msolopa ganzi
Member
- Sep 29, 2010
- 57
- 27
Na nyie tumewachoka kila siku malumbano kama mnaona chama kinawazingua si msepe mnang`ang`ania nini
patamu sana hapo....mapovu yameshawajaa watu kooni.
Kauli hii inathibisha kwamba ni kweli Zitto anakundi linalomtii. nasubiri maelezo yako mengine.
Ughaibuni watu kama Ben saanane wanapigiliwa misumari kwenye mbao za matangazo.Ni hatari kwa taifa kuwa na vijana wadogo wanaosafirisha umbea kuwavuruga viongozi wa kitaifa.
Malinda 27 posts and counting..
Taswira Join date: 19th December 2012
Juliana Shonza Join date: 19th December 2012
Kuna mambo yanakulazimisha ujiulize hata kama ulikuwa mpitaji tu
What the f$##@#!!
watahangaika sana lakini its too late,kwa nini wasingeyasema hayo kabla ben hajawaumbua?unafiki unawasumbua sana
Mh walilegeza nati za tair ya nyuma ili apate ajal? Tair ya nyuma mbona sio case wangelegeza ya mbele basi.. Upo kwenye harakat za kumsafisha boc wako wakgoma hakuna jpya hapa.
,
vp wazee wakunyonyoana nywere, mko niaje
ndiyom maana mnafeli mitihani hivihivi unaambiwa without using mathetical tables solve the following wewe unaamua kuachana na kiti unakaa chini. jibu swali kwanini zito hataki kuoa? kwani mwali kuwa ndani ndiyo kuoa wewe vipi? naona leo mnasaidiana , kyama chenu kimefika.uneniambia alikuwa hajapata mwenza ningekuona una busara lakini kwa hili bure kabia.
Taswira unaelekea Umasalia
flan Am sorry to say, Ben ni Msaliti Sawa Hilo limefahamika na yeye
binafsi amekiri hilo na mamlaka husika watajua adhabu ya kumpa.Sasa
swali kwa hao wengi Mbona hawajibu hoja ya msingi zaidi ya kutoa
ufafanuzi?Shurianeni tu kuwa picha imeshaiungua na imeanzia kichwani.
Jipangeni Upya.
ID yakio inasomeka hivi: Join Date : 19th December 2012
,
vp wazee wakunyonyoana nywere, mko niaje
Wewe nimekwisha kunote muda mrefu kwamba ni mmoja kati ya kundi la masalia, muda mrefu sana, sababu hakuna unachoeleza zaidi ya porojo.kama sijaelewa vibaya ni kwamba
1. mchange alimuelewa Ben mission yake tangu siku ya kwanza
2. alimdharau na kumuacha aendelee kupeleka uongo wake yeye mwenyewe.
cha msingi tu hapa kushauri ni kwamba, BEN hana busara, na kama angekuwa na busara asingeweza kukubali kukifanya alichokifanya yeye.
hata kuandika mashtaka ya kitoto kama yale hakuwa sahihi hata kidogo hasa kwa mtu ambaye sio level yake kiuongozi.
vile vile na mchange nae alitakiwa atafute njia sahihi kuufikisha huu ujumbe kuliko kuendleza marumbano kila uchao.
zaidi ya yote tuangalie part three ya muvi kama itakuja.
Ndugu zangu @ habibu Mchange, Ben Saanane Juliana Shonza Zitto, kwakweli mnaendelea kunisonononesha sana, kwanini kama wote mlikuwa mna nia njema na chama hamamkuyapeleka makao makuu ya chama jamani? Leo hii kila mtu hapa ana taka aonekane ni mwema!
@Machange umekiri kuwa na ukaribu na zitto na ulikuwa unajua hila za Ben Saanane katika kukihujumu chama kwa nini ukushawishi Zitto akaliongee hili swala kwenye kamati kuu? Kwakweli mnacho fanya hapa sidhani kama kitawatoa nyote nyie kwenye hataia kabisa! Wote mlikuwa mnajua kinacho endelea kwa nini hamakusema? kama kweli nyie ni wapigania haki wa kweli?
Nimechoshwa na hizi story, nimechoshwa na huu upuuzi, upuuzi maana mliamua kukaa nao mfukoni!
Mchange umesema Ben alikuwa anatumiwa na mtu kwenye chama lakini umekataa kumtaja na ukaongeza Zitto alipangiwa ajali lakini haya unataka tuyaamini! Je yalishafika makao makuu?
Kwakweli mimi mmenisikitisha nyie wote( Zitto, Ben Saanane, Juliana Shonza , mamuya, MCHnge,gwasika,Mwampamba kwakweli nyie inabidi mtubu sana.
Kwakweli nimesikitishwa na kusononeshwa sana na haya mambo kwakweli!