mpiganiahaki
Senior Member
- Apr 28, 2011
- 170
- 67
Ila kuweni makini na mnayo yaandika humo!Waraka wa Juliana tunausubiri kwa hamau hapa,Bado wa Kitila Mkumbo.
Mna mahaba kweli, maana lazima kila mmoja wenu lazima ammetion mwenzake kwa kila post, nawashauri mngeungana na kuwa mwili mmoja ili muishi kwa amani.
COPIED AND PASTE from facebook:
Grayson M. Nyakarungu
‎@All, hakuna kinachofanyika zaidi ya ccm kufaidi sasa, mtatawanyika na hakuna atakayewakusanya hata kwa miruzi ya zomali, naona vijana mnaojiita makamanda mkitukanana mkidhania ndio siasa, niliwahi kuonya tabia ya kujiweka kwenye utamaduni wa kutukana viongozi wa serikali hovyohovyo bila kujifunza hoja, na tabia hii imekuwa na kuota mizizi, dhambi yetu inageuka na kututafuna wenyewe, Ben Wa Saanane tumekutana wakati wa mchakato wa bavicha hapo ndipo tulipofahamiana na baadae tukawa tunakutana na kujadili namna gani tutajenga mtandao wa kiharakati wa vijana usio wa chama cha siasa, ila yote yalikufa baada ya mimi kwenda mwanza kazini kwangu, mimi na ben hatujawahi kupanga njama asemazo na wala kumjadili kiongozi wa kitaifa, mwajua mnafiki ataumbuka yeye tu..naomba ben uwahishe ombi lako kwa chama ili utoe huo ushahidi usemao, pia wewe ben ulikuwa ukilalama sana eti kila unapomtafuta zito anakuwa busy hamjawahi kukaa kila siku story yako ni kuwa unatarajia kuonana nae, sasa ndugu yangu ben tena nakusihi sana uje na hizo documents zako fanya haraka!!!
By Mchange
Ni kwa sababu niliipima akili yake na kujua anachokitaka, na nisingeweza kumkimbia mapema kwa sababu angewasingizia mambo mengi sana wenzake.
Mpaka sasa baadhi ya viongozi wa chama wananichukia sana mimi, wanamchukia mwampamba na wengine, lakini hii ni kwa sababu ya uwongo waliokuwa wakilishwa na SAA NANE, yeye alikuwa anatuita tupumzike ama tupige story, halafu anakibadilisha kinakuwa kikao cha mikakati ya PM7 halafu anaanzisha maada za kujadili kisha anawarekodi na kupeleka kwa hao baadhin ya viongozi, masikini ya mungu viongozi wetu wanaamini na kuanza kuwaona wenzao waongo nakadharika.
Hii ni aina mbaya sana ya kufanya strugle, sisi hapa adui yetu ni CCM tu, tunavyopoteza muda kurekodiana wenyewe kwa wenyewe haisaidii kitu.
Muda alioutumia SAA NANE kuturekodi ili akauze habari angeutumia kufanya maswala ya msingi kwa chama hakika tungezidi kuwa mbali.
Lakini ndio hivyo tena njia ya mwongo fupi, na kila kitu sasa kipo hadharani.....NAENDELEA KU-COMPILE MANENO YAKE NILIYOMREKODI AKISISITIZA UANZISHWAJI WA PM7 NITAYAWEKA HUMU KILA MTU AMUELEWE SAA NANE NI NANI.......
Mkuu Ritz
Umemaliza kahawa? Nimeacha kinywa wazi si nilikuambia huyu Ben Saanane ni mnafiki na jutar mkubwa; maliza kahawa mkuu umsome Mchange.
Chama
Gongo la mboto DSM
Unapotoa kauli kama hizi,leta na ushahidi hapa jukwaani.Hata mm naweza kusema kwanini umepokea rushwa ya kuja kufanya kazi ya kumchafua Zitto?(sina ushahidi)
msituambie ukweli utajulikana, sisi tunautaka huo ukweli sasa hivi, tunahangaika huku mtaani kuwaaminisha watu kuwa chadema ni chama cha ukombozi halafu huku wengine wanafanya usaliti? Hatupo tayari kuvumilia huu upuuzi unaoendelea kamweben hawezi kumuingiza mtu yeyote king kati ya hao anaowataja yeye mwenyewe anajua ,anachofanya ni kutoa report ya uwongo kwa wale waliomtuma ili aonekane amefanikiwa kutimiza lengo.kitu ambacho si kweli.ukweli utajulikana tu.
angalia comment zake zote halafu weka dotTaswira,
Wewe umejulia wapi kwamba Dr. Slaa anamwogopa Mchange? Au ndiyo yale yale ya kuchafua uongozi wa chama?
[h=5]COPIED AND PASTE from facebook:
Grayson M. Nyakarungu
[/h][h=5] ?@All, hakuna kinachofanyika zaidi ya ccm kufaidi sasa, mtatawanyika na hakuna atakayewakusanya hata kwa miruzi ya zomali, naona vijana mnaojiita makamanda mkitukanana mkidhania ndio siasa, niliwahi kuonya tabia ya kujiweka kwenye utamaduni wa kutukana viongozi wa serikali hovyohovyo bila kujifunza hoja, na tabia hii imekuwa na kuota mizizi, dhambi yetu inageuka na kututafuna wenyewe, Ben Wa Saanane tumekutana wakati wa mchakato wa bavicha hapo ndipo tulipofahamiana na baadae tukawa tunakutana na kujadili namna gani tutajenga mtandao wa kiharakati wa vijana usio wa chama cha siasa, ila yote yalikufa baada ya mimi kwenda mwanza kazini kwangu, mimi na ben hatujawahi kupanga njama asemazo na wala kumjadili kiongozi wa kitaifa, mwajua mnafiki ataumbuka yeye tu..naomba ben uwahishe ombi lako kwa chama ili utoe huo ushahidi usemao, pia wewe ben ulikuwa ukilalama sana eti kila unapomtafuta zito anakuwa busy hamjawahi kukaa kila siku story yako ni kuwa unatarajia kuonana nae, sasa ndugu yangu ben tena nakusihi sana uje na hizo documents zako fanya haraka!!!
[/h]
Duuuuuuh, njia ya muongo fupi aisee... Ila ndo siasa hii tutayasikia mengi na mengi zaidi...Ben saa nane upo embu tuambie ukweli Zitto anakujua?ww kumjua Zitto ni kazi rahisi ila ww je unajulikana kwake ashawahi kukuona?
Mna mahaba kweli, maana lazima kila mmoja wenu lazima ammetion mwenzake kwa kila post, nawashauri mngeungana na kuwa mwili mmoja ili muishi kwa amani.
masikini my favorate chama CHADEMA, WHY THIS?
Ni kwa sababu niliipima akili yake na kujua anachokitaka, na nisingeweza kumkimbia mapema kwa sababu angewasingizia mambo mengi sana wenzake.
Mpaka sasa baadhi ya viongozi wa chama wananichukia sana mimi, wanamchukia mwampamba na wengine, lakini hii ni kwa sababu ya uwongo waliokuwa wakilishwa na SAA NANE, yeye alikuwa anatuita tupumzike ama tupige story, halafu anakibadilisha kinakuwa kikao cha mikakati ya PM7 halafu anaanzisha maada za kujadili kisha anawarekodi na kupeleka kwa hao baadhin ya viongozi, masikini ya mungu viongozi wetu wanaamini na kuanza kuwaona wenzao waongo nakadharika.
Hii ni aina mbaya sana ya kufanya strugle, sisi hapa adui yetu ni CCM tu, tunavyopoteza muda kurekodiana wenyewe kwa wenyewe haisaidii kitu.
Muda alioutumia SAA NANE kuturekodi ili akauze habari angeutumia kufanya maswala ya msingi kwa chama hakika tungezidi kuwa mbali.
Lakini ndio hivyo tena njia ya mwongo fupi, na kila kitu sasa kipo hadharani.....NAENDELEA KU-COMPILE MANENO YAKE NILIYOMREKODI AKISISITIZA UANZISHWAJI WA PM7 NITAYAWEKA HUMU KILA MTU AMUELEWE SAA NANE NI NANI
Unajidanganya sana,lakini ifurahishe nafsi yako japo kwa leo