Kwa wadada,
I did not expect you to jump with joy for this beautiful young lady.....yeeees...A VERY BEAUTIFUL WOMAN.....sababu si unajua tena wengi wetu(sadly)ni ngumu sana kuwa na sisterly love....ni kuponda kwa kwenda mbele....tunachukua tulichosikia,tunaongeza ya kwetu na tunatoa a total version of pure lies.......Wala sikulazimisha mtu kuwa positive,but i was (and i will continue tiredlessly)kuspread LOVE with the hope kuwa hata kimyakimya kuna ambaye atajifunza kucultivate a positive attitude na kufanya kitu bora zaidi ya alipoishia......I dont mind the hate ndio maana sijapanic/wala kutukana(Some people expected that) sababu najua wale wanaoshikilia the Negative side of her,deep down they know she's left them far behiiiiiind.....na hawana cha kuhate juu yake zaidi ya wanachosikia na wanachotaka kuamini.....
Kwa Wote...
Nimecheka wakati nasoma different views za some people and i really felt sorry for some of people who were consumed na HATE toward this lovely lady....and some dissed her ili tu wa'fit kwenye circle ya washirika wa kudiss bila hata ya kuwa na uhakika wa kisemwacho au kumaanisha wasemacho.....
Her Beauty...
Mwamvita Makamba is a very beautiful woman,anafit kwenye definition ya uzuri sababu ana haiba ya mwanamke ambaye anajua nini anacho,nini anataka na nini afanye.....With a beautiful mind it's very easy kuwa na A long lasting beauty from outside.....
Mwammy,knows her place and she would not bother posting thread hapa ili eti ajipaishe.....noooh...She's got it,she knows it and she knows where 'Her fans in denial'are supposed to be...behind her back,hiding kwenye mitandao,feeling sorry for their discredited life....
Me...
Well,this is not even about me but whaat you should know ni kwamba,I'm not Ms.Makamba...and I'm not on her payroll list...and no one can have enough amount to pay me for anything,,,,,.
I'm just being myself.....doing what i think it's right,No Bs kinda person......A growing sporit.
Thank you for your contributions and Much appreciacion to the two people who were quite positive about this thread.......
#LoveLoveLove