na kuonekana mwongo. Naomba nieleze vizuri hapa.

1. Ben Saanane ndiye alikuwa muitishaji mkuu wa vikao vya hotelini(makutano) akiwa na saa yake ya kurekodi aliyonunuliwa na kiongozi mmoja wa chama kwa kinachoitwa kazi ya ushushu. Yeye ndiy aliyekuwa mwenyekiti wa vikao na mwandishi wa kila kinachosemwa.

2. Ni BEN SAANANE ndiye aliyewashawishi na kuwalazimisha wenzie anaowasema leo ni wasaliti waunde kikundi. Hakuishia hapo, akakitunga mpaka na jina. Kuwa ni ‘’patriotic movement seven’’ na akakifupisha PM7.(V4C-VOICE FOR VOICELESS) Akashawishi kikundi hicho kizunguke nchi nzima kuhamasisha viongozi wa huko kufanya mageuzi ndani ya chama. Saa nane unafiki utakupeleka pabaya.

3. Ni BEN SAANANE ndiye aliyegawa majina ya kuitana miongoni mwa wana kikundi hiko, yeye akajipa jina la COBRA, mimi akanipa MDUDE (kwa kuwa nilikuwa naijua dhamira yake niliendelea kumkeli)

4. Ni BEN SAANANE ndiye aliyeshauri namna ya kuhakikisha kikundi hicho kinapata pesa, wakati mimi nilimpinga ku anzia kuanzisha hiko kikundi mpaka namna ya kukusanya kwake pesa..wakati yeye alikuwa anasisitiza kwenye njia ya kukusanya michango, tena tuwachangishe viongozi wa chama na watu wengine maarufu.

5. Akiwa mkweli atakumbuka na kukiri kuwa nilimwambia kuanzisha kikundi hicho ni sawa na kuanzisha chama ndani ya chama, aliumizwa na misimamo yangu sana.

6. Ni BEN SAANANE ndiy aliyekuwa anasisitiza tuombe kukutana na zitto kabwe ili tumuombe ufadhili wa kufadhili kikundi chetu kilichoasisiwa na SAANANE na akanipa jukumu la kuhakikisha ninamwambia na kumshawishi zitto tukutane nae tufanye nae kikao, sababu yake kubwa ni kwamba Zitto ni rafiki yangu sana na itakuwa rahisi kumpata. Hapa tulirumbana sana, mimi nilielewa dhamira yake na nikiri leo hadharani kuwa nilimshauri zitto asikubali kukutana na kikundi hiki, na niukamwambia kabisa kuwa lengo la kikundi hiki ni kuthibitisha makundi ndani ya chama.-leo yametimia.

7. Ni SAANANE aliyewaapia kujito a kwenye kikundi alichokianzisha mwenyewe kwa sababu ya kutokumpata zitto kwenye kikao, siku ambayo saa nane alipendekeza zitto tukutane naye zitto alikwenda marekani kuzindua tawi la chadema, ni saa nane ndiye aliyenilaumu sana kuwa kwa nini sikumuarifu kuwa zitto hatokuwepo, nilimjibu sio wajibu wangu kuwaambia watu kuwa zitto yupo ama hayupo.

8. Ni Saanane huyu huyu mnafiki tuliyerumbana naye hasa mimi nay eye juu ya namna ya kumshirikisha zitto kwenye michango ya kikundi chake cha PM7. Naomba ninukuu mabishano yetu..mimi ‘’ kama swala ni kukusanya pesa, kwanini tumfuate Zitto kwanza na sio mtu mwengine yeyote’’?...saa nane..’’kwa sababu zitto ni kijana na ana mitazamo chanya kwa vijana wenzie na pia tunafanana nayo mitazamo hiyo sio kamakina mnyika wao status quo’’…mimi..’’kama Zitto tumemwomba tuonane naye na amesafiri bila kutujibu hauoni kuwa anatuudharau, kwanini tujipeleke kwa zitto tunayemnung’unikia kila leo?’’..saa nane.. ’’ hapana ni lazima atusaidie, zitto kwa vyovyote lazima agombee uenyekiti, na hatuwezi fanya hii kazi tukamfungulia milango bila nay eye kutoka jasho lake, ni lazima atupe pesa’’….mimi sasa kwanini tunakataa wenzetu kutumiwa halafu na sisi tunajitumikisha wenyewe kwa zitto?’’…saa nane..’’Mchange, hakuna jinsi tunaweza acha mshirikisha zitto, mwisho wa siku zitto atakuwa beneficiary kwenye huu mpango’’… …………………ukifuatilia kwa makini mazungumzo yetu ambayo kwa bahati nzuri nimeyarekodi kuanzia siku ya kwanza mpaka ya mwisho utaweza kumuelewa SAANANE kuwa alikuwa na kazi maalum.

