Ben Saanane anavyoteseka na kivuli cha unafiki...

Ben Saanane anavyoteseka na kivuli cha unafiki...

Juliana Shonza

Kamanda we unamfahamu vipi Zitto?

Pia wewe ni kiongozi kwanini uwe na makundi?

La mwisho kwanini wewe haushiriki operation za chama kama mwenzio Heche?

Mnatuvuruga vijana wapenda mabadiliko katika taifa hili.

Mkuu,wewe nawengine wengi tupo humo na CDM kwa kuwa tunahitaji mabadiliko, huyu mtu siyo wa kutuvuruga kabisa. Kimsingi hana lolote na hawezi chochote zaidi ya kutumika kama kondom. Unaweza kutuambia tokea awe kiongozi kafanya kitu gani tangible??? zaidi ya kumtetea Mzee Shibuda na utata wake???

So, dont let impurities disappoint us.
 
Ujasusi wa CCM/TISS sasa unathihirika,kweli chama kitasambalatika na utabiri wa NAPE,waweza timia badala ya
M4C,itakuwa M4D (DEATH). naomba utabiri wa kishetani namna hii usitimie

Palipo na nuru uongo na usaliti utajitenga-Mungu ibariki Tanzania,Mungu bariki wapambanaji wa kweli wenye hofu
na uwepo wako.
 
Hayo maswali yote unayouliza muulize ben yeye ndio inteligensia anaweza kujua mwisho wa mimi kuwasiliana na zitto ni saangapi pamoja na maswali mengine uliyouliza.

Nashukuru Juliana Shonza maana majibu yako yananionyesha dhahiri uko Mtu ama kiongozi wa namna gani.

Unaposema nimuulize Ben Saanane ndio ana majibu ya maswali niliyokuuliza wewe, inamaanisha kuwa akili yako iko controlled na Ben Saanane. What a shame!!!!

Wewe ni msomi lazima ujue kujibu hoja na sio kujibu personalities! Usiwe mtu wa kukimbia hoja na kutafuta pa kujishikiza. Huo sio uongozi bali ni udhaifu na hasa kwa kijana kama wewe ambaye sisi tunakutegemea.

Tangu jana naangalia post zako humu sioni hoja unayojibu wewe na wenzako zaidi ya kusisitiza kuwa Ben ni msaliti. Sawa Ben amekiri kuwa alikuwa msaliti na sasa ametubu, what's wrong kwa mtu anayeamua kujirudi? Vipi kuhusu wewe na wenzio mliobakia, mtajirudi ama bado ni watiifu kwa Zitto kama mlivyolishwa yamini ya kutokusaliti??

Nakuhurumia sana Juliana Shonza, Nakusikitikia sana dadangu sababu hukustahili kuanza kupoteza mwelekeo mapema kiasi hiki. Anyway time will tell.
 
Last edited by a moderator:
silijui rika la umri wako, laiti kama ningekuwa na uhakika ningekujibu vizuru sana.
unapoandika na kujidai unanijua kuliko ninavyojijua mimi mwenyewe nashindwa kukuelewa uwezo wako.
ila sikushangai maana kwenu nyinyi kupika nuwongo na majungu ni jambo la kawaida, kwenu kumsingizia mtu kitu kibaya ni furaha sana.
nionyeshe sehemu moja niliyosema zitto ni mfadhili wa kikundi cha BEN SAA NANE?. sehemu moja tu nionyeshe, naona unaongea ujinga ujinga kama mtu aliyeshikwa na kwikwi...

Jibu tu Mchange huhitaji kuwa na ubaguzi katika kujibu kitu chochote hapa unachokionyesha ni kile ambacho wana jamvi wengi wamekutolea ushuhuda kwamba hujifahamu umekengeuka kutokana na kukuona kwenye TV tulidhani ni mwanasiasa bora na nakuonya kwamba bado unanafasi kama mtanzania mwenzako ukiacha usaliti na kutumika kama dabwada ili mradi Zitto kakubali kwamba anaishi kwa kutumia matunguri nasema amekupumbaza ,hujielewi kwa sababu unamtetea kwa kitu anachotakiwa kujitetea yeye ndio ujinga wako ulipo hapo mada umetundika mwenyewe mwanzo wa thread hii sisi tunasoma tunatoa analysisi kwani wewe chuo kikuu pale UDOM hukufunzwa kuanalyse issues na topic ,jitambue kijana una nguvu zako mwenyewe una mvuto kisiasa achana na kigagula Zitto he is not good for you kweli fungua masikio usikie,huyo kadamage political future ya Kafulila for life ndio mfano mmoja wapo huo
 
