hivi huyu ndio alisemaga bora kuchuna mabuzi kuliko kubeba sembe!!!!!!
ndio huyu best
Yes mamie...lakini watu wakapindisha maana...Kuna tatizo katika unyambulishaji wa taarifa kwetu vijana....
Why?Isnt it obvious that she is a good role model?tell me what you know....
Okay maana yake ilikuwa ipi hasa niambie wewe nielewe
Mleta uzi Ficha ujinga wako... Wapo wadada smart na walipiga shule zaidi ya huyo wa ukoo wa panya... Huyu unamwongelea kwasababu mfumo wa kifamilia umekufanya umjue.. Ila si chochote si lolote.. Kama alishauriwa wadada wachune mabuzi na akasahau thamani ya mtu, basi ni kiazi tu.. Bad example and lethal model.