Niseme hapa kuwa wote kwa pamoja, saa nane na zitto kila mmoja ameniambia kwa mdomo wake kuwa hawajawahi kuonana uso kwa macho, zitto yeye anasema kuwa anaweza akakutana leo na saa nane barabarani na akapishana nae bila kumfahamu.

Wote kwa pamoja wameniambia kuwa mawasiliano yao huwa ni kwa simu hasa SMS na mara chache kwa emails.

Na moja kati ya malalamiko aliyokuwa ananipa saa nane nimpe zitto ni kuwa..
1.kwa nini hapokei simu za wapiganaji wake akiwemo yeye?...
2..kwanini anakuwa na mpiganaji kama saa nane na hataki kuonna nae….
3…kwanini hataki kukifadhili kikundi cha PM7. a.K.a V4C(VOICE FOR VOICELESS)?

Kwa mtiririko wa matukio ulivyo, na kwa jinsi SAA NANE alivyoandika mashtaka yake dhidi ya zitto huku akizani anamchafua, hakika amejidharirisha sana.

Mtu mmoja mpinzani mkubwa sana wa zitto amenitumia sms kwenye facebook, ananiambia JF vipi maana COMPUTER YANGU HAIFUNGUI..huyu nae ni mjinga sababu anashabikia ujinga.

Kumshambulia zitto kwa mashtaka ya uwongo namna hii kuna mfanya zitto awe na nafasi ya kuonekana anasingiziwa mamba mengi sana hasa ndani ya chama.

Kwa mimi ninayemfahamu Saanane nje na ndani, na ninayefahamiana na kufanya kazi na Zitto, kwa mashtaka haya ya uwongo, basi hakika nitazidi kumuamini Zitto.

Nitazidi kuamini kuwa Zitto amesingiziwa mambo mengi sana ndani na nje ya chama, ninazidi kumuamini na kumtia moyo kwamba hizi ni hatua za mwisho za watu wanaokupinga, wakishindwa kukupinga kwa facts, watakupinga kwa uwongo…saa nane amekubali kutumika vibaya kwa kisingizio cha kuwa anakilinda chama na viongozi wake.

Napata mashaka kama anakielewa anachokisema, huwezi kumtenganisha zitto na uongozi wa chama. Zitto ni naibu katibu mkuu wa chama, hivyo sio rahisi kumchafua zitto ukaacha kukichafua chama.

Nimemwona saa nane anajitetea kutishiwa kuuawa, saa nane, ZITTO akiwa na mimi amenusurika kuuawa kwa ajali ya gari hivi karibuni tukitokea morogoro kwenda iringa(siku ya kumbukumbu ya kifo cha mwalimu nyerere) baada ya wapinzani wake ndani ya chama kwenda kufungua nati za tairi la nyuma ili afe, kweli zitto ameaga kwao, kweli zitto hataweza kufa kwa mipango ya mungu, hatukufika mbali tuliushtukia mchezo tukarudi morogoro mjini na zitto akaendelea na retreat yao mpaka kesho yake tukarudi dar wala hakuitangaza hii sababu aliwadharau na mbinu dhaifu.

Sio rahisi kuitoa roho ya mwanadamu mwenzio, sio rahisi kumuua zitto kama mlivyojaribu mara kadhaa na timu yenu ..

Nasikitika sana kama vijana sasa tunaeza kusimama kidete na kuandika uwongo na kuutetea bila hata woga kama ndugu yangu Saanane.

Hasira yako ya mimi kukushtukia na kuwaambia kina Mwampamba na Juliana kuwa wewe kila siku una warekodi na kwenda kuuza habari kwa kiongozi mmoja wa juu ambaye humtumia HAWARA WAKE kutuma SMS za matusi kwa watu, isiwe sababu ya kuanza kuwachafua watu ndugu yangu.

Mchafue Zitto kama unahisi una sababu ya kufanya hivyo kwa mambo ambayo una ushahidi nayo.

SAANANE acha tabia ya KUBUNI MGOGORO, KUUANZISHA, KUUENDELEZA, NA KISHA KUUTUMIA KAMA CHANZO CHAKO CHA KUPATA PESA.

