Beauty With Brains: Mwamvita Makamba!!

Beauty With Brains: Mwamvita Makamba!!

A good example kwa mabinti....

attachment.php

Mdada ana mdomo mpana huo duh.
Kumla denda huyu inabidi mdomo wako wote uingie ndani ya mdomo wake hahahaha.........
Kweli yeye ni beauty with brains.
 
Tuuuuuuuuh! Watu mna madongo sana humu kwenye jamvi yaani sijapata kuona. Binadamu mwenzio wamfananisha na Shorwe sijui mbuni? Khaaaaaaaaaaa
 
Mimi nadhani Mwamvita Makamba ni mwanamke mzuri na aliyeweza kufikia mafanikio yake kwa kiasi chake. Kwani kuna ubaya gani kwa umleta uzi kudai Mwanvita Makamba ni mwanamke mwenye mafanikio? Mbona title ipo positive na inaakisi kile alichonacho Mwamvita, je hilo ni tatizo?

Wapo wengine wanaofanya vizuri.

Modesta Lilian Mahige.

Nancy Sumari

Irene Kiwia

Na wengine wengi wanafanya vizuri je kunaubaya gani kusifia dada zetu wanaofanya vizuri?

wewe nawe si tumesema mbaya hana urembo au hujaelewa?
 
Wewe ndio hujaelewa, kwani Mwamvita sio mrembo? Nani ana- define urembo? Kama urembo ni relative term lika mtu anaweza kutoa maana yake kwa kadiri anavyoweza basi hakika Mwamvita ni mrembo.

Hebu jaribu kuona mambo ukiwa positive, macho yako yapite yaone uzuri uliopo zaidi ya rangi ya ngozi, umri au mavazi. Mwamvita kajitahidi sana kama mabinti wengine wanavyojitahidi na ni mrembooooooooooo.
 
Mimi nadhani Mwamvita Makamba ni mwanamke mzuri na aliyeweza kufikia mafanikio yake kwa kiasi chake. Kwani kuna ubaya gani kwa umleta uzi kudai Mwanvita Makamba ni mwanamke mwenye mafanikio? Mbona title ipo positive na inaakisi kile alichonacho Mwamvita, je hilo ni tatizo?

Wapo wengine wanaofanya vizuri.

Modesta Lilian Mahige.

Nancy Sumari

Irene Kiwia

Na wengine wengi wanafanya vizuri je kunaubaya gani kusifia dada zetu wanaofanya vizuri?

A very positive contribution.....Ahsante!
 
wewe nawe si tumesema mbaya hana urembo au hujaelewa?

Kila nikisoma unachoandika...I laugh......Kweli ugonjwa wa chuki si mzuri..unakufanya kituko.....kituko haswaa.
 
attachment.php

Mdada ana mdomo mpana huo duh.
Kumla denda huyu inabidi mdomo wako wote uingie ndani ya mdomo wake hahahaha.........
Kweli yeye ni beauty with brains.

Lazima useme hivyo sababu huna hadhi ya kumsogelea hata!
Si unajua maneno ya wakosaji tena?
Hiiiihiiiiiiiii.
 
Kwa kwrli simjui...sijui ndo nani hapa..ila jina lake limefanana na mwehu mmja hivi alikuwa katibu wa ccm
...uzuri hana hivyo vinginr sijui maana sijawahi kuwa naye karibu.....lakini mbona unatumia nguvu nyingi kumdefend?....kuna nini kati yako na yake?....kama we siyo muhusika mwenyewe basi umetumwa

Kwa mfano...ulitaka nifanyeje?nitukane au?
Lengo la thread lilikuwa ni kumappreciate mdada wa kitanzania... Kama Hutaki,sio tatizo langu......Niko free kumtetea kama ambavyo watu wako free kusema chochote juu yake....
 
what is beautiful here,,,i think ive eyes but i cant see
 
Kwa mfano...ulitaka nifanyeje?nitukane au?
Lengo la thread lilikuwa ni kumappreciate mdada wa kitanzania... Kama Hutaki,sio tatizo langu......Niko free kumtetea kama ambavyo watu wako free kusema chochote juu yake....

Yap, unahaki ya kumtetea pia kunahaja ya kutujuza kwa yale tusiyoyajua ili nasi tumuelewe zaidi. Mimi nimekuuliza maswali mawili hujayajibu.
1. I had she own a Very expensive here in town yenye thamani ya around 500mil. Je ni kwa kazi hizo hizo za kuajiriwa na kampuni ya simu?
2. Je anabiashara gani nyingine hapa mjini inayomuingizia kipato?

Mimi siamini kama kuajiliwa tu ndio source ya kuwa na mafanikio hayo unayomsifia please justify. Kuhusu kujipodoa anajitahidi ila sio mzuri. Wakawaida saaaaana.
 
Lazima useme hivyo sababu huna hadhi ya kumsogelea hata!
Si unajua maneno ya wakosaji tena?
Hiiiihiiiiiiiii.

Hivi hadhi ya kumsogelea binadamu yeyote aliyeumbwa na Mungu ni ipi???!!!
 
Nahisi mleta mada kalipwa,mdada kamtumia picha whatsup aje amfanyie kampeni, soon tutaambiwa anataka ubunge! Bye!
 
Back
Top Bottom