@Mchange Tunaomba source ya email hii pamoja na kuwa haiko detailed na kinachoongelewa

Hapa @Ben sio source wa hii Email kwanini inaonesha
Forwarded Message -----

mkuu unanichanganya tena! mimi nataka kujua yupi kamforwardiwa hapo nani! kumbe inawezekana kuna mtu wa tatu hapa!
 
Swali langu kwa zitto na kwa wapambe wake, zitto Kama Kiongozi wa chama baada ya kujulishwa kuna kundi la PM7 ndani ya chama lenye lengo la kuvuruga uongozi wa juu wa chama (hiyo ni mwaka 2010) je alikijulisha chama? Mchange umemchoma Kisu zitto kisiasa kwa kukiri kwamba Zitto alizijua hizi harakati na kukaa kimya,
Lengo la PM7 ni kuchafua uongozi wa juu wa chama ambapo zitto naye ni Kiongozi lakini zitto akupata uoga wa uwepo wa Masalia hivyo kutokiambia chama

HUKUMU
zitto ni mnufaika wa Masalia unless aje hapa na uthibitisho kwamba alishakijulisha chama uwepo wa ili kundi, na kwamba ili kundi kupitia kwa Mchange liliwahi omba ufadhili wake, Kama hata huo uthibitisho then ni kwamba alitoa ufadhili kwenye kundi
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: FJM
chama hakina nafasi kwenye huuuuuu uuuuupuuuuzi wacha wachambane dhambi ni mbaya hawakuutumwa na chama kufanya haya usihusishe kabisaaaaaaaaaaa yaani cdm

hata kama hawakutumwa na chadema lakini maadam ni viongozi wachadema basi wanaidhalilisha chadema.wewe huoni mafisadi wanavyoidhalilisha ccm japo hawajatumwa na ccm?
 
Kuna Part III inaendelea kwani Mtela Mwampamba nae amefunguka kwa kuleta uzi kwa title ya:
[h=2]Udhibitisho wa mtela mwampamba kwamba ben saanane/mamuya ni watu hatari ndani ya chama[/h]
 
Nadhani hii e mail ni sawa kabisa.Inaonesha jinsi vijana wanavoweza kuungana kutokana na uovu wa CCM.Sijaona mahala popote ikionesha movement against CHADEMA.Kama huu ndo ushahidi wa maana uliouona.Basi hakuna kitu...mnatapatapa...Ben is smarter than you guys.Though all of you.Zitto,Ben ,Mchange ,Shonza and the rest are the traitors.
sasa kama hiyo e mail inaonyesha jinsi vijana wanavyoweza kuungana kutokana na uovu wa ccm, anawezaje kusema alikuwa kwenye kikundi cha kukisaliti chama?.
nani sasa anayetapa tapa kati yetu...mmesema BEN alikuwa Msaliti wa chama akiungana na kina mchange, nikawaeleza namna alivyokuwa anafanya shuhuli zake dhidi yetu, nimekuwekeeni na email ili mumuone alivyokuwa MNAFIKI na mpishi wa maneno mfano wa mashangingi walioshindikana...
vyovyote ilivyo, na vyovyote itakavyokuwa na kutafsiriwa, SAA NANE ni miongoni mwa vijana dhaifu katika siasa za taifa letu ambao kama hatutawaangalia vema wanaweza kurudisha nyuma harakati zetu.
SAA NANE anaongopa mpaka anajisahau kuwa anaongopa...
hi hebu muulizeni kama alikuwa muasi wa chama,
1. ALIELEZA SABABU ZA YEYE KUKIASI CHAMA?.
2.NI KITU GANI KIMEMBADILISHA KUTOKA KWENYE UASI NA KUBADILIKA GHAFLA NA KUUACHA UASI.
3. NI NJIA GANI ILITUMIKA KWA YEYE KUJIBADILISHA KUUACHA USALITI NA KUWA MWEMA.
4. JE NI KWELI KUSEMA TU AMEACHA USALITI KUNATOSHA KUMUAMINI KUWA SIO MSALITI TENA KAMA KWELI ALISALITI?.