SAA NANE, Waislam wanasema sifa za mnafiki tatu (ayatul munafiq tharasa).
1. akiongea huongea uwongo..
2..akiaminiwa hajiaminishi/hudhiaki..na ..
3..akiahidi hatimizi..

KATIKA KUUTHIBITISHA UNAFIKI WA SAA NANE KWA WALIOMTUMA. NAOMBA NIWEKE NAKALA YA EMAIL ALIYONITUMIA JUU YA KUANZISHA KIKUNDI CHA PM7 AMBACHO ALITAKA TUKISAJILI KAMA NGO IITWE VOICE FOR VOICELESS KISHA IZUNGUKE MIKOANI KUFANYA USHAWISHI KWA VIONGOZI WA CHAMA WA HUKO...

Mchange napata wasi wasi pengine uelewa /uwezo wakuelewa mambo unashida.
Kwenye e-mail hii uliyotuwekea Unafiki wa Ben Saanane uko wapi.
Hii kinachoitwa M4C kwa sasa kumbe kulikuwa na vijana wenye kuitakia Tanzania neema walikuwa wamekwisha anza kuifikiria siku nyingi !.Hongera Ben.

Wewe na Zito mje na taarifa yenye kweli na za kuaminika ya namna gani kila mmoja wenu alishiki kwenye njama ya kusambaratisha Chama bila hivyo bado mnatakuwa mkiuzunguka mbuyu kwa sasa.(Ben Saanane)
sasa kama hakuwa anahujumu chama kwanini aseme alikuwa msaliti na sasa ameokoka?..
saa nane wa baada ya uchaguzi mkuu wa 2010 anawezaje kuokoka na kuwashinda watu ambao wamepoteza nguvu, muda na akili zao katika kampeni za kupigania chama?..kama nawe ni mwanachadema hebu nitajie jina lako halisi na ili nikuulize swali...
hakuna jinsi saa nane anaweza kuukwepa huu mtego wake wa kinafiki..saa nane alitaka kutufanya sisi mabwege ili awaambie mabosi zake kuwa kuna makundi ndani ya chama. hakika hakuwa na mikakati madhubuti kufikia malengo yake hayo. ndio maana ilikuwa rahisi kumshukia.....
 
Waliofadhiliwa na kulipwa ruzuku ya chama wapo hapa ni akina Ben sanane na Mamuya.Zitto hazuiliki kwa hoja zake.Yupo anajenga taifa
Taswira hivi umesoma maelezo ya Mchange hapo juu na Juliana Shonza ngoja nikupe summary ni Kwamba
Mchange anakubaliana asilimia mia moja kwamba Zitto ndio mfadhili wa kikundi cha PM7
Mchange anakubaliana na Ben Kwamba kweli walikuwa wanaasi chama kwa uangalizi wa Zitto,ila kila mtu alikuwa akificha siri wakitegemea kuna siku hawatajulikana
kwa hiyo kuhamisha ukweli wakati uthibitisho upo kwenye thread hii unayojaribu kumkingia Zitto kifua kwa kweli naona unajipaka matope kwa mikono yako
Naibu Katibu mkuu wa chama kazi yake ni kukemea maovu,kudhibiti uasi sio kulea na kuusambaza akitegemea atatoka salama
wanasaikolojia wanasema duniani hakuna siri ikiwa zaidi ya mtu mmoja
Zitto Kabwe kaanikwa sasa kwa sababu ni wakati ulishafika
Huu Mchezo wa kurubuni vijana wenye nyota kali kisiasa aliuanza mapema akimlenga Kafulila anayetoka naye Kigoma ameweza amemwangusha Kafulila hayuko tena kurasa za mbele za magazeti

Shitambala akiwa Mwenyekiti wa Chadema Mbeya alikuwa na nguvu sana na angeendelea angekujakuwa kiongozi mmoja wapo mzuri sana wa chama hicho akamghiribu akamuua kinyota shitambala kawa Tambala

Habibu Mchange akiwa UDOM anasoma alijipigania na kuelekeza kuingia kwenye uchaguzi wengi wanaamini Mchange alishinda ni Kijana hodari nilimuona Mlimani TV kwa kweli ni kijana wa kutegemewa kisiasa ana mvuto wa uongeaji Zitto amemsaga saga amemfanya kibaraka wake wa karibu baada ya Kafulila kukata tamaa

