Ben Saanane anavyoteseka na kivuli cha unafiki...

Ben Saanane anavyoteseka na kivuli cha unafiki...

nimefarijika kuona mijadala kama hii, hii inaonyesha ni jinsi gani demokrasia na uhuru wa mawazo ilivyo tamalaki kwenye mitandao ya kijamii, lakini ina saidia kufahamiana vizuri. Nikiunganisha nukta naona namna jinsi facebook ilivyokuwa inatumika kuwachafua viongozi wa chama. Walio zoea kuwaita baadhi ya viongozi majina mabaya leo wametambua kwa ufasaha majina na nafasi zao.

Sinema linaendelea, nasubiri sterling afie kwenye maua kama movie la kihindi.
 
Tunawajua hadi swaga zenu za vibabu,hawara n.k hadi Zitto anazitumia kwanini tusiamini mlikuwa na kikundi hatari chini ya Zitto?
 
Hivi kwa nini ni ZITTO+Mchange+Shonza+Tumteneke na si kina Lissu,Mnyika,Nyerere,Mbilinyi,Mdee e.t.c?kuna nini kimejificha juu ya ZITTO?mwenye akili hapati shida kugundua pumba na mchele,hizi thread mnazoleta humu haziweza wasafisha wale walio wachafu na wanafiki!bora hata yule aliyekiri wazi na kugundua kua alipotoka na kutubu hivyo hadharani kuliko wanafiki wanaotaka kulazimisha vichwa vya watu viamini uongo na unafiki wao ulio wazi!uzuri wa mnafiki ulipwa hapa hapa duniani!mtu alitaka uongozi kwa rushwa na ushaidi ukawa wazi nae atajitokeza na kusema yeye ni MSAFI?ebu waheshimuni Watanzania nyie,Watanzania sio wazito wa kufikiri na wajinga kiasi hiko!wenye uelewa wataendelea kuelewa,na washadadiaji watabaki kushadadia!
Shida ni uraisi, tamaa ya uongozi imewafanya viongozi wa CDM na wapambe wao kuwa wehu.
 
Kacheza kekundu kwenye cheupe, TISS haichezewi hovyo hovyo hata kama kuna watu hawaipendi, huyu dogo BENN atajuta baada ya hapa

Hebu weka haya mambo sawa mkuu, TISS na Ben inakujaje tena hapa, mbona hamueleweki!
 
Hapa kuna kitu hata huyu Taswira anasound kama kuna kitu ana-cover up..

Huyo Juliana Shonza ndio utumbo kabisa,anakiri hapa kua WAO WANAMUUNGA MKONO ZITTO,sidhani kama anatambua madhara ya kauli yake hiyo,eti nae ni graduate!graduate anaeshindwa kupambanua jambo dogo kama ili!ni kichekesho sana
 
Tunawajua hadi swaga zenu za vibabu,hawara n.k hadi Zitto anazitumia kwanini tusiamini mlikuwa na kikundi hatari chini ya Zitto?
Babu na hawara ni kiswahili sanifu labda utusaidie mbadala wa hayo maneno.
 
Sijamaliza kusoma post zote ila huu ni mchezo mchafu seriously!!hii thread imekaa kimaigizo zaidi!mlikuwa wapi muda wote kujibu tuhuma mkasubiri usiku watu wakiwa wameshalala ndo mkaja kujibu tena wengi ni lile kundi lililotajwa??nina mashaka na huu utetezi!!
 
Umeona heee!chamsingi hapa ni kujua kwa nini makundi yote yanamuhusisha zitto?kwa nn asiwe msigwa ama Lisu?
 
Ingawa wote wanakuja na staili ile ile ya kuumbuana na kutojibu hoja mbambali ambazo kila mmoja anazitoa kama tuhuma kwa mwingine/wengine. Ukiwa makini unaona kabisa "wote ni wasaliti" na "wanastahili adhabu moja"
 
Huu ndio utoto uliopitiliza, kila mtu anakuja analialia hapa jamvini wakati kuna viongoz wa chama waweza kwenda kumalizana huko.
Mamuya analia, Ben analia, Zitto analia na mchange analia. Huu ndio up.u.u.z.i ulio kubuhu kumbe nyie wote mlikua na agenda zenu binafsi ndani ya chama sasa mmeshindwana ndo mmeona mje hapa jamvini kuumbuana.

