mbona tutazipa mkuu
+255 muda sio mrefu
wenye ufahamu wote tunamjua aliyemuua chacha wangwe
Mkuu umenena...ila kilichonifurahisha ni jinsi Ben alivyoongea kuwa yuko radhi hata kuachana na siasa ili kujivua dhambi ya usaliti au kuendelea na usaliti!!! Lakini ZZK,Mchange,SOnza nk wanataka waharibu chama na waendelee kubaki chamani!
BEN hawezi kulinganishwa na zitto, BEN hakuwahi kuwa msaliti kwa nilivyoelewa, BEN AMEJISALITI YEYE MWENYEWE na nadio maana amechanganyikiwa baada ya kushtukiwa. hana cha kujivunia zaidi ya kudhalilika tu humu mtandaoni
Mh walilegeza nati za tair ya nyuma ili apate ajal? Tair ya nyuma mbona sio case wangelegeza ya mbele basi.. Upo kwenye harakat za kumsafisha boc wako wakgoma hakuna jpya hapa.
yawezekana ni kweli yupo kumsafisha bosi wake, swali kwako wewe je unamchafua nani?. au unamsafisha nani na kwanini?.
Nimekuelewa ndugu Mchange , shortly ni kwamba wewe ,Ben ,Mwampamba na wengine wote walioshiriki ni wasaliti mno , bila shaka njaa ndiyo iliyowa motivate , kuna baadhi yenu nawafahamu vizuri , najua maisha mnayoishi ni ya chini sana, hebu ngoja niulize hivi kabla hamjamtafuta Zitto ni nani alikuwa anawafadhili ? Bila shaka alikuwepo mfadhili , Mlichokifanya ni kitu kibaya mno na sijui kama hilo mnalitambua ! Malipo yake ni makubwa mno ,hamtayaweza na hicho kitendo ni dhambi kubwa sana kwa mwenyezi mungu , bali umma pamoja na viongozi wa Chadema wamekwisha wasameheni .
sioni kama ni dhambi, kwa nilivyoelewa mimi ni kuwa SAA NANE ameudanganya UMMA kuwa kulikuwa na kundi ambalo yeye ni mjumbe wake na baadae akajitoa, badala yake ni yeye mwenyewe alikuwa anajidanganya kujirekodi na kuwarekodi wenzie, ni kama mchezo tu wa kuigiza aliokuwa anaufanya saa nane
mkuu
zimmerman hii stori ya bwana habibu
Mchange inaonekana sehemu kubwa niyakutunga na hata kama kuna ukweli basi sehemu ndogo sana.inshort wote ni wasaliti kwa chama chao
unawezaje kuthibitisha kama hii ni story ya kutunga kwa kuangalia tu?. mbona hukusema story ya saa nane ni ya kutunga na badala yake ukachangia huku tayari ukiwa na upande wako....waache waendelee kuumbuana, mwisho wa siku pumba na mchele vitajulikana.
Ningependa mjisahau ili mtuletee habari za nani alihusika na kifo cha Wangwe?!
aliemuua wangwe na timu yake nzima vinajulikana mkuu wangu, ni kiasi tu kuwa watanzania wameumbwa kusahau
Nyie masalie leo ndo mnakumbuka kwamba kuna kukanywa etii? endeleeni na matusi kama mlivyokuwa manafanya dunia inawaweka sawa na chama hakichukui hatua yeyote mjihukumu wenyewe
Tunasubiri mwisho wenu sasa kama jamaa ataendelea kuwaweka mjini ama vp?
misukule nyie
mchango wako umeegemea kwenye chuki zaidi. jenga hoja
nikiwa kama mwanachama mchanga nakatishwa tamaa sana na hali hii.. cjui mwisho wake nini
usikate tamaa ndugu yangu mungu atawaonyesha watanzania kweli na hki
Pole sana na uchovu bibie, sidhani kama umepata muda wa kupumzika kwani tokea jana ucku upo hapa, jaribu kumwachia mwenzio lindo upate walau muda wa kulala.
hili ni kosa kubwa sana kimaadili...kuniita bibie bila kunijua jinsia yanjgu, hii ni kutokana na woga wa kujadili masuala, unadhani unaweza nizuia kujadili objectively, sio wote tunaotumiwa kama wengi wenu, sisi wengine ni watu huru na tunaangalia jinsi mchezo wenu wa kukata matawi ya miti mliyokalia unavyoendelea...MODS watanisaidia kukupa adhabu ya kuniita bibie
unajua sikatai kumtetea mtu, ni haki yako lakini mtetee kwa hoja mkuu. Uteteaji wako huu ni sawa na ule wa mke kumtetea mume! Unajaza uchafu tu, hivi huyu zitto mbona yeye anajitahidi sana kujenga hoja lakini nyie watetezi wake hamna kitu. Mchange yeye mtiririko wake haueleweki (hata kama alichoandka ni cha kweli), huyo mwanamke ndo usiseme, wewe upoupo tu, yani unanyatianyatia kila post ili uijibu.
mkuu ni vyema ukajifunza kuyasikia usiyoyapenda kuyasikia, na ujifunze kuyaelewa pia...upotoshaji uliopita kikomo kiasi hiki hauwezi kukisaidia chama badala yake unakiharibu chama. hukuwa na sababu ya kumshambulia zitto namna hii inayifanya. inawezekana nawe ni kama SAA NANE ambaye ameshuhudia uwongo mtakatifu humu jamvini bila hata sababu ya msingi. nakushauri uanze nawewe kujadili masuala.