Ben Saanane anavyoteseka na kivuli cha unafiki...

Ben Saanane anavyoteseka na kivuli cha unafiki...

kama ben anasema amerudi kundini baada yakuwa muasi basi anatumia uwongo ule ule aliokuwa anautumia wakujirekodi yeye mwenyewe mipango na mikakati yake na kisha kuwapelekea wahusika kwamba ni mipango ya masalia kuvuruga chama.that is nonsense

haipendezi kitoto cha kike kama wewe unakua muhasi
 
Nani alikuwa akifadhili "Patriotic Movement Seven"?
Mchage(Mdude) Unamjua.
Juliana Unamjua.
Saanane unamjua.

Je ni Zitto?, Ni CCM au nani??
 
Zitto hahusiki na huu upuuzi.
kumsafisha zitto inatakiwa ujipange kisawasawa, na sio kwa style hii.na unajitahidi kadri ya uwezo wako wote kujibu mashambulizi yote. Ni ngumu kumtoa zitto kwenye tuhuma hizi.
 
Nani alikuwa akifadhili "Patriotic Movement Seven"?
Mchage(Mdude) Unamjua.
Juliana Unamjua.
Saanane unamjua.

Je ni Zitto?, Ni CCM au nani??
kwa nilivyooelewa mimi. ni TISS kupitia mtaalamu wao wa kuanzisha migogoro bwana BEN SAA NANE ambapo wapinzania wa zitto kwenye chama wao wanasherekea wakizani wamepata kumbe hola.
 
hili tuliliona na tulisema mapema hao viongozi wa juu wakasema wameliona, wanalifahamu na watalishughulikia ila kimya hadi tumefika hapa hawa vijana wamemea pembe tayari ... Lakini pia vijana tusilaumiwe sana tuna njaa sawa hatukatai ila na hao viongozi hasa hao waliopata ubunge sijui posho wanazopata ni nyingi sana au? Coz wao ndo wanatengeneza vikundi na mamluki kwa kutupa viofa na pesa za vocha na ahadi za kututaftia kazi nzuri eti tuwe ''macho yao'' hivyo vichenji maiti vinatuchanganya kweli tunakuwa waongo, wanafki, wazandiki then likibumburuka tunaadhibiwa sisi wao wanalindana BELIEVE ME ALMOST KILA MBUNGE CDM ANA ''MACHO YAKE'' kila mmbunge ana vijana njaa kali anaowafuga sasa na sisi vijana ili kulinda maslahi uchwara yake tunaleta ufitini. Viongozi wa juu wakiendelea kuoneana aibu walahi 2015 tutasambaratika
 
Huyo Juliana Shonza ndio utumbo kabisa,anakiri hapa kua WAO WANAMUUNGA MKONO ZITTO,sidhani kama anatambua madhara ya kauli yake hiyo,eti nae ni graduate!graduate anaeshindwa kupambanua jambo dogo kama ili!ni kichekesho sana

Sikutegemea msomi kama huyu kuja na hoja nyepesi na dhaifu kiasi hiki, ni bora angekaa kimya tungemuelewa vingine.
 
Zitto hahusiki na huu upuuzi.
kumsafisha zitto inatakiwa ujipange kisawasawa, na sio kwa style hii.na unajitahidi kadri ya uwezo wako wote kujibu mashambulizi yote. Ni ngumu kumtoa zitto kwenye tuhuma hizi.
Nilichogundua, kundi la masalia halipo tayari kuachana na uasi.
 
We Mchange ule ujinga uliokuwa una[ost kwenye face book kuhusu kadi ya Dk Slaa ndiyo akili ya kujenga Chama? then mbo post yako inafanana sana na watunga uongo wa Ki mihadhara ya dini fulani hivi?
 
bado nipo nawewe usie na adabu, kwanini unamtukanaga dk, hata leo umerudia kumtukana eti anampelekea hawala wake, kua na adabu bana kukosa kwako nidham na imani zako za kishirikina hazito kufikisha popote,. Jiheshim bana hivi we wakitukania baba ako na tukifatilia ndoa ya baba ako na mamako tukaweka hadharani utajiskiaje. Acha upumbavu jenga hoja matusi si mtaji

mods unganisha huu uzi na ule wa saanane.bado sijaona hoja hapa.
Mchange hujajisafisha kabisa!

kumsafisha zitto inatakiwa ujipange kisawasawa, na sio kwa style hii.na unajitahidi kadri ya uwezo wako wote kujibu mashambulizi yote. Ni ngumu kumtoa zitto kwenye tuhuma hizi.
patamu sana hapo....mapovu yameshawajaa watu kooni.
 
kwa nilivyooelewa mimi. ni TISS kupitia mtaalamu wao wa kuanzisha migogoro bwana BEN SAA NANE ambapo wapinzania wa zitto kwenye chama wao wanasherekea wakizani wamepata kumbe hola.