Niseme tu hapa hadharani tena,

SAA NANE hana cha kupoteza kwenye siasa za nchi hii, saa nane amefurahia matunda ya serikali ya nchi hii katika umri wake huo huo mdogo alio nao.
Saa nane hana uhalali wa kunishutumu mimi kuwa nakivuruga chama nilichokipigania kwa nguvu zangu, akili zangu na muda wangu.
kama alikuwa hajui ni kwamba CHADEMA ni sababu kuu ya mimi kutokumaliza DEGREE YANGU YA KWANZA MPAKA LEO...
NI kwa sababu ya mapenzi yangu ya CHADEMA ndio maana nilichukua MKOPO WA ADA YANGU YA CHUO kwenda kuwalipa MAWAKALA walinde kura za CHADEMA pale KIBAHA ambapo yeye analipwa mshahara leo kwa kazi yake ya KINAFIKI.
ni kwa sababu ya mapenzi yangu na CHADEMA ndio maana nimeshitakiwa miaka miwili mfululizo pale kibaha na si saa nane wala anayemtuma aliyeeza kuja hata kunidhamini.
SAA NANE ni mnafiki tu, mimi ni muathirika wa siasa za CHADEMA ndani ya NCHI hii..leo hii mimi siruhusiwi hata kukanyaga DODOMA UNIVERSITY kwa sababu ya CHADEMA..
sasa anapotokea mjinga mmoja kama yeye aliyelipiwa na serikali DEGREE YA KWANZA MPAKA YA PILI tena NJE YA NCHI akajifanya anaichukia sana serikali na kutetea mageuzi eti dhidi ya wahanga wa mageuzi. mimi namuona amepotea.
mimi nimepoteza nguvu zangu nyingi sana kwenye CHAMA wala SAA NANE hawezi sema anauzalendo na MAPENZI YA DHATI kuliko mimi.
yeye ni MNAFIKI NA ANAENDELEZA UNAFIKI WAKE TU.
 
Asante sana kamanda Mchange kwakuleta huu ufafanuzi, maana haya uliyoyaandika ndiyo nilkiyotaka kuyatolea ufafanuzi japo bado nitatoa ufafanuzi wangu kuhusu hizi shutuma ambazo kwangu mimi nachokiona ni sawa na mtu kuchimba shimo halafu akatumbukia yeye mwenyewe.

Suala la Ben kutumiwa kimkakati katika harakati zakumchafua zitto na sisi ambao wao hutuita masalia wala halijaanza leo, huu ni mkakati unaoratibiwa dhidi ya Zitto pamoja na vijana ambao wanamuunga mkono Zitto, naz hatimaye wote wameanza kujitokeza jf kwa majina yao. Saa nane yumo humu kitambo na alikuwa akibishana na wakosoaji wa chama huku nyie mkifichama na ids za kina judith, tii, paa, nk kukichafua chama. Siwezi kumhusisha zito ila nina ushahidi wa kimazingira kutoka kwa mmoja wenu kwamba wewe, mtela, mchange, festo sanga, gwakisa mlikuwa mnahusika na kumchafua mbowe na slaa kwa uongo. Na saa nane kakili kwamba alikuwa mmoja wenu. Ukifuatilia thread alizokuwa anaweka tuntemeke ningekuwa natumia pc ningezitafuta zote na kuwawekea hapa ili muone mlivyokuwa wahalifu na mnavojichanganya.
 
HOJA NZURI YA ZOTTO:

Mimi pamoja na wenzangu tumejenga chama hiki [CHADEMA] mpaka hapa tulipofika. Tumeingiza watu kwenye chama hiki ili kwa pamoja tuweze kujenga asasi imara kabisa ya kidemokrasia. Chama hiki kina damu yangu. Chama hiki kina muda wangu. Chama hiki kina jasho langu. Nitakuwa mtu wa mwisho kusaliti chama hiki. Sijawahi kuwa mwanachama wa chama chochote cha siasa tofauti na CHADEMA. Sitarajii kuwa mwanachama wa chama zaidi ya CHADEMA.

