Ben Saanane anavyoteseka na kivuli cha unafiki...

Ben Saanane anavyoteseka na kivuli cha unafiki...

Bw. Mchange, nina kaswali kamoja tu kadogo.
Kama ulishambaini Saa Nane kuwa mtu wa hatari, mbona uliendelea kuwasiliana naye? Mimi watu kama hao huwa nawapotezea mara moja, lakini inaonekana umeendelea kuwa na mawasiliano ya karibu na mtu huyu ambaye tangu mwanzo hukumwamini.
unaambiwa hawa wote ni wasaliti tu sasa ulifikiri ni kwa nini wasaliti wasisikilizane katika usaliti huo, wanachofanya sasa hivi ni kuumbuana kuhusu maovu yao, tuendelee kuwapa muda watabwabwaja usaliti wao wote hawa wanafiki. Hakuna ovu lisilo na malipo, na malipo ni hapahapa duniani tu
 
Topic Information

There are currently 404 users browsing this thread. (233 members and 171 guests)

  • kfatherd,
  • Mr. Bigman,
  • Soki,
  • agwedegwede,
  • Dr.W.Slaa,----- Nasikitika kusema kwamba huyu mzee wangu ana matatizo na hawezi uongozi. Alishindwa nini na anashindwa nini kuwasihi wana CHADEMA mkazungumze mabo yenu kwenye vikao? Common sense inaniambia anahisi kujengeka kwa kubomolewa viongozi wenzake. Thank God uongozi wa nchi hii hauko mikononi mwake. Iko wapi busara ya kizee? Masikini CHADEMA


Neno uzee halipendi sahihisha usemi wako.
 
Hapana bado kuna wengine wanatakiwa wafunguke mkuu,idadi yao bado na kila mmoja ana lake jambo la kusema hatuwezi kuchambua haya mambo wakati kuna watu tunasubiri wafunguke humu akiwemo huyo na Zitto.Tulia kwanza mkuu usiwe na haraka hii muvi ni kali inazidi ile ya Escape From Sobibo!!!!!!

Sijazuia wengine wasifunguke nilichosema mpaka hapa tulipofikia tunaweza kuanza kuunganisha dot na kubaini mchele na pumba ni zipi.
 
Tatizo la hawa vijana ni nini? Mbona wanatoa taswira mabayo si ya kutia moyo katika harakati za kumkomboa mtanzania mnyonge!

Tatizo la hawa vijana ni wazee. Hawana MENTORS wenye busara.
 
Wote hapa tunajua Ben alikuwa msaliti kama alivyokiri mwenyewe hapa...
Sasa hawa nao badala ya kujibu hoja juu ya tuhuma zinazowakabil wanakuja na viroja vingine eti Ben ni msaliti, ingali nawao walikuwa kwenye kundi moja na Ben ambao sasa wamebaki huko kama Masalia na wanachofanya sasa ni kujaribu kumchafua Ben ili wao waonekane wasafi tena kwa hoja dhaifu.

Na hapo ndipo paliko na tofauti kubwa sana kati ya kambi hizi mbili. Ben na kambi yake walikuwemo ktk hiyo kitu ila Zitto na kambi wanajifanya hawajui. Basi hao akina Mchange huenda walikula amini kutorudi nyuma mpaka watekeleze azma yao ovu ya kuivuruga CHADEMA kwa usaliti ambao sasa umekuwa wazi.

G-D is good, and HE has something good for Tanzania, hopefully.
 
Ben anakiua chama kwa kusema alikuwa msaliti na amewasaliti wenzie wa kundi la PM7? Unadhani Ben,Zitto na Mchange wanauwezo wa kukiua chama? na kuahikishia wote hao wakiondoka na wafuasi wao wote bado chadema itaendelea kuwa imara na tena itaimarika zaidi kwa kuwa wale wakwamisha harakati watakuwa wamepungua na kama siyo kwisha kabisa.
kwanini aliasisi kundi haramu,
Kwanini amekubali kutumika kumchafua zitto,Ben is not a humanbeing ni hatari
 
Ben anakiua chama kwa kusema alikuwa msaliti na amewasaliti wenzie wa kundi la PM7? Unadhani Ben,Zitto na Mchange wanauwezo wa kukiua chama? na kuahikishia wote hao wakiondoka na wafuasi wao wote bado chadema itaendelea kuwa imara na tena itaimarika zaidi kwa kuwa wale wakwamisha harakati watakuwa wamepungua na kama siyo kwisha kabisa.

