Sangarara
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 13,104
- 5,665
Any way ila kuna vitu havishikamani.
Kwamba Ben Mapesa mliyefikia kumuita Manji alinunuliwa simu ya kurecord na kiongozi mmoja wa kitaifa kwenye chama, ulijuaje kama alinunuliwa wakati yeye binafsi anauwezo wa kujinunulia.
Unaonaje ukimtaja huyo kiongozi wa kitaifa anayemtumia Zitto.
Na wewe ulikuwa unarecord mazungumzo yenu kwa nini?