Ninawasihi wana CHADEMA tuache propaganda za kuchafuana. Nguvu kubwa inayotumika kumchafua Zitto ielekezwe kwenye kujenga taasisi imara ya CHADEMA, chama chenye demokrasia, kisicho na upendeleo, chenye uwakilishi wa kitaifa na chenye kuthamini nafasi ya kila mwanachama.

MY LATE TAKE:
Nilitingwa nikakosa muda kutupia macho humu jf kusema hili:

Kwamba watu ni wengi wenye mapenzi mema na wewe Zitto Kabwe.
Na kwamba usikatishwe tamaa na occassional negative comments dhidi yako. Kila yanapotokea maneno ya aina hiyo, uwe na mtizamo kuwa pengine hilo ni tunda la umaarufu. Ukishaingia katika leadership position yoyote utazamie kuwa punching bag....always. If you are going to be in politics, then you must learn to live with that.

Nimenukuu sehemu ya kauli yako ambayo nimeipenda hapo juu.

Those are very wise words you have said. I join others who like you (wanaokupenda)
to pray for your well being. Be focussed on the good things you have in mind for the party, for the country, for your family, rejecting all things you concede to be counter-productive toward that end.

Na hizi counter-productive issues utazikuta humuhumu katika jamii; katika maeneo kama haya ya JF.

Wakati ukisikiliza ukumbuke pia kuwa Si kila unachohisi kibaya unachoambiwa na watu
kina lengo la kukuchafua. Mengine ni elimu kwako kwa ajili ya kujenga na kulinda Chama.

CHADEMA? ...........
 
Najua katika hili zogo wapinzani wetu wamepata cha kusema, wamepata upenyo wa kupumulia, wanakesha wakiomba dua kwamba Chadema ipasuke ili wapate kupona.

Ninatoa rai kwa wanachama wengine wote kwamba hili saga liwe fundisho kwa kila mtu ili baadae asije akathubutu kuanzisha, kushiriki, kufadhili ama kushabikia uasi na usaliti ndani ya chama.

Natumaini viongozi wangu wakuu watakuwa makini kufuatilia haya yote yanayojiri hapa na kuchukua hatua stahiki kwa haraka iwezekanavyo kwa ajili ya mustakabali mwema wa chama chetu. Na kwakweli ninawasihi wawe wakali zaidi katika kulishughulikia suala hili ili hapo mbeleni pasitokee tena mtu awaye yeyote akafikiria kufanya uasi ama usaliti ndani ya chama hata kama atakuwa analipwa fedha nyingi kiasi gani.
 
[SIZE=4 [USER=17497]Mchange[/USER] Tunaomba source ya email hii pamoja na kuwa haiko detailed na kinachoongelewa

Hapa Ben sio source wa hii Email kwanini inaonesha[/SIZE]
Forwarded Message -----

Hapo ni kwa hiyo email haikusomwa kwenye inbox ya Mchange nilichoelewa ni kwamba original Sender ni Ben Kwenda kwa Mchange, baada ya hapo Mchange akai forward kwa mtu.
Hiyo mtu ndiye aliyeweka huyo email humu,
Kwa maana nyingine hii post ajaandika Mchange kaandika huyo mtu aliye forward wa mchange kwa kutumia account ya Mchange.
In which I presume aliyeandka hapo ni Zitto maana Mchange ni informer wake, hakuna Haja ya kutafuna maneno. Hii post ya Mchange kaandika Zitto Kabwe baada ya kugalagazwa jana.

@Invible naomba uthibitishe Mimi sio Ben pasipo ku share information zozote kuhusu mimi.
Sitaki kuhusushwa na mtu yoyote ila huu ni utoto tu
 
Last edited by a moderator:
Inaonekana ngoma unaijua kuicheza ndio sababu akili yako imeleekea huko; wajinadi hujaonja tamu pilipili ilhali waogopa makali ya pilipili?

Ulijuaje kama pilipili kali? Yakhe karibu usiogope sisi waungwana tutakufundisha maadili mpaka jina utabadili badala ya kujiita Msemaovyo utajiita waridi.