Pole sana na uchovu bibie, sidhani kama umepata muda wa kupumzika kwani tokea jana ucku upo hapa, jaribu kumwachia mwenzio lindo upate walau muda wa kulala.
 
nikiwa kama mwanachama mchanga nakatishwa tamaa sana na hali hii.. cjui mwisho wake nini
 
hueleweki mkuu,Naona unajikanyagakanyaga tu.Unatumia simu,au unaandika huku upo na mama msapu kwa pembeni.Tuliza akili na uje na mawazo makini sio huu uharo

huwezi kumwelewa make kawachana ile mbaya, hahahhaa da afadhali wanafki mmegundulika mapema,.
 
SIJAONA TIJA HAPO MKUU....kwanini isiwe wewe default ndio unatumia ID ya tuntemeke?...
kwangu mimi TUNTEMEKE na SAA NANE wote nawaona sawa tu, wote ni wavurugaji wa chama chao, isipokuwa TUNTEMEKE anashambulia kambi nyingine na SAA NANE kambi nyingime (specific zitto)..wote hawa ni wa kukanywa tu.
Nyie masalie leo ndo mnakumbuka kwamba kuna kukanywa etii? endeleeni na matusi kama mlivyokuwa manafanya dunia inawaweka sawa na chama hakichukui hatua yeyote mjihukumu wenyewe
Tunasubiri mwisho wenu sasa kama jamaa ataendelea kuwaweka mjini ama vp?

misukule nyie
 
Ningependa mjisahau ili mtuletee habari za nani alihusika na kifo cha Wangwe?!
 
Nahisi kama vile movie inaelekea ukingoni.

Bora waumbuane ili chama kipumue!
 
Mchange, kwanza uandishi wako umekosa mtirriko mzuri wa mawazo hata kama kuna ukweli wowote kati ya unayoyazungumza itakuwa ngumu sana ujumbe wako kueleweka. Pili, naona unataka kujisafisha lakini hausafishiki. Ona hapa ulichoandika:

"2. Ni BEN SAA NANE ndiye aliyewashawishi na kuwalazimisha wenzie anaowasema leo ni wasaliti waunde kikundi. Hakuishia hapo, akakitunga mpaka na jina. Kuwa ni ‘’patriotic movement seven’’ na akakifupisha PM7.
3. Ni BEN SAA NANE ndiye aliyegawa majina ya kuitana miongoni mwa wana kikundi hiko, yeye akajipa jina la COBRA, mimi akanipa MDUDE "


Unajua nini Mchange, watu wote wenye akili hawawezi kukuamini kwa haya unayoyaandika. You are being too pretentious, unatungatunga tu vijistori vya kubumba na watu wengi waliojiunga humu JF ni watu wazima wenye akili zao, wanaweza kupembua pumba na mchele. Zako hizi ni pumba.

mkuu zimmerman hii stori ya bwana habibu Mchange inaonekana sehemu kubwa niyakutunga na hata kama kuna ukweli basi sehemu ndogo sana.inshort wote ni wasaliti kwa chama chao
 
Last edited by a moderator:
Nimekuelewa ndugu Mchange , shortly ni kwamba wewe ,Ben ,Mwampamba na wengine wote walioshiriki ni wasaliti mno , bila shaka njaa ndiyo iliyowa motivate , kuna baadhi yenu nawafahamu vizuri , najua maisha mnayoishi ni ya chini sana, hebu ngoja niulize hivi kabla hamjamtafuta Zitto ni nani alikuwa anawafadhili ? Bila shaka alikuwepo mfadhili , Mlichokifanya ni kitu kibaya mno na sijui kama hilo mnalitambua ! Malipo yake ni makubwa mno ,hamtayaweza na hicho kitendo ni dhambi kubwa sana kwa mwenyezi mungu , bali umma pamoja na viongozi wa Chadema wamekwisha wasameheni .
 
