Beauty With Brains: Mwamvita Makamba!!

Beauty With Brains: Mwamvita Makamba!!

baba yake asingekuwa yusuph makamba tungemjua? kuna wangapi ambao baba zao sio maarufu na wana vigezo kumzidi? Hii misifa mingine haina mashiko kama forbes (african edition).
 
....ila kamejitahidi kumtetea na kumpamba ,haya binti uende sasa ukachukue posho yako...Well done!
 
baba yake asingekuwa yusuph makamba tungemjua? kuna wangapi ambao baba zao sio maarufu na wana vigezo kumzidi? Hii misifa mingine haina mashiko kama forbes (african edition).

Mmmh....wangapi pia baba zao maarufu ila hawavumi?
 
Sifa ya wizi wanapewa akina nani? Urembo mimi siuoni hata labda watu tunatofautiana na mantiki ya kuwa mrembo. wa kawaida tu!

huyu hana urembo bana...hata wa kawaida umempendelea
 
yaaani kitufe cha like sijui kiko wapi....kifulambute nimekupa like
 
Usilolijua ni sawa na usiku wa kiza totoro...
 
tatizo ulichochemka hujamuwekea benchmark ili ajadiliwe, kwa kuwa hujafanya hivyo basi mimi nageneralize tu,huyo demu sio mzuri hata akinipa bure haita......,pia sio vyema kumjadili mtu mitandaoni humu utamuharibia siku. kuna mademu wengi wapo smart na wazuri kuliko huyo aliyekulia kodi za wananchi naishia hapo.

do u knw the meaning of blessing?????usidhani maisha ya Sasha na Malia Obama yatakuwa ordinary like other citizens...nop.....washabarikiwa kwa baba yao tu kuwa Rais wa America...the same goes to Mwamvita.
 
Wacheni WIVU, mdada ni mchapakazi, inasemekana hata akiwa kwenye sita kwa sita, kazi yake nzito na ya uhakika. Mtu halalamiki na kujuta kwa nini kaingia uwanjani,
 
Ww nawe kwa mtazamo wako huu ni kama yy tu, maaana ipo wazi kabisa ww ndio unaoficha uhalisia. She is not cute anyway to my eyes. she always after big dough without considering the impact of it to her body. hana tofauti na yule aliyekwenda Congo baada ya kukimbia TBL na ss amerudi.
Alitumia 'lugha-rafiki' kwa wasichana ambao they have achieved nothing so far,ka,a elimu,biashara,sanaa na ambao hawapendi kujituma(Wavivu a.k.a sikio la kufa) kuwa it's better to squeeze some money kutoka kwa Bed-Partner wako kuliko kujiingiza kwenye majanga ya sembe....
Note hapo kwenye 'bed-Partner'..kuchuna buzi si umalaya in general bali ni njia inayotumiwa na type ya wadada 'tajwa' hapo juu kujikimu na maisha.....ukiwa na hata boyfriend mwenye mkono mkarimu while wewe hujishughulishi kwa chochote ila tu unamtegemea yeye basi hiyo pia ni 'Chuna Buzi'...
 
Back
Top Bottom