Greyson Nyakarungu ana falsafa zake kichama Kijana alikuwa anakuja kwa nguvu zote nakumbuka kuna siku alishiriki katika kutafuta udiwani kata ya Mugumu nadhani wakashinda Zitto amemfisha kamfisha asionyeshe umahiri wake

Juliana Shonza mwanamke aliyegombea nafasi ya juu kabisa Bavicha kapita kwa kujitetea mwenyewe hata hajatumikia chama kahakikisha ana mzika mwili mzima kumbakiza mkia

Mtela Mwampamba kule Mbozi Mashariki wananchi wanamuita Mbunge kuna watu walifungwa walipigwa mabomu kwa ajili ya kugombea haki yake,huyu ni kijana akisimama jukwaani kutangaza sera hutaki kuacha leo hii amevurugwa kafifishwa kisaikolojia yupo kuunda PM7
wengine wengi Zitto ni pepo na jini baya kuliko yote yaliyowahi kutokea kisiasa he is reaping what he sow hakuba ubaya usio na jibu , hakuna namna atapindisha ukweli hapa ni great thinkers bwana
 
zitto hamjui ben saanane.

Wewe ni nani uwe na uhakika wa Ben kutomjua Zitto? wewe ni mke wa Zitto? wewe ni body guard wake? acha ukichaa bana,msichana mdogo wewe.Unatumika hovyo hovyo? wewe ulichaguliwa kuwa m/mkiti wa Zitto au wa CDM? Mbona husimami kwa maslahi mapana ya chama? Swali; Baada ya kuona Ben ana nia mbaya na chama,wewe ulichukua hatua gani? Mnatuudhi sisi innocent guys tunaojituma kwa ajili ya chama huku mtaani.
 
Mchange, kwanza uandishi wako umekosa mtirriko mzuri wa mawazo hata kama kuna ukweli wowote kati ya unayoyazungumza itakuwa ngumu sana ujumbe wako kueleweka. Pili, naona unataka kujisafisha lakini hausafishiki. Ona hapa ulichoandika:

"2. Ni BEN SAA NANE ndiye aliyewashawishi na kuwalazimisha wenzie anaowasema leo ni wasaliti waunde kikundi. Hakuishia hapo, akakitunga mpaka na jina. Kuwa ni ‘’patriotic movement seven’’ na akakifupisha PM7.
3. Ni BEN SAA NANE ndiye aliyegawa majina ya kuitana miongoni mwa wana kikundi hiko, yeye akajipa jina la COBRA, mimi akanipa MDUDE "

Unajua nini Mchange, watu wote wenye akili hawawezi kukuamini kwa haya unayoyaandika. You are being too pretentious, unatungatunga tu vijistori vya kubumba na watu wengi waliojiunga humu JF ni watu wazima wenye akili zao, wanaweza kupembua pumba na mchele. Zako hizi ni pumba.

Pia anatakiwa afahamu kuwa Ben hajakanusha kuhusika na hilo kundi isipokuwa mwenzake ameamua kufanya U-turn na kusema ukweli wao. Mchange angenyamaza tu ili muda useme. Ben amempa Zitto challenge, yeye kama kiongozi mkuu wa chama aiingize hii agenda ili suala hili lijadiliwe na wasutane. Na amesema kama Zitto hatafanya hivyo yeye atamwandikia Katibu Mkuu wa chama ili suala hili lizungumzwe kichama na si kipropaganda. Jana nimemsikia Dr Slaa akijibu swali kwenye kipindi EATV na alisema kuwa mambo hayo yanayozungumziwa mitaani yakija rasmi kwenye chama yatajadiliwa na kushughulikiwa accordingly.

Mimi natamani haya malumbano yaishie hapa, tunamtaka panya wa kumfunga paka kengele alingize suala hili rasmi kwenye chama lijadiliwe na mzizi wa fitna ukatwe. Imetangazwa kuwa mwaka 2013 ni mwaka wa nguvu ya umma, 2014 uchaguzi serikali za mitaa, na 2015 ndiyo fainali. Hatutaki malumbano haya yaendelee zaidi ya 2013 vinginevyo tumekwisha.
 
Mkiambiwa ukweli hamtaki,ila mnataka uwongo wa kina ben saanane na genge lake lote, ukweli siku zote una sifa yakukataliwa,maana unauma.

