Ben Saanane anavyoteseka na kivuli cha unafiki...

Katika maelezo yote hakuna sehemu mchange kakiri kujitoa kwnye hlo kundi shirikina la kukiangamiza chama.walikua kund moja,saa nane kajitoa na kumwaga siri,mchange kakiri walikua wote.yeye vipi?amejitoa lini?kwa maneno na matendo bado yumo!
ELEWA WEWE.
KWETU SISI HALIKUWA KUNDI LA UASI AMA USALITI...LILIKUWA KUNDI LA KUUNGANISHA NGUVU ZA VIJANA BILA KUJALI VYAMA VYAO, KWA SAA NANE LILIKUWA KUNDI LA UASI NDANI YA CHAMA, HIVYO ALIKUWA ANAPELEKA UMBEA WA KUTUNGA... SOMA EMAIL YAKE HII HAPA CHINI UELEWE JINSI ALIVYOKUWA ANAVYOWADANGANYA WATU WALIOKUWA WANAMLIPA.
----- Forwarded Message -----
From: Ben Saanane <bensaanane@yahoo.com>
To: mchangehabibu@yahoo.com; mchangehabibu@gmail.com
Sent: Friday, June 10, 2011 1:52 AM
Subject: V4V values & Objctvs

The tragedy of Tanzania is a pervasive pathology. Its leadership selection process
excludes its best while celebrating mediocrity. The incremental influence of that
pathology has created a failing state that is unable to do much more than uphold the
conclave of looters that hold the country hostage. In many ways, every election
process turns out to be much worse than the preceding cycle.
Upon taking power after stolen polls, the new leadership often proceeds to enthrone
a ruling ethos that is defined by a searing contempt for the people. That is why,
despite the billions of dollars that the Tanzania state has earned over five decades,
Tanzania remains at the bottom of the human development league. It is a fate that
Tanzania must reject because a better life is possible.​
Fifty years into Tanzania’s attainment of nationhood, it still has the status of what
domestic and international observers call a failed state, failing state, or failed asset.
Tanzania’s failure to belong to the comity of successful and functional states that
obtained the status of independent nationhood within the same decade is not
attributable to the lack of material and human resources. On the contrary, the
country’s economic, social, and political failure has resulted from the non-adherence
to the practice of true federalism and the consequent mismanagement of the nation’s
resources by most of its political managers since independence. Such managers have
ranged from military dictators to civilian presidents and governors imposed on the
electorate through rigged elections

What to do now?
What is direly needed now is how to get
Tanzania out of the hole of underdevelopment, corruption, and mismanagement.
Now is the time for truly patriotic Tanzanians to join the movement to save Tanzania
from its current state of failure by joining forces with the Voice for the Voiceless Tanzanians (V4V) Group.
Now is the time to liberate Tanzania from the grips of its predators. V4V believes that​
Tanzanias’s failure is avoidable; that Tanzania can be saved. But to stop the politics of
self-imposed failure, a new crop of leaders with a patriotic outlook and a
transformational vision from those of its predatory leaders must move to the centre
of the country’s political space to re-engineer it away from chronic failure and chart
a new course in the direction of success. The V4V is blazing the trail of change and
transformation in Tanzania. V4V values has been designed to bring liberty,
security, and prosperity to all Tanzanians, is being made available to all Tanzanians, through building strong citizens to create wealth and
make contributions to modern global civilization.

Mkuu Ritz
Picha hii inaonekana starring aliacha mke mjamzito tunasubiri mimba izaliwe part 2 ianze!