Kweli ujana una mambo mengi na ndo maana mara nyingi tunagombana na wazee wetu,anyway mkikua mtaacha utoto.

Wacha mie nijiandae kupokea hukumu ya kamanda wangu LEMA, tuendeleze harakati za ukombozi tuachane na hawa wanaotafuta uongoz.

Lets go lema,lisu,mnyika,esta wasira na makamanda wote wa ukweli achaneni na hawa maji taka,wanatulia unit bure
 
BEN SAANANE NJOO HAPA,
Wewe ni muaisis wa kundi la kupindua chama ambalo baadae likakukimbia,Kwanini unakihujumu chama kiasi hiki?
Pesa za mahotelini huwa unatoa wapi?
Kiongozi gani mkuu ndani ya chadema anakutumia

Kwakuangalia posts zako!I can sure tell kwamba wewe ni mmoja wa wale watuhumiwa Ben aliowataja..
 
Dawa ya kumaliza migogoro CHADEMA ni kutangaza kutosimamisha mgombea urais 2015 mpaka 2020,haki ya nani kuna viongozi na familia zao watahama chama.
 
Napenda siasa lakini sipendi kuwa kiongozi wa kisiasa kwasababu hapa hukumu yangu ingekuwa ni kuwapelekea kitanzi wanafki wakisiasa wote, Mchange embu tujulishe nani anaetumia id ya Tumtemeke
 
Last edited by a moderator:
BEN SAANANE NJOO HAPA,
Wewe ni muaisis wa kundi la kupindua chama ambalo baadae likakukimbia,Kwanini unakihujumu chama kiasi hiki?
Pesa za mahotelini huwa unatoa wapi?
Kiongozi gani mkuu ndani ya chadema anakutumia

nadhani ni zile zile za ruzuku.HAYA NI MATUMIZI MABAYA YA KODI ZA WANANCHI.
 
Nimesoma yote nimebaki nasikitika.
Ni lazima chama kiwaite wote waliotajwa kwani kuna ukweli kwa zaidi ya asilimia 85.
Swala la kusubiri eti kuletewa madai halisaidii.
Zitto Zuberi, Ben Saanane, Dr kitila mkumbo, habibu mchange, Juliana Shoza, Exaudi Mamuya, majina mengine ni ya badnia sijui ni akina nani ila najua hao wakiitwa watatajana.

Hatuwezi kuendelea kufanya kazi kwenye mazingira kama haya, lazima viongozi wa juu waelewe wazi kuwa chama sio hawa watu wachache inabidi wahojiwe na tupewe maelezo.

Kukaa kimya kwenye mambo kama haya kwa kutegemea natural course does not show leadership. Lazima viongozi wakubali kupamabana na haya mambo leo. Ufa uliopo ni mkubwa na wengine tunajua mengi sana hatutaki tu kuwa madomokaya.

Kuna watu ni wasomi lakini sio viongozi, tusichanganye degree , masters phd na uongozi. Uongozi ni karama, hekima, busara, utulivu , ushauri , uwajibikaji na kuweza kuhakikisha unalinda ulichoapa kukitumikia. Hawa wote waliotajwa wamevunja katiba ya chama na ikithibitika waliotajwa nayo ni ya kweli lazima adhabu stahiki ziwafuate. Nitashangaa sana kama tunaweza kuwahoji na kuwafukuza madiwani chama kikashindwa kutumia kipimo hicho hicho kwa hawa watu. Toxic.

Mwaka 2015 sio mbali tuyamalize haya matatizo leo ili mwenye maumivu yamuume sasa tufike 2015 na team safi yenye nia thabiti ya kumkomboa mtanzania.