Wewe kama ni kiongozi ndani ya CDM basi ni hasara kwa chama. BEN anajenga chama kwa domo wakati ZITTO anakijenga chama na nchi yake kwa vitendo. Tatizo lako Tuntufye ni kuwa ulishakuwa na 'pretext' nyuma ya ubongo kuhusu ZITTO. Kama Zitto angetaka kuuwa chama na nyie CDM mnajua angekuwa ameshahamia CCM siku nying sana. Lakini he is a genuine leader with ambitions. Ila nyie mmelelewa kimazoea!
 
Juliana shonza naona alikimbia baada ya kuona kikundi niha kihuni,Muasisi Ben saanane.

Hawa wote ni wasaliti, kwa nini baada ya kuona ni kikundi halamu na cha kihuni hakuweza kuripoti kwenye cc ya chadema kwa sababu nayeye ni mjumbe kama sikosei ili wachukuliwe hatua kali bali alikaa kimya?
 
Hiki ndio chama kinachotaka ridhaa ya kuongoza nchi! GOD FORBID!

I can never entrust the future of my children and grandchildren in the hands of some power hungry lunatics, who can not even manage their internal affairs and resolve their issues amicably without attracting attention from the general public. I smell political immaturity, selfishness and deception. No wonder green and yellow has always been the colour of choice for most Tanzanians and it will always be for many many years to come.

MY VERDICT
 
What????!!!!!!!!!! Do you want tell me that CDM is the playing ground for trainees? Now trainee's mistakes is costly a BIG time!!!!
 
Saanane kumbe mchumia tumbo


War of interest. Hapa wote wachumia tumbo tuu Hakuna msafi ata Zitto pia Kama Zitto alikuwa Anajua kuna hujuma Kama hizo zinaendelea dhidi ya cdm alitoa taarifa wapi? Je CC ya cdm Kama mpo Huku je Zitto alishawahi kuripoti usaliti huo? Nimjuavyo Zitto hu publish kila anachokiamini na kukifanya kwenye social media ila hili la saa nane hajaripoti wala ku publish why??? Wote Hawa ni wa kufukuzia mbali
 
ukiweka ushabiki pembeni ,hebu jiulize huyo ben pesa ya kuwa PAYMASTER wa kikundi hicho alikua anatoa wapi na waliokuwa wakimpa walimpa kwa malengo gani.
Kumbuka kwa mujibu wa machage kipindi hicho ben akifanya juu chini kumnasa zito ili awe anawafadhili na zito akawa anateleza hakamatiki.
Hapa pia inatakiwa huyo ben atuambie au kuonyesha kama aliwahi kumnasa huyo zito.

Ben saanane ni hatari,Mamuya ni x mass tu ndio imemfanya atumbukie kuwenye huu mtego wa kumchafuza zitto
 
Duuuuuuh, njia ya muongo fupi aisee... Ila ndo siasa hii tutayasikia mengi na mengi zaidi...Ben saa nane upo embu tuambie ukweli Zitto anakujua?ww kumjua Zitto ni kazi rahisi ila ww je unajulikana kwake ashawahi kukuona?
 
War of interest. Hapa wote wachumia tumbo tuu Hakuna msafi ata Zitto pia Kama Zitto alikuwa Anajua kuna hujuma Kama hizo zinaendelea dhidi ya cdm alitoa taarifa wapi? Je CC ya cdm Kama mpo Huku je Zitto alishawahi kuripoti usaliti huo? Nimjuavyo Zitto hu publish kila anachokiamini na kukifanya kwenye social media ila hili la saa nane hajaripoti wala ku publish why??? Wote Hawa ni wa kufukuzia mbali
Kunasehemu umeona zitto amejulishwa kuhusu hicho kikundi??au hiho kikundi kilikuwa kinajipanga kukutana na zitto wamwambie adhima yao?
jaribu kushiriksha akili yako na nywele zao
 
Unaamini wanachofanya hawa vijana ni sahihi? I doubt it!

kfatherd njia za kisiasa zinazolenga kupata "power" hazizingatii kuwa sahihi ama kutokuwa sahihi, kinachoangaliwa huwa ni matokeo ambayo kiusahihi yanapaswa kuzingatia kanuni ya "wengi wape", lakini huwa haitokei hivyo mara zote ndio maana unaona mchezo huu unaochezwa na vijana wa chadema badala ya kuwafurahisha wengi, unaumiza wengi wewe ukiwa ni mmoja wao. Hapa ndio Mwakyembe anaposema "upime mwenyewe"
 
Back
Top Bottom