Chama
Gongo la mboto DSM

Tumekesha siku 2, asubuhi nikaamka labda nitakuta watu hawa wameshikana mikono ya amani-IT'S OK, lakini waaaaapi. Jamani tuoneeni huruma wengine tumedoji lectures,
 
unataka kuniaminisha kuwa mtu mwaminifu hawezi kugeuka kuwa msaliti? Ni swali la kivushi tu usijetoka povu ndugu

Binaadamu yeyote anaweza kubadilika wakati wowote. Lakini hizi taarifa hapa ni porojo tu, zinaendana kinyume na muonekano halisi wa mambo ambayo ZITTO amekuwa akiyasimamia. Kama angekuwa pandikizi kwa namna yoyote ile, asingeweza kuishika serikali namna ile mpaka baraza la mawaziri likavunjwa. Hata CCM wanajua kwamba ZITTO ni mchapakazi na mzalendo. Kosa lake ni kujiamini 100% kuwa ana support ya wenzake nyuma, kumbe wao wanataka kummaliza kisiasa. Lakini this is too late. Hoja za DR Slaa ni kuvuruga maendeleo ya nchi kwa kuleta maandamano yasiyokuwa na msingi. Hoja za Zitto ni tangible supported by evidences even fools wanaweza kuona. Acheni propaganda za kitoto.
 
----- Forwarded Message -----
From: Ben Saanane <bensaanane@yahoo.com>
To: mchangehabibu@yahoo.com; mchangehabibu@gmail.com
Sent: Friday, June 10, 2011 1:52 AM
Subject: V4V values & Objctvs

The tragedy of Tanzania is a pervasive pathology. Its leadership selection process
excludes its best while celebrating mediocrity. The incremental influence of that
pathology has created a failing state that is unable to do much more than uphold the
conclave of looters that hold the country hostage. In many ways, every election
process turns out to be much worse than the preceding cycle.
Upon taking power after stolen polls, the new leadership often proceeds to enthrone
a ruling ethos that is defined by a searing contempt for the people. That is why,
despite the billions of dollars that the Tanzania state has earned over five decades,
Tanzania remains at the bottom of the human development league. It is a fate that
Tanzania must reject because a better life is possible.​
Fifty years into Tanzania's attainment of nationhood, it still has the status of what
domestic and international observers call a failed state, failing state, or failed asset.
Tanzania's failure to belong to the comity of successful and functional states that
obtained the status of independent nationhood within the same decade is not
attributable to the lack of material and human resources. On the contrary, the
country's economic, social, and political failure has resulted from the non-adherence
to the practice of true federalism and the consequent mismanagement of the nation's
resources by most of its political managers since independence. Such managers have
ranged from military dictators to civilian presidents and governors imposed on the
electorate through rigged elections

What to do now?
What is direly needed now is how to get
Tanzania out of the hole of underdevelopment, corruption, and mismanagement.
Now is the time for truly patriotic Tanzanians to join the movement to save Tanzania
from its current state of failure by joining forces with the Voice for the Voiceless Tanzanians (V4V) Group.
Now is the time to liberate Tanzania from the grips of its predators. V4V believes that​
Tanzanias's failure is avoidable; that Tanzania can be saved. But to stop the politics of
self-imposed failure, a new crop of leaders with a patriotic outlook and a
transformational vision from those of its predatory leaders must move to the centre
of the country's political space to re-engineer it away from chronic failure and chart
a new course in the direction of success. The V4V is blazing the trail of change and
transformation in Tanzania. V4V values has been designed to bring liberty,
security, and prosperity to all Tanzanians, is being made available to all Tanzanians, through building strong citizens to create wealth and
make contributions to modern global civilization.

HE! YAANI HUYU SAANANE ANAONGEA KINGEREZA KIGUMUUU! AISEE NI MTANZANIA KWELI? ANY WAY, SASA MBONA HII v4v nayo ni tofauti tena na lile kundi lililotajwa awali! mbona inaonekana kuna mambo mazito mno kwenye hili sakata!
 
mkiambiwa ukweli hamtaki,ila mnataka uwongo wa kina ben saanane na genge lake lote
ukweli sikuzote una sifa yakukataliwa,maana unauma.
Juliana Shonza, naomba utusaidie hapa, kati ya Ben, Mchange, Mamuya na Zitto; nani mkweli?

Lakini pia hebu tusaidiane, Tuntemeke nae ana ukweli gani?
Mnawaangusha vijana wenzenu.
 