Mimi siamini mtu yoyote (especially these so called politicians)., kwahio siwezi kujua ni nani muongo na nani mkweli sababu sikuwepo..,

Nadhani utakubaliana na mimi kwamba wewe huwezi kuwa na uhakika wa kwamba watu wawili hawajakutana sababu huwezi kuwa nao hao watu masaa 24 (labda ungesema kwamba as far as you know hawa watu hawajuani). Even your knowledge has limits no matter how much you know somebody
 
sasa kama hakuwa anahujumu chama kwanini aseme alikuwa msaliti na sasa ameokoka?..
saa nane wa baada ya uchaguzi mkuu wa 2010 anawezaje kuokoka na kuwashinda watu ambao wamepoteza nguvu, muda na akili zao katika kampeni za kupigania chama?..kama nawe ni mwanachadema hebu nitajie jina lako halisi na ili nikuulize swali...
hakuna jinsi saa nane anaweza kuukwepa huu mtego wake wa kinafiki..saa nane alitaka kutufanya sisi mabwege ili awaambie mabosi zake kuwa kuna makundi ndani ya chama. hakika hakuwa na mikakati madhubuti kufikia malengo yake hayo. ndio maana ilikuwa rahisi kumshukia.....

Mchange mimi na declare interest mimi ni fan wako nilikuona mimi ukitangaza nia ya kugombea uwenyekiti wa Bavicha pale mlimani TV ukihojiwa na dada mmoja sikumbuki jina lake kwa kweli tangu pale nilisema chama chenu kina vijana wenye maono ,Maadamu kwa maandishi yako umekili ulikuwa kwenye kundi la kutengeneza uasi kwenye chama chako ni sawa na wewe kuokoka,kilichobaki ni namna ya kujisafisha kurudi jimboni kwako kuenda kujenga chama achana na zitto wenzenu akina Machali na Mkosamali walimtambua Zitto kitambo walimkana peupe,na nyie jitambueni jamani unakubalije Mchange uendeshwe na mtu kama Zitto na wewe ukiwa msomi, acha hizo Mchange wewe ni mwanasiasa wmenye uwezo sana umekengeuka tuu
 
----- Forwarded Message -----
From: Ben Saanane <bensaanane@yahoo.com>
To: mchangehabibu@yahoo.com; mchangehabibu@gmail.com
Sent: Friday, June 10, 2011 1:52 AM
Subject: V4V values & Objctvs

The tragedy of Tanzania is a pervasive pathology. Its leadership selection process
excludes its best while celebrating mediocrity. The incremental influence of that
pathology has created a failing state that is unable to do much more than uphold the
conclave of looters that hold the country hostage. In many ways, every election
process turns out to be much worse than the preceding cycle.
Upon taking power after stolen polls, the new leadership often proceeds to enthrone
a ruling ethos that is defined by a searing contempt for the people. That is why,
despite the billions of dollars that the Tanzania state has earned over five decades,
Tanzania remains at the bottom of the human development league. It is a fate that
Tanzania must reject because a better life is possible.​
Fifty years into Tanzania’s attainment of nationhood, it still has the status of what
domestic and international observers call a failed state, failing state, or failed asset.
Tanzania’s failure to belong to the comity of successful and functional states that
obtained the status of independent nationhood within the same decade is not
attributable to the lack of material and human resources. On the contrary, the
country’s economic, social, and political failure has resulted from the non-adherence
to the practice of true federalism and the consequent mismanagement of the nation’s
resources by most of its political managers since independence. Such managers have
ranged from military dictators to civilian presidents and governors imposed on the
electorate through rigged elections

What to do now?
What is direly needed now is how to get
Tanzania out of the hole of underdevelopment, corruption, and mismanagement.
Now is the time for truly patriotic Tanzanians to join the movement to save Tanzania
from its current state of failure by joining forces with the Voice for the Voiceless Tanzanians (V4V) Group.
Now is the time to liberate Tanzania from the grips of its predators. V4V believes that​
Tanzanias’s failure is avoidable; that Tanzania can be saved. But to stop the politics of
self-imposed failure, a new crop of leaders with a patriotic outlook and a
transformational vision from those of its predatory leaders must move to the centre
of the country’s political space to re-engineer it away from chronic failure and chart
a new course in the direction of success. The V4V is blazing the trail of change and
transformation in Tanzania. V4V values has been designed to bring liberty,
security, and prosperity to all Tanzanians, is being made available to all Tanzanians, through building strong citizens to create wealth and
make contributions to modern global civilization.