Chama
Gongo la mboto DSM

Kuna namna nyingi za kujua vitu usikariri kuwa kila unachokijua maana yake kimekutokea wewe.Kwa hiyo kati yako wewe na mwenzako unayekiri una mahaba naye ni nani aliyemwingiza mwingine?Kwa hiyo kumbe mkiingia kwa huo mchezo mnabadili na majina?Jina lako la zamani waitwa nani vile..!!Nashukuru umekiri mwenyewe na sorry again I am straight hayo ni yenu endelezeni mahaba.

@Mchange Tunaomba source ya email hii pamoja na kuwa haiko detailed na kinachoongelewa

Hapa @Ben sio source wa hii Email kwanini inaonesha
Forwarded Message -----
hii hapa...

From
To

The tragedy of Tanzania is a pervasive pathology. Its leadership selection processexcludes its best while celebrating mediocrity. The incremental influence of thatpathology has created a failing state that is unable to do much more than uphold theconclave of looters that hold the country hostage. In many ways, every electionprocess turns out to be much worse than the preceding cycle.Upon taking power after stolen polls, the new leadership often proceeds to enthronea ruling ethos that is defined by a searing contempt for the people. That is why,despite the billions of dollars that the Tanzania state has earned over five decades,Tanzania remains at the bottom of the human development league. It is a fate thatTanzania must reject because a better life is possible.​
Fifty years into Tanzania’s attainment of nationhood, it still has the status of whatdomestic and international observers call a failed state, failing state, or failed asset.Tanzania’s failure to belong to the comity of successful and functional states thatobtained the status of independent nationhood within the same decade is notattributable to the lack of material and human resources. On the contrary, thecountry’s economic, social, and political failure has resulted from the non-adherenceto the practice of true federalism and the consequent mismanagement of the nation’sresources by most of its political managers since independence. Such managers haveranged from military dictators to civilian presidents and governors imposed on the
electorate through rigged elections

What to do now?
What is direly needed now is how to getTanzania out of the hole of underdevelopment, corruption, and mismanagement.Now is the time for truly patriotic Tanzanians to join the movement to save Tanzaniafrom its current state of failure by joining forces with the Voice for the Voiceless Tanzanians (V4V) Group.Now is the time to liberate Tanzania from the grips of its predators. V4V believes that​
Tanzanias’s failure is avoidable; that Tanzania can be saved. But to stop the politics ofself-imposed failure, a new crop of leaders with a patriotic outlook and atransformational vision from those of its predatory leaders must move to the centreof the country’s political space to re-engineer it away from chronic failure and charta new course in the direction of success. The V4V is blazing the trail of change andtransformation in Tanzania. V4V values has been designed to bring liberty,
security, and prosperity to all Tanzanians, is being made available to all Tanzanians, through building strong citizens to create wealth and
make contributions to modern global civilization

sasa kama hiyo e mail inaonyesha jinsi vijana wanavyoweza kuungana kutokana na uovu wa ccm, anawezaje kusema alikuwa kwenye kikundi cha kukisaliti chama?.
nani sasa anayetapa tapa kati yetu...mmesema BEN alikuwa Msaliti wa chama akiungana na kina mchange, nikawaeleza namna alivyokuwa anafanya shuhuli zake dhidi yetu, nimekuwekeeni na email ili mumuone alivyokuwa MNAFIKI na mpishi wa maneno mfano wa mashangingi walioshindikana...
vyovyote ilivyo, na vyovyote itakavyokuwa na kutafsiriwa, SAA NANE ni miongoni mwa vijana dhaifu katika siasa za taifa letu ambao kama hatutawaangalia vema wanaweza kurudisha nyuma harakati zetu.
SAA NANE anaongopa mpaka anajisahau kuwa anaongopa...
hi hebu muulizeni kama alikuwa muasi wa chama,
1. ALIELEZA SABABU ZA YEYE KUKIASI CHAMA?.
2.NI KITU GANI KIMEMBADILISHA KUTOKA KWENYE UASI NA KUBADILIKA GHAFLA NA KUUACHA UASI.
3. NI NJIA GANI ILITUMIKA KWA YEYE KUJIBADILISHA KUUACHA USALITI NA KUWA MWEMA.
4. JE NI KWELI KUSEMA TU AMEACHA USALITI KUNATOSHA KUMUAMINI KUWA SIO MSALITI TENA KAMA KWELI ALISALITI?.

Niseme tu hapa hadharani tena,

SAA NANE hana cha kupoteza kwenye siasa za nchi hii, saa nane amefurahia matunda ya serikali ya nchi hii katika umri wake huo huo mdogo alio nao.
Saa nane hana uhalali wa kunishutumu mimi kuwa nakivuruga chama nilichokipigania kwa nguvu zangu, akili zangu na muda wangu.
kama alikuwa hajui ni kwamba CHADEMA ni sababu kuu ya mimi kutokumaliza DEGREE YANGU YA KWANZA MPAKA LEO...
NI kwa sababu ya mapenzi yangu ya CHADEMA ndio maana nilichukua MKOPO WA ADA YANGU YA CHUO kwenda kuwalipa MAWAKALA walinde kura za CHADEMA pale KIBAHA ambapo yeye analipwa mshahara leo kwa kazi yake ya KINAFIKI.
ni kwa sababu ya mapenzi yangu na CHADEMA ndio maana nimeshitakiwa miaka miwili mfululizo pale kibaha na si saa nane wala anayemtuma aliyeeza kuja hata kunidhamini.
SAA NANE ni mnafiki tu, mimi ni muathirika wa siasa za CHADEMA ndani ya NCHI hii..leo hii mimi siruhusiwi hata kukanyaga DODOMA UNIVERSITY kwa sababu ya CHADEMA..
sasa anapotokea mjinga mmoja kama yeye aliyelipiwa na serikali DEGREE YA KWANZA MPAKA YA PILI tena NJE YA NCHI akajifanya anaichukia sana serikali na kutetea mageuzi eti dhidi ya wahanga wa mageuzi. mimi namuona amepotea.
mimi nimepoteza nguvu zangu nyingi sana kwenye CHAMA wala SAA NANE hawezi sema anauzalendo na MAPENZI YA DHATI kuliko mimi.
yeye ni MNAFIKI NA ANAENDELEZA UNAFIKI WAKE TU.

Kwa nini Zitto akukiambia chama kwamba Ben ameanzisha chama ndani ya chama, maana umemtetea kwamba hakukubaliana na hii kitu, kukaa kwake kimya na wewe kuendelea Kuwa ndani ya hiyo kundi ili iweje! Malengo yenu yalikuwa nini? Hasa kwa kuzingatia kwamba alishashitukia Ben ni wa mkakati
 
Last edited by a moderator:
halafu uamini wanachokitetea? Manji aliwazidi sana akili hawa vijana.

Tena wameachwa mbali sana, badala ya wao kujibu hoja, wanang`ang`ana Ben ataje sehemu alokutana na bossi wao ili wakarejee hiyo ripoti ya siku hiyo wa-edit mpaka na picha waje waseme sio kweli.
 
Nashukuru Juliana Shonza maana majibu yako yananionyesha dhahiri uko Mtu ama kiongozi wa namna gani.

Unaposema nimuulize Ben Saanane ndio ana majibu ya maswali niliyokuuliza wewe, inamaanisha kuwa akili yako iko controlled na Ben Saanane. What a shame!!!!

Wewe ni msomi lazima ujue kujibu hoja na sio kujibu personalities! Usiwe mtu wa kukimbia hoja na kutafuta pa kujishikiza. Huo sio uongozi bali ni udhaifu na hasa kwa kijana kama wewe ambaye sisi tunakutegemea.

Tangu jana naangalia post zako humu sioni hoja unayojibu wewe na wenzako zaidi ya kusisitiza kuwa Ben ni msaliti. Sawa Ben amekiri kuwa alikuwa msaliti na sasa ametubu, what's wrong kwa mtu anayeamua kujirudi? Vipi kuhusu wewe na wenzio mliobakia, mtajirudi ama bado ni watiifu kwa Zitto kama mlivyolishwa yamini ya kutokusaliti??

Nakuhurumia sana Juliana Shonza, Nakusikitikia sana dadangu sababu hukustahili kuanza kupoteza mwelekeo mapema kiasi hiki. Anyway time will tell.
Unaagenda gani mkuu,nenda upande wa pili ukaulize hayo maswali utajibiwa mbona habari ya Ben imepokelewa bila maswali.
 
Back
Top Bottom