Last edited by a moderator:
Tumekesha siku 2, asubuhi nikaamka labda nitakuta watu hawa wameshikana mikono ya amani-IT'S OK, lakini waaaaapi. Jamani tuoneeni huruma wengine tumedoji lectures,

Bado kitila mkumbo.
Juliana shonza
 
Dah!!!! Vijana mnatukatisha tamaa sana. Anyway embu nisome maoni nitapata kitu namimi nitoe yangu maana naona ni page ya 37 sasa
 
Binaadamu yeyote anaweza kubadilika wakati wowote. Lakini hizi taarifa hapa ni porojo tu, zinaendana kinyume na muonekano halisi wa mambo ambayo ZITTO amekuwa akiyasimamia. Kama angekuwa pandikizi kwa namna yoyote ile, asingeweza kuishika serikali namna ile mpaka baraza la mawaziri likavunjwa. Hata CCM wanajua kwamba ZITTO ni mchapakazi na mzalendo. Kosa lake ni kujiamini 100% kuwa ana support ya wenzake nyuma, kumbe wao wanataka kummaliza kisiasa. Lakini this is too late. Hoja za DR Slaa ni kuvuruga maendeleo ya nchi kwa kuleta maandamano yasiyokuwa na msingi. Hoja za Zitto ni tangible supported by evidences even fools wanaweza kuona. Acheni propaganda za kitoto.

naona unapiga propaganda za kikubwa mkuu
 
Kuwa na adabu ya kuuliza maswali.
1.Kunasehemu zitto ametajwa kujiunga na hicho kikundi?Kuna sehemu zitto ametajwa kuonana na hiho kikundi?Kunasehemu zitto ametajwa kushirikiana na hiho kikundi?
2.Matarajio?Kikundi gani?alcihoasisi Ben saanane kwa lengo la kumnasa zitto akashindwa.
3.Jibu maswali hayo hapo juu ndipo akamuulize zitto maswali yenye ubongo wa binadamu.
4.Ben saanane ameanika hapa baada ya nini?Si ni baada ya kuumbuliwa kuwa alikuwa na mpango wa kumuua zitto,

twende kazi

Nadhani akili yako imechoka maana tangu jana usiku wa manane ulikua busy kupambana kuupaka rangi upepo.
Soma kwa makini hayo maswali yangu nimemuuliza Juliana Shonza sasa wewe habari ya @Ztto yameingiaje humu??
unamuaibisha aliyekutuma.
 
Last edited by a moderator:
HE! YAANI HUYU SAANANE ANAONGEA KINGEREZA KIGUMUUU! AISEE NI MTANZANIA KWELI? ANY WAY, SASA MBONA HII v4v nayo ni tofauti tena na lile kundi lililotajwa awali! mbona inaonekana kuna mambo mazito mno kwenye hili sakata!
PM7 ndio hii hapa mkuu unataka nini???
 
Hivi PM7=VOICE FOR VOICELESS?????????????????????????????

Ulipoleta hii thread kwa mara ya kwanza VOICE FOR VOICELESS haikuwepo sasa umeitoa wapi?

VOICE FOR VOICELESS ina uhusiano gani na Chadema?? au Dr Slaa? au Mbowe?

----- Forwarded Message -----
From: Ben Saanane <bensaanane@yahoo.com>
To: mchangehabibu@yahoo.com; mchangehabibu@gmail.com
Sent: Friday, June 10, 2011 1:52 AM
Subject: V4V values & Objctvs

The tragedy of Tanzania is a pervasive pathology. Its leadership selection process
excludes its best while celebrating mediocrity. The incremental influence of that
pathology has created a failing state that is unable to do much more than uphold the
conclave of looters that hold the country hostage. In many ways, every election
process turns out to be much worse than the preceding cycle.
Upon taking power after stolen polls, the new leadership often proceeds to enthrone
a ruling ethos that is defined by a searing contempt for the people. That is why,
despite the billions of dollars that the Tanzania state has earned over five decades,
Tanzania remains at the bottom of the human development league. It is a fate that
Tanzania must reject because a better life is possible.​
Fifty years into Tanzania’s attainment of nationhood, it still has the status of what
domestic and international observers call a failed state, failing state, or failed asset.
Tanzania’s failure to belong to the comity of successful and functional states that
obtained the status of independent nationhood within the same decade is not
attributable to the lack of material and human resources. On the contrary, the
country’s economic, social, and political failure has resulted from the non-adherence
to the practice of true federalism and the consequent mismanagement of the nation’s
resources by most of its political managers since independence. Such managers have
ranged from military dictators to civilian presidents and governors imposed on the
electorate through rigged elections