Mchange, sioni uhusiano kati ya V4V na PM7. Nimeisoma hiyo email ya saanane na ninachoweza kutofautisha hapa ni kwamba V47 walahi haina jambo lolote la kushtukiwa. Ni ndoto tu ujana za Saanane na vingereza vyake lakini kimaudhui hakuna lenye madhara. Bado naendelea kusisitiza kwamba kwa utetezi wako huo, na kutokubali kuona makosa yako, hautafika mbali sana kisiasa. Kama hamtajirekebisha, wewe na watu wote wenye mawazo kama yako, popote mtakapokuwa si rahisi sana kufanikiwa kwa njia zenu hizi. Mmekosa utulivu, hamjui kujipanga, mna papara zilizopitiliza. Hiyo email ya Saanane sasa imepunguza nini kwa madai na tuhuma zinazokukabil? Kama kuna kitu imesaidia basi ni kuonyesha kwamba Chadema walikuwa sahihi kuliondoa jina lako BAVICHA.
 
----- Forwarded Message -----
From: Ben Saanane <bensaanane@yahoo.com>
To: mchangehabibu@yahoo.com; mchangehabibu@gmail.com
Sent: Friday, June 10, 2011 1:52 AM
Subject: V4V values & Objctvs

The tragedy of Tanzania is a pervasive pathology. Its leadership selection process
excludes its best while celebrating mediocrity. The incremental influence of that
pathology has created a failing state that is unable to do much more than uphold the
conclave of looters that hold the country hostage. In many ways, every election
process turns out to be much worse than the preceding cycle.
Upon taking power after stolen polls, the new leadership often proceeds to enthrone
a ruling ethos that is defined by a searing contempt for the people. That is why,
despite the billions of dollars that the Tanzania state has earned over five decades,
Tanzania remains at the bottom of the human development league. It is a fate that
Tanzania must reject because a better life is possible.​
Fifty years into Tanzania’s attainment of nationhood, it still has the status of what
domestic and international observers call a failed state, failing state, or failed asset.
Tanzania’s failure to belong to the comity of successful and functional states that
obtained the status of independent nationhood within the same decade is not
attributable to the lack of material and human resources. On the contrary, the
country’s economic, social, and political failure has resulted from the non-adherence
to the practice of true federalism and the consequent mismanagement of the nation’s
resources by most of its political managers since independence. Such managers have
ranged from military dictators to civilian presidents and governors imposed on the
electorate through rigged elections

What to do now?
What is direly needed now is how to get
Tanzania out of the hole of underdevelopment, corruption, and mismanagement.
Now is the time for truly patriotic Tanzanians to join the movement to save Tanzania
from its current state of failure by joining forces with the Voice for the Voiceless Tanzanians (V4V) Group.
Now is the time to liberate Tanzania from the grips of its predators. V4V believes that​
Tanzanias’s failure is avoidable; that Tanzania can be saved. But to stop the politics of
self-imposed failure, a new crop of leaders with a patriotic outlook and a
transformational vision from those of its predatory leaders must move to the centre
of the country’s political space to re-engineer it away from chronic failure and chart
a new course in the direction of success. The V4V is blazing the trail of change and
transformation in Tanzania. V4V values has been designed to bring liberty,
security, and prosperity to all Tanzanians, is being made available to all Tanzanians, through building strong citizens to create wealth and
make contributions to modern global civilization.

Nadhani hii e mail ni sawa kabisa.Inaonesha jinsi vijana wanavoweza kuungana kutokana na uovu wa CCM.Sijaona mahala popote ikionesha movement against CHADEMA.Kama huu ndo ushahidi wa maana uliouona.Basi hakuna kitu...mnatapatapa...Ben is smarter than you guys.Though all of you.Zitto,Ben ,Mchange ,Shonza and the rest are the traitors.
 
Taswira hivi umesoma maelezo ya Mchange hapo juu na Juliana Shonza ngoja nikupe summary ni Kwamba
Mchange anakubaliana asilimia mia moja kwamba Zitto ndio mfadhili wa kikundi cha PM7
Mchange anakubaliana na Ben Kwamba kweli walikuwa wanaasi chama kwa uangalizi wa Zitto,ila kila mtu alikuwa akificha siri wakitegemea kuna siku hawatajulikana
kwa hiyo kuhamisha ukweli wakati uthibitisho upo kwenye thread hii unayojaribu kumkingia Zitto kifua kwa kweli naona unajipaka matope kwa mikono yako
Naibu Katibu mkuu wa chama kazi yake ni kukemea maovu,kudhibiti uasi sio kulea na kuusambaza akitegemea atatoka salama
wanasaikolojia wanasema duniani hakuna siri ikiwa zaidi ya mtu mmoja
Zitto Kabwe kaanikwa sasa kwa sababu ni wakati ulishafika
Huu Mchezo wa kurubuni vijana wenye nyota kali kisiasa aliuanza mapema akimlenga Kafulila anayetoka naye Kigoma ameweza amemwangusha Kafulila hayuko tena kurasa za mbele za magazeti