Tamaa ya madaraka ya hawa wanaojiita vijana wasomi ndio inawaponza. Hawana shukrani wala hawana vision. Hawajui maana ya chama cha siasa. Mjumuiko huu wa watu wengi wenye fikra, akili, uwezo, nia na malengo tofauti hayahitaji ilmradi kiongozi bali yanahitaji kiongozi wa kweli mwenye record safi.

Nafurahi kwani itabidi wengine wasifike nchi ya ahadi kama Musa.

Chief Mkwawa wa kalenga.
Makundi ya vijana walafi yasiposhughulikiwa leo yatatuponza baadaye.
hakuna sababu ya kumuita zitto kwenye masuala ya kitoto kama haya, inavyoonyesha saa nane yupo kazini, na hiyo kazi ni kutoka nje kabisa, isipokuwa viongozi wa CDM hawajamuelewa, wanadhani wanamtumia kumchafua zitto, kumbe wanajitumia kukichafua chama.
TAARIFA NILIZOZIPATA ZINASEMA KUWA ''SAA NANE NI MTUMISHI HALALI WA USALAMA WA TAIFA (TISS) NA AMEBOBEA KATIKA MASUALA YA KUANZISHA MIGOGORO. ALIFANYA HIVYO MARA NYINGI AKIWA INDIA NA SASA ANA KAZI MAALUM CHADEMA''.

kwa maana hiyo nawashauri viongozi wa chadema kumuangalia vizuri mtu wa namna hiyo.
 
ni kwa sababu niliipima akili yake na kujua anachokitaka, na nisingeweza kumkimbia mapema kwa sababu angewasingizia mambo mengi sana wenzake. mpaka sasa baadhi ya viongozi wa chama wananichukia sana mimi, wanamchukia mwampamba na wengine, lakini hii ni kwa sababu ya uwongo waliokuwa wakilishwa na SAA NANE, yeye alikuwa anatuita tupumzike ama tupige story, halafu anakibadilisha kinakuwa kikao cha mikakati ya PM7 halafu anaanzisha maada za kujadili kisha anawarekodi na kupeleka kwa hao baadhin ya viongozi, masikini ya mungu viongozi wetu wanaamini na kuanza kuwaona wenzao waongo nakadharika.
hii ni aina mbaya sana ya kufanya strugle, sisi hapa adui yetu ni CCM tu, tunavyopoteza muda kurekodiana wenyewe kwa wenyewe haisaidii kitu.
muda alioutumia SAA NANE kuturekodi ili akauze habari angeutumia kufanya maswala ya msingi kwa chama hakika tungezidi kuwa mbali.
lakini ndio hivyo tena njia ya mwongo fupi, na kila kitu sasa kipo hadharani.....NAENDELEA KU-COMPILE MANENO YAKE NILIYOMREKODI AKISISITIZA UANZISHWAJI WA PM7 NITAYAWEKA HUMU KILA MTU AMUELEWE SAA NANE NI NANI

bado nipo nawewe usie na adabu, kwanini unamtukanaga dk, hata leo umerudia kumtukana eti anampelekea hawala wake, kua na adabu bana kukosa kwako nidham na imani zako za kishirikina hazito kufikisha popote,. Jiheshim bana hivi we wakitukania baba ako na tukifatilia ndoa ya baba ako na mamako tukaweka hadharani utajiskiaje. Acha upumbavu jenga hoja matusi si mtaji
 
Napenda siasa lakini sipendi kuwa kiongozi wa kisiasa kwasababu hapa hukumu yangu ingekuwa ni kuwapelekea kitanzi wanafki wakisiasa wote, Mchange embu tujulishe nani anaetumia id ya Tumtemeke

SIJAONA TIJA HAPO MKUU....kwanini isiwe wewe default ndio unatumia ID ya tuntemeke?...
kwangu mimi TUNTEMEKE na SAA NANE wote nawaona sawa tu, wote ni wavurugaji wa chama chao, isipokuwa TUNTEMEKE anashambulia kambi nyingine na SAA NANE kambi nyingime (specific zitto)..wote hawa ni wa kukanywa tu.
 
Back
Top Bottom