Beauty With Brains: Mwamvita Makamba!!

Beauty With Brains: Mwamvita Makamba!!

Ntakasi acha kupotosha mabinti, binti hana mvuto wa kimuonekano, kashfa kibao hasa za ngono n.k

Ni upuuzi tu kupigiana debe ilihali uchafu wajulikana wazi!
 
Last edited by a moderator:
tatizo ulichochemka hujamuwekea benchmark ili ajadiliwe, kwa kuwa hujafanya hivyo basi mimi nageneralize tu,huyo demu sio mzuri hata akinipa bure haita......,pia sio vyema kumjadili mtu mitandaoni humu utamuharibia siku. kuna mademu wengi wapo smart na wazuri kuliko huyo aliyekulia kodi za wananchi naishia hapo.

Imebidi nitabasamu kwanza,Well she happens kuwa a well known person with good qualities lakini nadhani she happens to be the envy of many people.....Na kukulia kwenye familia ya kisiasa kumechangia kumuongezea haters,Hivyo naheshimu mawazo yako na nakumbusha tu...She is so damn gooooood!
 
Mwamvita, unajitahidi kweli kujitetea lakini naoana wadau hawataki kukuelewa, komaa hivyo hivyo usikubali!
 
Ntakasi acha kupotosha mabinti, binti hana mvuto wa kimuonekano, kashfa kibao hasa za ngono n.k

Ni upuuzi tu kupigiana debe ilihali uchafu wajulikana wazi!

Hazijathibitishwa hizo kashfa....ni hear-say kind of stuff...na vingine si hata kashfa basi tu,roho mbaya za watu wachache wanaopenda kumharibia binti Makamba......Ni Role model wa wengi wanaojielewa....
 
Last edited by a moderator:
Unataka kumvua nguo tu mdada wa watu, ngoja waje wanaoyajua ya kumrudisha mmama wa watu kwao ndani ya masaa 24.
Bado kimilioni cha ubungewa kaka kwa mtoronto.

No crime, no empire.

We ni mchokozi , bado unakummbuka zile dola millioni moja alizomchuna yule mzungu na kumpa kaka yake ili amuondoe Shelukindo mjengoni!!!! Ndio hayo anayohubili kuwa ni bora kuchuna mabuzi ...............!! kwa urembo na uzuri mimi naona hamna kitu!!!
 
Kama ulikuwepo vileee......#TeamFununu
 
Sema uyu Ntakasi anajua kudefend hoja.. usomee Sheria niku enrol kwenye chemba yetu mweh..!!
 
Hazijathibitishwa hizo kashfa....ni hear-say kind of stuff...na vingine si hata kashfa basi tu,roho mbaya za watu wachache wanaopenda kumharibia binti Makamba......Ni Role model wa wengi wanaojielewa....
Kwa taarifa yako nyingi zimethibitishwa na huyo role model wako akashindwa ku-discredit ushahidi wa tuhuma na kashfa zake ikiwamo ile ya ngono, iliyowahi kuwekwa kwenye uzi mmoja humu Jamii Forums...sijui ulikuwa wapi kumtetea na kumnadi wakati huo!!
 
Huwa napitia nyuzi za nyuma nyingi tuu...na so far sijaona kithibitisho zaidi ya....Niliona,Ailisema,Nilisikia,Nimeambiwa,Alienda,Alirudi.......and blah blah!.
 
If I was to rank her in scale of 1(lowest) to 10(highest):
Uzuri/Urembo: 5/10
'Brains':5/10
Maturity: 3/10
 
Well Mkuu,Ifike wakati tusiongozwe na Maneno ya watu....Mabingwa wa fununu wapo wengi....If It's good and you know it's good say it..but if it's bad....you gotta prove it....
It was just a caution sababu kwangu ni kama sis we went Uni together na tunafahamiana sasa kumtundika hapa jukwaani unless kakuagiza mwenyewe no problem!!!!!

Hayo ya fununu na ku prove hapa you cant control yatawekwa hasi na chanya bila proof wala kipingamizi!!!!!
 
Imebidi nitabasamu kwanza,Well she happens kuwa a well known person with good qualities lakini nadhani she happens to be the envy of many people.....Na kukulia kwenye familia ya kisiasa kumechangia kumuongezea haters,Hivyo naheshimu mawazo yako na nakumbusha tu...She is so damn gooooood!
atimaye nimegundua kuwa wewe ni muhusika mkuu,subiri utapata yako mi nadhani you are good for your family my be.ila kwa kuwa umeamua kujivua nguo ngoja tukusaidie ili next time usirudie kufanya hivi.
 
It was just a caution sababu kwangu ni kama sis we went Uni together na tunafahamiana sasa kumtundika hapa jukwaani unless kakuagiza mwenyewe no problem!!!!!

Hayo ya fununu na ku prove hapa you cant control yatawekwa hasi na chanya bila proof wala kipingamizi!!!!!

Mkuu,She has a good influence on young women...Kama unafahamiana naye basi unajua kuwa she is a good person and she deserve to be credited regardless what her haters(They are not that big to be her enemies)think.
 
mungu kamnyima sura kweli huyu binti daaah....
 
atimaye nimegundua kuwa wewe ni muhusika mkuu,subiri utapata yako mi nadhani you are good for your family my be.ila kwa kuwa umeamua kujivua nguo ngoja tukusaidie ili next time usirudie kufanya hivi.

Haaahaaa....Unafikiri watu ni dhaifu hivyo?Katika maisha kuna kila aina ya changamoto......wapo watakaokuvua nguo na wapo watakaokupaka matope pia wapo watakaokutishia usalama wako.....na usisahau kuna ambao hawatalala kuhakikisha anguko lako....achana na wenye kukutabiria mabaya......haya yote cha-mtoto kwa mtu mwenye 'Ukuaji' spiritually and mentally.....Hakuna jipya la kuogopesha....after all is said and done.
And for the records,I'm not Mwamvita like how you'd like to think.
 
Back
Top Bottom