Shitambala akiwa Mwenyekiti wa Chadema Mbeya alikuwa na nguvu sana na angeendelea angekujakuwa kiongozi mmoja wapo mzuri sana wa chama hicho akamghiribu akamuua kinyota shitambala kawa Tambala

Habibu Mchange akiwa UDOM anasoma alijipigania na kuelekeza kuingia kwenye uchaguzi wengi wanaamini Mchange alishinda ni Kijana hodari nilimuona Mlimani TV kwa kweli ni kijana wa kutegemewa kisiasa ana mvuto wa uongeaji Zitto amemsaga saga amemfanya kibaraka wake wa karibu baada ya Kafulila kukata tamaa

Greyson Nyakarungu ana falsafa zake kichama Kijana alikuwa anakuja kwa nguvu zote nakumbuka kuna siku alishiriki katika kutafuta udiwani kata ya Mugumu nadhani wakashinda Zitto amemfisha kamfisha asionyeshe umahiri wake

Juliana Shonza mwanamke aliyegombea nafasi ya juu kabisa Bavicha kapita kwa kujitetea mwenyewe hata hajatumikia chama kahakikisha ana mzika mwili mzima kumbakiza mkia

Mtela Mwampamba kule Mbozi Mashariki wananchi wanamuita Mbunge kuna watu walifungwa walipigwa mabomu kwa ajili ya kugombea haki yake,huyu ni kijana akisimama jukwaani kutangaza sera hutaki kuacha leo hii amevurugwa kafifishwa kisaikolojia yupo kuunda PM7
wengine wengi Zitto ni pepo na jini baya kuliko yote yaliyowahi kutokea kisiasa he is reaping what he sow hakuba ubaya usio na jibu , hakuna namna atapindisha ukweli hapa ni great thinkers bwana
silijui rika la umri wako, laiti kama ningekuwa na uhakika ningekujibu vizuru sana.
unapoandika na kujidai unanijua kuliko ninavyojijua mimi mwenyewe nashindwa kukuelewa uwezo wako.
ila sikushangai maana kwenu nyinyi kupika nuwongo na majungu ni jambo la kawaida, kwenu kumsingizia mtu kitu kibaya ni furaha sana.
nionyeshe sehemu moja niliyosema zitto ni mfadhili wa kikundi cha BEN SAA NANE?. sehemu moja tu nionyeshe, naona unaongea ujinga ujinga kama mtu aliyeshikwa na kwikwi...
 
Yalitamkwa DALILI YA MVUA ni Mawingu; CHADEMA yaelekea kuzikwa
 
sasa kama hakuwa anahujumu chama kwanini aseme alikuwa msaliti na sasa ameokoka?..
saa nane wa baada ya uchaguzi mkuu wa 2010 anawezaje kuokoka na kuwashinda watu ambao wamepoteza nguvu, muda na akili zao katika kampeni za kupigania chama?..kama nawe ni mwanachadema hebu nitajie jina lako halisi na ili nikuulize swali...
hakuna jinsi saa nane anaweza kuukwepa huu mtego wake wa kinafiki..saa nane alitaka kutufanya sisi mabwege ili awaambie mabosi zake kuwa kuna makundi ndani ya chama. hakika hakuwa na mikakati madhubuti kufikia malengo yake hayo. ndio maana ilikuwa rahisi kumshukia.....

Kama ni kufundishwa toka mtaa wa Lumumba kweli umeiva.Niwe mwana Chadema au lau ni mtu tu asiye na akili sawa sawa ndiye asiyeweza kung'amua maelezo yako.
Na hiyo haitoshi bado umechakachua maelezo yangu.Maelezo yangu yamezungumzia e-mail uliyotukopia amabayo umedai ndio aina au moja ya Unafikia wa Ben Saanane lakini cha kushangaza maelezo yangu umeyaunganisha na hadithi zako zisizo na miguu.
Rejea hapo chini.

KATIKA KUUTHIBITISHA UNAFIKI WA SAA NANE KWA WALIOMTUMA. NAOMBA NIWEKE NAKALA YA EMAIL ALIYONITUMIA JUU YA KUANZISHA KIKUNDI CHA PM7 AMBACHO ALITAKA TUKISAJILI KAMA NGO IITWE VOICE FOR VOICELESS KISHA IZUNGUKE MIKOANI KUFANYA USHAWISHI KWA VIONGOZI WA CHAMA WA HUKO...
----- Forwarded Message -----
From: Ben Saanane <bensaanane@yahoo.com>
To: mchangehabibu@yahoo.com; mchangehabibu@gmail.com
Sent: Friday, June 10, 2011 1:52 AM
Subject: V4V values & Objctvs

[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD] The tragedy of Tanzania is a pervasive pathology. Its leadership selection process
excludes its best while celebrating mediocrity. The incremental influence of that
pathology has created a failing state that is unable to do much more than uphold the
conclave of looters that hold the country hostage. In many ways, every election
process turns out to be much worse than the preceding cycle.
Upon taking power after stolen polls, the new leadership often proceeds to enthrone
a ruling ethos that is defined by a searing contempt for the people. That is why,
despite the billions of dollars that the Tanzania state has earned over five decades,
Tanzania remains at the bottom of the human development league. It is a fate that
Tanzania must reject because a better life is possible.

Fifty years into Tanzania's attainment of nationhood, it still has the status of what
domestic and international observers call a failed state, failing state, or failed asset.
Tanzania's failure to belong to the comity of successful and functional states that
obtained the status of independent nationhood within the same decade is not
attributable to the lack of material and human resources. On the contrary, the
country's economic, social, and political failure has resulted from the non-adherence
to the practice of true federalism and the consequent mismanagement of the nation's
resources by most of its political managers since independence. Such managers have
ranged from military dictators to civilian presidents and governors imposed on the
electorate through rigged elections

What to do now?

What is direly needed now is how to get
Tanzania out of the hole of underdevelopment, corruption, and mismanagement.
Now is the time for truly patriotic Tanzanians to join the movement to save Tanzania
from its current state of failure by joining forces with the Voice for the Voiceless Tanzanians (V4V) Group.
Now is the time to liberate Tanzania from the grips of its predators. V4V believes that

Tanzanias's failure is avoidable; that Tanzania can be saved. But to stop the politics of
self-imposed failure, a new crop of leaders with a patriotic outlook and a
transformational vision from those of its predatory leaders must move to the centre
of the country's political space to re-engineer it away from chronic failure and chart
a new course in the direction of success. The V4V is blazing the trail of change and
transformation in Tanzania. V4V values has been designed to bring liberty,

security, and prosperity to all Tanzanians, is being made available to all Tanzanians, through building strong citizens to create wealth and
make contributions to modern global civilization.
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Mchange napata wasi wasi pengine uelewa /uwezo wakuelewa mambo unashida.
Kwenye e-mail hii uliyotuwekea Unafiki wa Ben Saanane uko wapi.
Hii kinachoitwa M4C kwa sasa kumbe kulikuwa na vijana wenye kuitakia Tanzania neema walikuwa wamekwisha anza kuifikiria siku nyingi !.Hongera Ben.

Wewe na Zito mje na taarifa yenye kweli na za kuaminika ya namna gani kila mmoja wenu alishiki kwenye njama ya kusambaratisha Chama bila hivyo bado mnatakuwa mkiuzunguka mbuyu kwa sasa.(Ben Saanane)
 
Unaambiwa hiyo ndio PM7 aliyoiasisi Ben saanane unataka majibu gani wewe????

wadau mimi sina mtu wakunitumia email haya mambo siyaelewi vizuri naona forwarded massage aliyeforward ni nani hapa! kati yao na imekuwa forwarded kutoka wapi kwenda wapi msaada tafadhali!:nimekataa:nimekataa

-----
Forwarded Message -----
From: Ben Saanane <bensaanane@yahoo.com>
To: mchangehabibu@yahoo.com; mchangehabibu@gmail.com
Sent: Friday, June 10, 2011 1:52 AM
Subject: V4V values & Objctvs

@Mchange Tunaomba source ya email hii pamoja na kuwa haiko detailed na kinachoongelewa

Hapa @Ben sio source wa hii Email kwanini inaonesha
Forwarded Message -----
 
kuna kitu myuma ya pazia kat zito mchange na ben.nawashauli fungen mjadal hum kweny jf kwa sabab haukisaidi chama,kama kuna mtu ana malalamiko afuate utaratib.
 
Back
Top Bottom