What to do now?
What is direly needed now is how to get
Tanzania out of the hole of underdevelopment, corruption, and mismanagement.
Now is the time for truly patriotic Tanzanians to join the movement to save Tanzania
from its current state of failure by joining forces with the Voice for the Voiceless Tanzanians (V4V) Group.
Now is the time to liberate Tanzania from the grips of its predators. V4V believes that​
Tanzanias’s failure is avoidable; that Tanzania can be saved. But to stop the politics of
self-imposed failure, a new crop of leaders with a patriotic outlook and a
transformational vision from those of its predatory leaders must move to the centre
of the country’s political space to re-engineer it away from chronic failure and chart
a new course in the direction of success. The V4V is blazing the trail of change and
transformation in Tanzania. V4V values has been designed to bring liberty,
security, and prosperity to all Tanzanians, is being made available to all Tanzanians, through building strong citizens to create wealth and
make contributions to modern global civilization.

Labda kama umeamua kuniambia sasa hivi mkuu

inaonekana ngoma unaijua kuicheza ndio sababu akili yako imeleekea huko; wajinadi hujaonja tamu pilipili ilhali waogopa makali ya pilipili? Ulijuaje kama pilipili kali? Yakhe karibu usiogope sisi waungwana tutakufundisha maadili mpaka jina utabadili badala ya kujiita Msemaovyo utajiita waridi.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Last edited by a moderator:
mkiambiwa ukweli hamtaki,ila mnataka uwongo wa kina ben saanane na genge lake lote
ukweli sikuzote una sifa yakukataliwa,maana unauma.

Najaribu kufuatilia maandiko yako hapa unaonekana ka-innocent flani uliyeingizwa mkenge na kundi la wasaliti na sasa unaogopa kuwakana.Utetezi wako ni mwepesi sana so bora ukae kimya tu dada yangu ligi hii ngumu upande wenu mna dalili zote za kupoteza.Ukimya wako utakupa nafasi ya kuwa considered kurudi katika hali ya utu na si ushirikina.

Nadhani akili yako imechoka maana tangu jana usiku wa manane ulikua busy kupambana kuupaka rangi upepo.
Soma kwa makini hayo maswali yangu nimemuuliza Juliana Shonza sasa wewe habari ya @Ztto yameingiaje humu??
unamuaibisha aliyekutuma.

Hana taswira yeyote na kashachanganyikiwa huyu, sijaona la maana aliloweza kulilitetea toka aanze hii kazi usiku wa manane
 
Last edited by a moderator:
swali zuri sana hili,Ben saanane aje ajibu amewahionana na Zitto ana kwa ana(wapi) akijibu hili swala nitakuja na neno

acha kuhamisha mjadala, mjadala hapa ni je kweli Zitto ni mfadhili wa nyie wasaliti na kikundi chenu cha PM7?

Ukweli ni mchungu sana.
 
Tumekesha siku 2, asubuhi nikaamka labda nitakuta watu hawa wameshikana mikono ya amani-IT'S OK, lakini waaaaapi. Jamani tuoneeni huruma wengine tumedoji lectures, ........

Slaa na yeye anashuhudia huu mnyukano lakini inaonekana kaamua aangalie tu mpaka mwisho kila mwenye lake aweke hapa aone itakuwa je.
 
Labda kama umeamua kuniambia sasa hivi mkuu

........

Inaonekana ngoma unaijua kuicheza ndio sababu akili yako imeleekea huko; wajinadi hujaonja tamu pilipili ilhali waogopa makali ya pilipili?

Ulijuaje kama pilipili kali? Yakhe karibu usiogope sisi waungwana tutakufundisha maadili mpaka jina utabadili badala ya kujiita Msemaovyo utajiita waridi.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Back
Top Bottom