Beauty With Brains: Mwamvita Makamba!!

Beauty With Brains: Mwamvita Makamba!!

labda hayo mengne ila kuhusu UREMBO hana hatanukta

Well,Nimeongelea UZURI...nadhani unajua ni perception ya watu.....Kama hajakidhi vigezo vyako....it's okay.....
 
Alitumia 'lugha-rafiki' kwa wasichana ambao they have achieved nothing so far,ka,a elimu,biashara,sanaa na ambao hawapendi kujituma(Wavivu a.k.a sikio la kufa) kuwa it's better to squeeze some money kutoka kwa Bed-Partner wako kuliko kujiingiza kwenye majanga ya sembe....
Note hapo kwenye 'bed-Partner'..kuchuna buzi si umalaya in general bali ni njia inayotumiwa na type ya wadada 'tajwa' hapo juu kujikimu na maisha.....ukiwa na hata boyfriend mwenye mkono mkarimu while wewe hujishughulishi kwa chochote ila tu unamtegemea yeye basi hiyo pia ni 'Chuna Buzi'...

Mhhhhh..

ila kwa sifa ulizotaja hapo juu hata mie ni a good exmple kwa mabint.........
sema nimemis umaarufu tu lol
 
Well,Nimeongelea UZURI...nadhani unajua ni perception ya watu.....Kama hajakidhi vigezo vyako....it's okay.....

ukweli hautegemean na mtu.. kwenye Logic ukweli ni moja na ukweli huo ni kwamba mwamvita sio MREMBO... thats otherwise uniambie urembo wake hasa ni nini!!??
 
Mleta uzi Ficha ujinga wako... Wapo wadada smart na walipiga shule zaidi ya huyo wa ukoo wa panya... Huyu unamwongelea kwasababu mfumo wa kifamilia umekufanya umjue.. Ila si chochote si lolote.. Kama alishauriwa wadada wachune mabuzi na akasahau thamani ya mtu, basi ni kiazi tu.. Bad example and lethal model.

So kwako ni bora wadada wabebe sembe kuliko kuchuna mabuzi?
 
Unataka kumvua nguo tu mdada wa watu, ngoja waje wanaoyajua ya kumrudisha mmama wa watu kwao ndani ya masaa 24.
Bado kimilioni cha ubungewa kaka kwa mtoronto.

No crime, no empire.
Somehow.....muonekano mzuri na IQ nzuri,,,,
 
ukweli hautegemean na mtu.. kwenye Logic ukweli ni moja na ukweli huo ni kwamba mwamvita sio MREMBO... thats otherwise uniambie urembo wake hasa ni nini!!??

Uzuri....Beauty=Uzuri.......
Urembo ni tawi la uzuri...kwa ninavyojua..
.Back to your question mkuu,
Kwanini mzuri?Sababu ana muonekano maridhawa(Presentable)..Anaongea vizuri na anajiamini...Anajithamini na anajibeba kama alivyo bila kujali watu wanasema nini...Anatambua nafasi yake....need i say more?Thats beauty.....Beautiful soul....The rest is between her and her GOD....
 
Unataka kumvua nguo tu mdada wa watu, ngoja waje wanaoyajua ya kumrudisha mmama wa watu kwao ndani ya masaa 24.
Bado kimilioni cha ubungewa kaka kwa mtoronto.

No crime, no empire.

Hapana huu uzi utamfunika nguo zake sababu naelewa wanachodhani wanajua watu kuhusu wengine.....ni pure evil kutunga habari au kupotosha taarifa za mtu ili tu kutaka wengine waamini unavyotaka waamini.....Sisemi she is perfect,but she has the right to make mistakes like the rest of us and thats on her......Nimemuweka sababu ana vingi vizuri kuliko vibaya vinavyosemwa ans thats unfair.
 
-Msomi
-Mchapakazi
-Classy
-Fashionable
-She aims higher....

Kweli kupenda ni upofu na huo ukomavu kama mkwea minazi bado udai ni fashionable?
amekomaa sana aseee tuache kumpa sifa asizostahili!
 
ya Kampeni za Kaka Bumbuli.......umewahi kuyasikia haya

hiyo ni politics mama.....once you are fully in....you will understand the chaos involved.....Ninayemuongelea hapa ni Mwamvita,mama wa mtooto mmoja(Single parent)Mchapakazi,Fashionista na shareholder wa Sheria Ngowi Brand,Social worker na mpenda Africa......
If you involve January in this....thats on you guys....
 
Kama hajakutuma hii kazi basi sijui dhumuni lako ni nini sababu inakoendea....msijekulaumiana tu!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom