mpiganiahaki
Senior Member
- Apr 28, 2011
- 170
- 67
Vijana wenzangu, mi niwashauri tu kuwa, tujitume ktk kufanya kazi za kutuingizia kipato halali, hii kasumba ya kukaa kama Habibu Mchange unapangishiwa nyumba tabata, unawekewa kila kitu unakubali kugeuzwa kama mwanamke changu-doa, kila siku unakaa kubuni namna ya kufanikisha ndoto za mabwana wako wanaokuweka mjini kwa kukomba matapshi yao, kwel sio mpango kabisa!!!
Fanyeni kazi, mtafulia mjini hapa, maana mipango yenu lazima igonge mwamba na hao mabwana wanao wawezesha watawakimbia!! Mtaanza kujuta!
Inawezekana ukawa wimbo mpya kwa Habibu Mchange, ila iko siku utanielewa, na ulicho kifanya hapa sio kipya, ni moja ya kazi zinazomweka mjini!!!
Ok let us see .....