kama ben anasema amerudi kundini baada yakuwa muasi basi anatumia uwongo ule ule aliokuwa anautumia wakujirekodi yeye mwenyewe mipango na mikakati yake na kisha kuwapelekea wahusika kwamba ni mipango ya masalia kuvuruga chama.that is nonsense
mimi nimevutika sana.
kumsafisha zitto inatakiwa ujipange kisawasawa, na sio kwa style hii.na unajitahidi kadri ya uwezo wako wote kujibu mashambulizi yote. Ni ngumu kumtoa zitto kwenye tuhuma hizi.Zitto hahusiki na huu upuuzi.
kwa nilivyooelewa mimi. ni TISS kupitia mtaalamu wao wa kuanzisha migogoro bwana BEN SAA NANE ambapo wapinzania wa zitto kwenye chama wao wanasherekea wakizani wamepata kumbe hola.Nani alikuwa akifadhili "Patriotic Movement Seven"?
Mchage(Mdude) Unamjua.
Juliana Unamjua.
Saanane unamjua.
Je ni Zitto?, Ni CCM au nani??
Huyo Juliana Shonza ndio utumbo kabisa,anakiri hapa kua WAO WANAMUUNGA MKONO ZITTO,sidhani kama anatambua madhara ya kauli yake hiyo,eti nae ni graduate!graduate anaeshindwa kupambanua jambo dogo kama ili!ni kichekesho sana
kumsafisha zitto inatakiwa ujipange kisawasawa, na sio kwa style hii.na unajitahidi kadri ya uwezo wako wote kujibu mashambulizi yote. Ni ngumu kumtoa zitto kwenye tuhuma hizi.Zitto hahusiki na huu upuuzi.
bado nipo nawewe usie na adabu, kwanini unamtukanaga dk, hata leo umerudia kumtukana eti anampelekea hawala wake, kua na adabu bana kukosa kwako nidham na imani zako za kishirikina hazito kufikisha popote,. Jiheshim bana hivi we wakitukania baba ako na tukifatilia ndoa ya baba ako na mamako tukaweka hadharani utajiskiaje. Acha upumbavu jenga hoja matusi si mtaji
mods unganisha huu uzi na ule wa saanane.bado sijaona hoja hapa.
Mchange hujajisafisha kabisa!
patamu sana hapo....mapovu yameshawajaa watu kooni.kumsafisha zitto inatakiwa ujipange kisawasawa, na sio kwa style hii.na unajitahidi kadri ya uwezo wako wote kujibu mashambulizi yote. Ni ngumu kumtoa zitto kwenye tuhuma hizi.
kwa nilivyooelewa mimi. ni TISS kupitia mtaalamu wao wa kuanzisha migogoro bwana BEN SAA NANE ambapo wapinzania wa zitto kwenye chama wao wanasherekea wakizani wamepata kumbe hola.
hueleweki mkuu,Naona unajikanyagakanyaga tu.Unatumia simu,au unaandika huku upo na mama msapu kwa pembeni.Tuliza akili na uje na mawazo makini sio huu uharo
Nyie masalie leo ndo mnakumbuka kwamba kuna kukanywa etii? endeleeni na matusi kama mlivyokuwa manafanya dunia inawaweka sawa na chama hakichukui hatua yeyote mjihukumu wenyeweSIJAONA TIJA HAPO MKUU....kwanini isiwe wewe default ndio unatumia ID ya tuntemeke?...
kwangu mimi TUNTEMEKE na SAA NANE wote nawaona sawa tu, wote ni wavurugaji wa chama chao, isipokuwa TUNTEMEKE anashambulia kambi nyingine na SAA NANE kambi nyingime (specific zitto)..wote hawa ni wa kukanywa tu.
Mchange, kwanza uandishi wako umekosa mtirriko mzuri wa mawazo hata kama kuna ukweli wowote kati ya unayoyazungumza itakuwa ngumu sana ujumbe wako kueleweka. Pili, naona unataka kujisafisha lakini hausafishiki. Ona hapa ulichoandika:
"2. Ni BEN SAA NANE ndiye aliyewashawishi na kuwalazimisha wenzie anaowasema leo ni wasaliti waunde kikundi. Hakuishia hapo, akakitunga mpaka na jina. Kuwa ni patriotic movement seven na akakifupisha PM7.