Mh walilegeza nati za tair ya nyuma ili apate ajal? Tair ya nyuma mbona sio case wangelegeza ya mbele basi.. Upo kwenye harakat za kumsafisha boc wako wakgoma hakuna jpya hapa.
 
It appears kile kikosi kilichoshutumiwa na Ben, kimekwenda kukaa pamoja na kuandika hii makala ndefu ya kujisafisha na kumsafisha Zitto. Lakini katika jambo lililonishangaza sana ni kwamba Mchange anasema alikuwa anajua mission yote ya Ben, lakini aliendelea kwenda na kushiriki kwenye mikakati yote ya kukihujumu chama. Na zaidi sana anasema hata wenzake akina Juliana Shonza alikuwa anawajulisha. Sasa najiuliza:
  1. Ni nini kilichokuwa kinawatuma kuendelea kushiriki katika hivyo vikao na mikutano ya kukichafua chama na kukisambaratisha huku wakijua kwamba wanafanya kitu kibaya? Hapa tutauelewa vema unafiki wa mchange!
  2. Ni kwanini kundi la akina Mchange, Juliana, Gwakisa, Taswira na hiyo MP7 kwa ujumla wake lilijitolea na kujipambanua kwenye mitandao kumkashifu na kumchafua Dr. Slaa na si Zitto au kiongozi mwingine yeyote wa chama? Walitumwa na nani? Kwa maslahi ya nani? Je ni Ben aliyewatuma kufanya mliyokuwa mnayafanya? Je hamkujifunza ni kwanini Ben mwenyewe hakuwa akishirikiana nanyi kuwachafua viongozi wa chama?
  3. Kwa kukubali kutumiwa, tutakuwa tumekosea tukiwaita nyie mataahira? Maana mlishindwa kutumia akili zanu binafsi kuchambua na kutambua kwamba mnayoyafanya ni ya kihuni? Sasa mwaonaje tukisema wewe Mchange na wenzako wote mliokuwa mnaandika maneno ya hovyo kwenye facebook dhidi ya viongozi wa chadema ni watu wenye mtindio wa ubongo?
  4. Kama mlijua kuwa Ben, ni mnafiki na kwamba ni shushushu, kwanini hamkuwa wa kwanza kujitokeza na kuanika uovu wa Ben kwenye mitandao badala yake mliandika ya Dr. Slaa? Iweje msubiri hadi Ben ajitokeze na kuanika ya kwenu ndipo mje mbele yetu na kuanza kujisafisha? Tunao ushahidi kwamba nyie ndiyo mliokuwa mnakihujumu chama kutokana na maneno yenu mliyokuwa mnayaandika kwenye mitandao na magazetini? Je mnaweza kuwasilisha ushahidi wowote wa maandishi au wa mdomo unaoonyesha kwamba Ben saanane alikuwa pamoja nanyi kuhujumu chama?
  5. Mwisho napenda kujua yale yote ambayo akina Mchange, Tuntemeke, Taswira, Juliana na wapuuzi wasaliti wengine wa chama walikuwa wanayafanya, yalikuwa ni kwa faida ya nani? Kwa kuwa hili kundi lote linamuunga mkono Zitto, ni kwa namna gani mtatuaminisha kwamba hamkuwa mnatumwa na Zitto kufanya haya? Na kwanini Zitto alikuwa hawaonyi (hasa wewe Mchange) kila unapotoa tuhuma nzito na za hatari kwa mstakabali wa chama ilihali wewe ni mtu wake wa karibu?
Ninapenda kuwashauri nyie akina Mchange, Ben Saanane, Zitto na wengine wote kwamba mmeshasema mengi, unafiki wenu umeshajulikana kwetu hivi sasa. Kilichobaki rudini kwenye vikao vya chama mkatubu, na mrudi kwenye mstari wa kuendelea kukijenga chama.
Zitto acha tamaa ya madaraka. Huwezi kupata madaraka kama chama chenyewe unachotegemea kikubebe kuelekea Ikulu kitakuwa kimekufa.
Zitafakarini njia zenu!

Mkuu umenena...ila kilichonifurahisha ni jinsi Ben alivyoongea kuwa yuko radhi hata kuachana na siasa ili kujivua dhambi ya usaliti au kuendelea na usaliti!!! Lakini ZZK,Mchange,SOnza nk wanataka waharibu chama na waendelee kubaki chamani!
 
Back
Top Bottom