Juliana shonza umetia aibu unatumika kama vile pad watumiazo akina mama,Mchanga waraka wote ni confesion kwamba mulikuwa na kundi la kuhujumu chama hapo jakuna damage cntrol niwaambie mumefikia hatua nzuri sana manake sasa wote mumekuja kuthibitisha ndio furaha yetu sisi wafuasi wenu
tulikuwa tunajiuliza iweje Juliana aliyeshinda kwenye uchaguzi mgumu kama yule atumike kumbe yalikuwa matunguri ya Zitto aliwapumbaza(Hypotonise)
Tukajiuliza vipi mchange amesahau ule umma pale Kibaha waliotaka kufa kwa ajili yake ili kudhibiti unynq,anyi wa kura zake awe anatukana viongozi na kuwapa majina ya kila namna tulikuwa hatuelewi kumbe ni nyoka mbeba matunguri Zitto aliwapumbza mumeamka sasa ndio mwisho wa ubaya siri zenu wote nje munakiri wote ni wasaliti sasa hiari yenu kujenga majina yenu na crediti za kisiasa au kuendelea kumtumikia huyo nyoka lakini wengi wetu tunaamini munachofanya hapa ni damage control ambayo wanasaikolojia wanatusaidia kupata uelewa kwamba kweli nyie mulikuwa munasaliti chama hii ni damage control its a little bit too late mumechafuka lakini munaweza kujisafisha furaha yetu ni kwamba hata Common ID yenu ya Tuntemeke mumeikataa Bravo vijana kaombeni msamaha kwa viongozi wenu mukaendeleze chama mumekuja usiku wa manane nasi tutakesha kuwazindua kwutoka matunguri ya Zitto nyie ni wanasiasa wazuri mukijisimamia