3. Ni BEN SAA NANE ndiye aliyegawa majina ya kuitana miongoni mwa wana kikundi hiko, yeye akajipa jina la COBRA, mimi akanipa MDUDE "
Unajua nini Mchange, watu wote wenye akili hawawezi kukuamini kwa haya unayoyaandika. You are being too pretentious, unatungatunga tu vijistori vya kubumba na watu wengi waliojiunga humu JF ni watu wazima wenye akili zao, wanaweza kupembua pumba na mchele. Zako hizi ni pumba.
It appears kile kikosi kilichoshutumiwa na Ben, kimekwenda kukaa pamoja na kuandika hii makala ndefu ya kujisafisha na kumsafisha Zitto. Lakini katika jambo lililonishangaza sana ni kwamba Mchange anasema alikuwa anajua mission yote ya Ben, lakini aliendelea kwenda na kushiriki kwenye mikakati yote ya kukihujumu chama. Na zaidi sana anasema hata wenzake akina Juliana Shonza alikuwa anawajulisha. Sasa najiuliza:
Ninapenda kuwashauri nyie akina Mchange, Ben Saanane, Zitto na wengine wote kwamba mmeshasema mengi, unafiki wenu umeshajulikana kwetu hivi sasa. Kilichobaki rudini kwenye vikao vya chama mkatubu, na mrudi kwenye mstari wa kuendelea kukijenga chama.
- Ni nini kilichokuwa kinawatuma kuendelea kushiriki katika hivyo vikao na mikutano ya kukichafua chama na kukisambaratisha huku wakijua kwamba wanafanya kitu kibaya? Hapa tutauelewa vema unafiki wa mchange!
- Ni kwanini kundi la akina Mchange, Juliana, Gwakisa, Taswira na hiyo MP7 kwa ujumla wake lilijitolea na kujipambanua kwenye mitandao kumkashifu na kumchafua Dr. Slaa na si Zitto au kiongozi mwingine yeyote wa chama? Walitumwa na nani? Kwa maslahi ya nani? Je ni Ben aliyewatuma kufanya mliyokuwa mnayafanya? Je hamkujifunza ni kwanini Ben mwenyewe hakuwa akishirikiana nanyi kuwachafua viongozi wa chama?
- Kwa kukubali kutumiwa, tutakuwa tumekosea tukiwaita nyie mataahira? Maana mlishindwa kutumia akili zanu binafsi kuchambua na kutambua kwamba mnayoyafanya ni ya kihuni? Sasa mwaonaje tukisema wewe Mchange na wenzako wote mliokuwa mnaandika maneno ya hovyo kwenye facebook dhidi ya viongozi wa chadema ni watu wenye mtindio wa ubongo?
- Kama mlijua kuwa Ben, ni mnafiki na kwamba ni shushushu, kwanini hamkuwa wa kwanza kujitokeza na kuanika uovu wa Ben kwenye mitandao badala yake mliandika ya Dr. Slaa? Iweje msubiri hadi Ben ajitokeze na kuanika ya kwenu ndipo mje mbele yetu na kuanza kujisafisha? Tunao ushahidi kwamba nyie ndiyo mliokuwa mnakihujumu chama kutokana na maneno yenu mliyokuwa mnayaandika kwenye mitandao na magazetini? Je mnaweza kuwasilisha ushahidi wowote wa maandishi au wa mdomo unaoonyesha kwamba Ben saanane alikuwa pamoja nanyi kuhujumu chama?
- Mwisho napenda kujua yale yote ambayo akina Mchange, Tuntemeke, Taswira, Juliana na wapuuzi wasaliti wengine wa chama walikuwa wanayafanya, yalikuwa ni kwa faida ya nani? Kwa kuwa hili kundi lote linamuunga mkono Zitto, ni kwa namna gani mtatuaminisha kwamba hamkuwa mnatumwa na Zitto kufanya haya? Na kwanini Zitto alikuwa hawaonyi (hasa wewe Mchange) kila unapotoa tuhuma nzito na za hatari kwa mstakabali wa chama ilihali wewe ni mtu wake wa karibu?
Zitto acha tamaa ya madaraka. Huwezi kupata madaraka kama chama chenyewe unachotegemea kikubebe kuelekea Ikulu kitakuwa kimekufa.
Zitafakarini njia zenu!